Eti kizuri kikikosekana ata kile kibaya huonekana kizuri.....lilikuwa dongo kwa nani na je n kweli baada ya kizuri kurudi kibaya kimepoteza thaman yake ..???
Hellow guys!!!...
Leo nataka nimzungumzie huyu mdada anayekwenda kwa Jila la Wema Isack Sepetu! Ukweli ni kuwa huyu dada ni wa kipekee sana hapa Tanzania. In short ni kuwa hakuna kama yeye.Kabla...
Kiukweli nimemkumbuka sana huyu PDG nguli pale Dar, katika watafuna bata huyu bwana alikua mwenyekiti wao toka kitambo saaaana kina Msofe na Katunzi walimkuta huyu kiongozi labda ndio anaishia...
yule mama wa ma drama na ma fake news yuko ndani ya skendo mpya baada ya lile Range rover alilojizawadia kwenye b day yake kukamatwa na tRA na liko yadi likipigwa mnada kwa sh milioni 200.
Kosa ni...
Nimekutana na hawa jamaa wanaongea 91.3
Hivi Jokate ametemwa au? Msemaji wao anakimbia maswali.
Kuna mabinti ni wajumbe wa hii Miss Tanzania mpya, ila kama wamepigwa pini, kuna vitu vya muhimu...
Kwa takribani siku 3 sasa kumekuwa na sintofahamu na kwa baadhi ya ndugu na marafiki imezua taharuki kuhusu ajira yangu na clouds fm..
Naamiini sasa kwa upande wangu ni wakati muafaka kutoa tamko...
Ile habari ya msanii shetta kulala chumba kimoja na rose ndauka uko morogoro imevunja Ndoa na mke ameondoka rasmi na amekataa zawadi ya gari..
========
Ndoa ya Shetta imevunjika…. Mke...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ametaka kupewa maelezo maalum ya kimaandishi juu ya mwenendo wa mwimbaji wa nyimbo za Injili, Rose Muhando ili aweze kuchunguza madai ya...
Ni muda ss nimekuwa nikiwasikia hawa mtu na boss wake wakitangaza ktk kituo cha clouds fm. Je walisomea utangazaji au ni vipaji vyao tu, na ilikuwaje mpk wakaanza kutangaza hapo?
Meneja wa Diamond akishirikiana na Kalapina wamempeleka Chid Benz Life and Hope Rehabilitation Organization iliyopo Bagamoyo kwa ajili ya kusaidiwa kuacha marumizi ya dawa za kulevya
hatua hiyo...
Habari wanaJF na wadau wa Hip Hop na muziki kwa ujumla.
Ni muda sasa nimekuwa mfuatiliaji wa muziki wa kizazi kipya hususani mwahip hop Fareed Kubanda. Jamaa ni mwanafasihi aliyetukuka hapa...
Nduguz me naomba kuuliza then nijue juu la hili swala kwamba kati ya Trace Tv na Mtv base ipi ni stronger than the other , and most influencial ktk kumfanya msanii kuwa famous kwa haraka pale...
Nasibu Abdul Diamond Platinumz.
Abdul Juma.
Erick Evarist na Gladness Mallya
SIKU chache baada ya kuibuka kwa baba aliyemlea Nasibu Abdul Diamond Platinumz aitwaye Abdul Juma na kudai kuwa...
Msanii wa muziki wa bongo fleva ambaye anafanya poa katika anga za kimataifa Vanesa mdee, amefunguka sababu ya yeye kupenda kuvaa nguo za nusu utupu.
Akiwa kwenye kipindi cha Friday Night Live...
Wasalaam,
Hivi hawa dada zetu wasanii wamepotelea wapi?
Nlikuwa nawakubali sana.
1. Enika
2. Dataz
3. Rah P
4. Paulin Zongo
5. Grace Matata
Na pia ningependa kujua hawa wasanii...
KIKI? Habari hii imeandikwa kwa urahisi sana kwenye gazeti la udaku kwamba Msanii Linah amekiri taarifa za yeye kuonekana akiwa na msanii wa Nigeria Wizkid katika Hoteli moja maarufu hapa mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.