Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Jamani hivi kumbe kaka ndio kaolewa badala ya dada? nimekuwa nikipita kwenye mitandao kufuwatilia ukweli nikagunduwa ukweli, Facts hizi hapa Ivan mume wa zari alichukua poa kwa zari kumfuwata...
0 Reactions
145 Replies
20K Views
Wow!wameenda Sweden! YES THE CHIBUS ARE IN SWEDEN NA WALITOKA OUT I GUESS TO JUST TAKE A LOOK AND EXPERIENCE THE SNOW HUKO SWEDEN. THEY ALL IN LAYERS OF CLOTHES SINCE KUNA BARIDI MNOOO HOW...
5 Reactions
74 Replies
8K Views
Hivi lile bifu kati ya ma legendary kwenye mziki wa bongo fleva, rehema chalamila aka Ray c pamoja na commando lady jaydee liliishia wapi? natamani kuona collabo kati ya wasanii hawa wawili...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari mpya mjini kwa sasa ni kuwa wale mahasimu wawili wa muda mrefu, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans ambao ni mastaa wenye majina makubwa katika kiwanda cha filamu nchini, wamemaliza...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
NYOTA wa filamu Nchini Burundi na Rwanda Ibrahim Ismael ‘Ic’u Ibrah’ amefunguka kwa kusema kuwa moja kati ya ndoto zake ni kuigiza filamu moja kubwa na Madame Wema Sepetu kwani ni msanii...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Sabakher wadau, Director nisher nakumbuka kipind kile unafanya Mama Yeyo, Jikubali, na Nje ya box. Kila mtu anayependa muziki mzuri basi sio rahisi kukosa kulitaja jina lako ukipost kipande cha...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Nakumbuka filamu aliyocheza na Johari na Ray, yeye akiwa kama mke wa boss mmoja kwenye kampuni yao. Alionekana kwenye wimbo wa zari la mentali wa Prof. J akijitambulisha kama Vicky. Je huyu...
1 Reactions
121 Replies
41K Views
Kuna hii website ya mkito.com ambayo sasa kila nyimbo iktoka ya kibongo unaikuta kule .. Nimeona kuna ubunifu mkubwa wa kutengeneza pesa. Hivi ni ya nani anaimiliki?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mange bana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
DAR ES SALAAM! Mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Haule ‘Profesa Jay’ (pichani) amesema hali ya Mbongo Fleva, Rashid Abdallah Makwiro (31) ‘Chid...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
  • Closed
Dah! Huyu Dada mbona anapitia mitihani migumu hivi!? Nimesikia uchungu mno baada ya kuona kwenye mitandao kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake na nikapata uthibitisho kwenye radio kipindi cha Dida...
5 Reactions
169 Replies
42K Views
Nimejaribu kupitia kurasa zao za instagram hawa ndugu zetu, naona kila mtu hana tena picha ya mwenzake au wakiwa wapo wote, vipi mapenzi yamefika mwisho au kuna nini?
2 Reactions
59 Replies
11K Views
Raymond ni msanii mpya wa Wasafi. Ameachia wimbo unaitwa Uku Kwetu. Sio rahisi kupima uwezo msanii kwa wimbo mmoja. Ila kwa huyu mchizi kuna kitu nimeona anacho kikubwa sana. Ana kitu muhimu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimekutana Mlimani tv na mahojiano ya mtangaziji wa zamani sana Radio tanzania "RTD" anaitwa Debora mwenda dah huyu mama sasa ni mzee na sasa hivi anamiliki shule ya msingi bahari beach Ki ukweli...
0 Reactions
64 Replies
18K Views
Baada ya picha ya staa wa bongo fleva Diamond Platnumz akiwa na Hip Hop staa kutoka Marekani, Kanye West kusamba pamekuwa na maswali mengi ya Ilikuaje mpaka picha hii ikapigwa? . Akizungumza...
8 Reactions
109 Replies
17K Views
Wakuu nilikuwa kwenye duka moja hivi hapa mjini nikajikuta natingisha kichwa changu kwa madaha yote mara baada ya kusikia mziki mzito uliokuwa unatoka kwenye redio. Sikujua ni nyimbo ya nani...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
PICHA YA PAMOJA WASTARA SAJUKI AKIWA NA MKE MWENZIE!!! ==Wastara akiwa na mke mkubwa baaada ya harusi.. Adai watu msiumize kichwa mke mkubwa kampokea vizuri kwa mikono miwili na wanajuana na...
4 Reactions
73 Replies
21K Views
Haki mwanzo nilikua nasikia tu nyimbo za huyu bwana ila leo kwenye kipind cha Sporah show nimepata kujua kuhusu huyu Mfalme. Mwenye bidii kwenye kazi na upendo wa Dhati. Keep it up
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda amefurahishwa na kitendo na response ya haraka iliyochukuliwa na Babu Tale meneja wa Diamond , kumsaidia Chidi Benz aliyekiri kutumia madawa ya kulevya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Watanzania tunakuwaje lakini? Leo hii Mr Nice ni mgonjwa sisikii watanzania hasa vyombo vya habari pamoja na wasanii wakimfatilia kumjulia hali hata kujua anaendeleaje au hata yamkini kujua...
5 Reactions
199 Replies
43K Views
Back
Top Bottom