Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Jaman Kuna Post Nilileta Hapa Kuhusu Huyu Homeboy Belle 9 Kutojenga Nyumba Ya Wazazi Wake!!! Kiukwel Post Imesaidia Naona Kaleta Mchanga Tayari Na Tofali Na Kaanza Kujenga! Thanx Jf Now Nimegundua...
10 Reactions
48 Replies
8K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" ameamua kutii kiu ya mashabiki wake wa mziki wa "kufokafoka" kwa kutoka na Wimbo mpya wa "Freedom".Wimbo huo wenye mahadhi ya hip hop umerekodiwa na...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
  • Closed
Huyu jamaa ni full majungu na ni fisadi kiaina. Kada wa CCM. Mtumishi wa Benki Kuu. Amevuruga kampuni waliyoanzisha watu wanne kiasi kwamba sasa ina hali mbaya. Wahindi wameipiga bao. Kupewa...
0 Reactions
105 Replies
30K Views
(Can you try to guess the name of our Reality Show?) (Muda si mwingi kipindi cha Maisha yangu ya kila siku,Familia na Team yangu nzima itaanza kuwa kwa TV yako pendwa...nakuahidi sio tu eti...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wakuu. Dah nimeona hizi picha za ray c zimenisikitisha sana hivi hii kitu ina nini mbona inakuwa ngumu kuacha ...daaah maskini Ray C[emoji26] [emoji26]
1 Reactions
125 Replies
24K Views
Roma Mkatoliki,msanii maarufu wa hiphop Tanzania hatimaye ameamua kufunga ndoa rasmi na mpenzi wake wa longtime ambaye wana mtoto pamoja (Ivan) April 9 2016. Ndoa hio imefungwa nyumbani Tanga na...
10 Reactions
17 Replies
8K Views
Napataje contacts za Aisha Salum aka Kidoa? Alitokea kwenye Akadumba ya Ney wa Mitego
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Nguli la mitandao ya kijamii Afrika na balozi wa salama kondom Tanzania ametua jijini Nairobi. Baada ya kufika tu Nairobi ameshangazwa sana na tabia ya wakenya ya kumshobokea huku wengine...
9 Reactions
53 Replies
6K Views
Hivi ni kweli kabisa DJ Majey ndiye boss wa E. fm au? Yani jamaa kutoka kwenye u DJ hadi kuwa mkurungenzi wa kituo kinachokuja kwa kasi ya kimbunga pia kufanya usajili wa kutisha hongera broo sana.
6 Reactions
44 Replies
9K Views
Ni Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki... Mapendo, TANMO.
2 Reactions
44 Replies
12K Views
Kwa niaba ya wanaume wenzangu wa Dar, naandika kwa huzuni na masononeko hii habari yako kaka Nasibu. Nikiwa ni moja wa shabiki zako toka enzi zile za Kamwambie, nimekuwa si mtu wa kuingia wala...
0 Reactions
78 Replies
20K Views
Nimesikia sasa ile nafasi ya ya Sebastian Maganga, Meneja vipindi wa Clouds Fm Ruge amempa muhaya mwenzake Shaffih Dauda. Ina maana Sebastian Maganga wamemtimua ama ni vipi?
1 Reactions
52 Replies
12K Views
‘Hii ni imani ambayo nimeifikiria muda mrefu na nikajua lazima niifate, kila mtu ana kitu ambacho anakiamini na kwangu naamini moto ndio kila kitu kwenye maisha, kama maandiko yanavyosema Mungu ni...
1 Reactions
47 Replies
10K Views
Inasemekana Diamond amevunja ndoa ya Baba Qayllah na Mama Qayllah baada ya Diamond kuwa na uhusiano wa siri na huyo mwanamke. Baada ya Shetta kujua hili alipatwa na hasira, inasemekana alitaka...
7 Reactions
140 Replies
50K Views
KUTOKANA NA KUFATILIA HIP HOP KWANGU KWA MZIKI WA MAHADHI HAYO NCHINI TANZANIA KWA MUDA WOTE NALETA MARAPPER NA WAANDISHI BORA KWA MUDA WOTE : 1. JAY MOE 2. FID Q 3. PR. JAY 4. SUGU 5...
2 Reactions
117 Replies
22K Views
Habari zilizopo chini ya carpet ni kwamba waigizaj classic bongo wenye majina makubwa apa mjini namzungumzia wolper na wema,inasemekana wanajihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya.kwa...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
================= Huyo jamaa sio Diamond ni kufanana tu, alitokea kwenye afterxul bash 2014 wakati wanatafuta watu waliofanana na mastar na akashinda mtonyo wa kutosha tu.. Hizi ndio picha za...
1 Reactions
97 Replies
13K Views
Huu sio utamaduni wetu. Mpaka baba mtu kaamua kuwapeleka angalau Ibiza wakapate hata kapiza. Diamond hivyo sio tulivyokulea. umependa boga, penda na maua yake. Ungekuwa wewe ndo mmoja kati ya...
5 Reactions
122 Replies
16K Views
Imevuja! Harakati za kusaka mafanikio na kufika mbali kimuziki zimeibua jipya kati ya wakali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ ambapo vita yao imehama...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kherry Sameer Rajab a.k.a Mr.Blu ni msanii wa Bongo Flava aliyewahi kuHit miaka ya 2003 na nyimbo yake ya Blue Blue na baadae mapozi akiwa na umri mdogo sana. Ni msanii ambae ameweza kuMaintain...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom