Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Huyu Mama Sijui Ameolewa? Yuko Powa Sana Yaani Kila Nikimtazamaga Huwa Hanichoshi, Hakika Anatimiza Sifa Za Maanani Za UUMBAJI Wake Uliotukuka. Hakika Ni Mzuri Na Anastahili Sifa Za Kutosha...
2 Reactions
67 Replies
7K Views
Sabakher Wadau; Nimekaa Nalo Moyon Nimeamua Niseme! Jux Alikuwa Ana Mahusiano Moto Na Mtoto Jack!! Naami Katika Mahusiano Yao Yale Maneno Baby Nakupenda! Siko Tayar Kukuacha! Nitakufa Kwa Ajil...
5 Reactions
50 Replies
11K Views
Igweeeeeeee jamani mimi mleta taarifa baada yakupata ubuyu huu kutoka mitandao mingine siongezi wala sipunguzi ila ukitaka juwa ukweli omba diamond aje apime DNA bongo pale ocean road maana SA...
2 Reactions
103 Replies
13K Views
Toka wimbo wa NIKIKUPATA mpaka SOPHIA. Ben Paul ameendelea kuthibitisha ubora wa kipaji chake maridhawa. Belle 9 ni kipaji kingine adhimu katika ardhi ya nchi yetu. Wasanii hawa wawili mpaka leo...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Kwenye kipindi cha Friday Night Live ambacho kinarushwa na East Africa Television na East Africa Radio, Vanessa ametoa jibu kuwa yeye anapenda pesa zaidi, kuliko mapenzi, na kuibua hisia kuwa...
1 Reactions
51 Replies
9K Views
Umewahi kusikia kuhusu kanisa jipya linanoitwa 'The national church of Bey'? Msanii Beyonce knowles wa Marekani ameacha maswali mengi baada ya kuanzisha kanisa lake na kuliita "The national...
2 Reactions
200 Replies
37K Views
Angelique KIDJO-Huyu ananikosha na kibao chake cha Agolo japo ni muda mrefu sana with husband with daughter Agolo - Angelique Kidjo - YouTube
2 Reactions
15 Replies
11K Views
Mheshimiwa Joseph Mbilinyi anaendelea kuandamwa na mzazi mwenzie Faiza Ally. Kwenye Instagram Faiza kafunguka hivi: Faiza Ally "Siwezi kunyamazia hizi habari zaidi nimeona ni share na watu wote...
6 Reactions
181 Replies
26K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Tabia ya Kili Music Awards kufanya figisu figisu kuwajaza mituzo Dai na Kiba sio ishu. Mwaka huu wote minyimbo yao mibayaaaa. On the other hand...
5 Reactions
111 Replies
11K Views
Msanii Ray C amevijia juu vyombo vya habari vinavyoandika taarifa za uongo juu yake, kuwa amerudia kutumia madawa ya kulevya, na kuahidi safari hii atavifikisha mahakamani. Katika ukurasa wake wa...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
JUMA Kassim Ally maarufu kama ‘Sir Nature’, alizaliwa mwaka 1980 katika hospitali ya Ocean Road, jijini Dar es Salaam na kupata elimu ya 
msingi katika shule ya Kurasini. Maisha yake ya shule...
7 Reactions
54 Replies
27K Views
Meneja wa Diamond Babu Tale katamka kuwa yuko Tayari kumsaidia msanii yeyote yule ambaye yuko tayari kuacha madawa ya kulevya, kasema milango iko wazi kama ambavyo kamsaidia Chid Benzi ambaye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kufuatia madai kuwa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja amekuwa na katabia ka’ kujiweka kimahaba kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ wakati Zarinah Hassan ‘Zari’ akiwa Sauzi, madai yametua mezani mwa...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection Madee Ali amesema kama angekuwa anatumia Madawa ya kulevya na tayari ameshaathirika basi angewataja wale wanaomuuzia ili kuisaidia serikali kutokomeza...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Hali ya yote natanguliza samahani kwa leo kugeuka 'mwanaume wa Darisalama',ni kwa leo tu jamani, siku nyingine sitakuwa 'mwanaume wa Darisalama'(natania tu jamani).Tuje kwenye mada...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Nikiwa miongoni mwa Watanzania tunaopenda kufuatilia muziki wa nyumbani nimetokea kuvutiwa na wasanii mbalimbali wanaofanya genres tofauti tofauti za muziki kama vile hipohop,rap,r&b,pop,housing...
4 Reactions
24 Replies
7K Views
Yule mwanadada mwenye juhudi za kwenda anga za kimataifa leo ameachia track yake mpya inayokwenda kwa jina la NIROGE. Ametoa audio na video kwa pamoja. Audio imetengeneza na Nahreal Video...
3 Reactions
61 Replies
11K Views
Wema Sepetu ni bingwa wa kutumia gharama kubwa kufanya filamu na kutengeneza kiu kubwa kwa mashabiki wake halafu then mradi unageuka kuwa kama album ya Detox ya Dr Dre, ambayo haijawahi kutoka...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Yupo wapi mwanamuziki wa injili machachari Beatrice Muhone? Sijamsikia long tym
0 Reactions
106 Replies
30K Views
Leo nmesikiliza mahojiano ya kiba ndani ya magic FM, jamaa anasema kabadili management yake na kuanzia saiv atakua anatoa nyimbo bampa kwa bampa hakuna kuacha gape Uyu jamaa game inataka...
8 Reactions
153 Replies
12K Views
Back
Top Bottom