Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

wakuu huyu gold alikua anapenda sana kupeleka tuzo magogoni enzi zilee lakini enzi hizi za MAGU hatujaona tena gold akipeleka tuzo zake magogoni kama enzi zileee. kwani kunani kule?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Sabakher Wadau; Nimepata Time Ya Kupita Youtube Na Kuchek Video Ya Sam Misago Ballin And Chillin! Video kali Thanx Director HQ huwa Huniangush Mlugulu Mwenzangu! Ila Nyimbo Pumba Kabisa! Yaan...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
As a celebrity kujiweka msafi ni haki lakini kujiongezea mapambo mikogo na madoido ikiwemo kutumia make ups za wanawake kunaacha maswali mengi na kupunguza urijali wako kama mwanaume. Dressing...
12 Reactions
122 Replies
33K Views
Ben Pol alinyoa ndevu,kisa kuogopa kuitwa Al-qaeda nchini Marekani. Unazungumiaje,mwonekane wake wa sasa?
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Baada ya rapa Chidi Benz kuomba msaada ili asaidiwe kuirudisha afya yake ambayo imethorofika kutokana na matumizi ya Madawa ya kulevyana na baadae kusaidiwa na Babu Tale kwa kupelekwa rehab. Wadau...
18 Reactions
152 Replies
23K Views
Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki na Kati, Khadija Omary Kopa amevamiwa na vijana wahuni wakitaka kumfanyia fujo kwa madai ya kukatiza mitaani akiwa ameongozana na ‘mwaume aliyekuwa amevaa...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Diamond Platnumz ni bingwa wa kuandika nyimbo za kuachwa, kuumizwa na kutendwa kimapenzi. Kamwambie, Mbagala, Mawazo, Ukimwona, Nataka Kulewa, Bado na zingine, zilihit kwasababu ziligusa maisha...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Dj George Nzunda afariki dunia Dj George Nzunda amefarki dunia Ijumaa jioni na kuzikwa makaburi ya Kinondoni Jana J3. Aliugua ghafla kuanzia Alhamisi. Mungu amlaze mahali pema peponi.......AMEEN
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mtangazji bora kabisa wa muziki wa Hiphop kwa sasa Tanzania Jabir Saleh aka Kibonge Toz anakuja rasmi na kipindi kipya ndani ya radio ya EFM. Kipindi hicho kitaitwa Ladha 3600 ambacho kitakuwa...
3 Reactions
51 Replies
11K Views
NDI! NDI! NDI!, Wahenga walisema Mapenzi ni kikohozi kuyaficha huyawezi, msemo huo ulijidhihirisha wazi kwa mastaa wawili, zamaradi mketema pamoja na boss wake ruge mtahaba, ambapo tetesi zilianza...
3 Reactions
74 Replies
15K Views
Aliyekuwa mume wa nyota wa Filamu za Bongo, Wastara Juma ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Donge (CCM), Zanzibar, Sadifa Juma ameibua jambo zito miongoni mwa jamii akidai kuwa, mtalaka wake...
4 Reactions
68 Replies
13K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Hivi huyu mtu yuko wapi, sukari ya warembo enzi hizo mziki haujabinafsishwa na Dimond na Ali Kiba. Daaaaahhh! Kitambo sanaaaa. Juma Mchopanga uko wapi, shabiki wako...
10 Reactions
66 Replies
14K Views
MKONGWE wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide, amefunguka kuwa katika wimbo wake mpya wa Ndindindi, hajampiga kijembe aliyekuwa mumewe, Mtangazaji Gardner G. Habash kama wengi...
2 Reactions
48 Replies
7K Views
Imevuja! Harakati za kusaka mafanikio na kufika mbali kimuziki zimeibua jipya kati ya wakali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ ambapo vita yao imehama...
0 Reactions
26 Replies
10K Views
Mhhhh wamependeza sana sana kwanza napenda kuwapa hongera baada ya hapo nimeshangaa mmejitahidi kuelzea vyakula mlivyokuta na picha za menu...mbona hamjawahi kupiga picha zile pweza za feri jamani...
0 Reactions
40 Replies
11K Views
Nguli wa muziki wa Africa kutoka DRC Congo mwenye makazi yake jijini Paris Ufaransa amefanya collabo na mkali wa Africa Mashariki Diamond Platnumz, kazi hiyo imefanyika jijini Paris wakati Diamond...
1 Reactions
30 Replies
14K Views
Nyie mapedeshee nyie sijui mnaojiita pembe la ng'ombe, mara papaa nini sijui mnajua wenyewe na mabalaa yenu uko, maana kwa kupenda sifa za kijinga hamjambo , majina yote yenu apa mjini...
2 Reactions
191 Replies
37K Views
Asalam alaykum wanajamvi... Mimi ni mpenzi wa nyimbo za kuchana au kupasuka kama wengi wasemavyo, kinachonifanya nisipende nyimbo za wabana pua sababu kubwa ni 1) Kuigana 2) Point kuu Mapenzi 3)...
5 Reactions
51 Replies
9K Views
Ni kawaida saana kwenye kipindi chache akiwauliza wasanii au watu maarufu maswali haya; Utaona lini? mbona huna mtoto? Na akijibiwa kinyumee anashangaa as if yeye ametimiza hivyo na umri una...
2 Reactions
148 Replies
34K Views
Nyota wa My Number One Diamond Platinum amekamilisha kibao chake kipya akimshirikisha mzee mzima Chris Brown, wimbo huo unatarajiwa kutoka wakati wowote kuanzia sasa. Stay tuned.
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom