Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

tarehe 19 ya mwezi augasti mnamo mwaka 1969 Nathaniel Dwayne Hale alizaliwa ktk viunga vya Mississippi nchini Marekani na baadae makuzi yake yote katika uhai wake aliishi Long Beach California...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
day, November 22, 2015 Staa nambari moja Bongo Fleva, Nasibu Abdul ?Diamond Platnumz?. NI gumzo! Ubuyu motomoto ambao unasambaa kwa kasi ya ajabu kama moto wa kifuu mjini unadai kuwa, staa...
1 Reactions
29 Replies
13K Views
Habari zenu wakuu, Hivi watu hawa wako wapi? Dennis Mdoe alikuwa mchezaji wa Yanga na Nyota Nyekundu, Bakari Idd alikuwa mchezaji wa Majimaji na baadae Simba Sports na Nteze John alikuwa Pamba na...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Baada ya dogo Janja kukaa kwa kimya kirefu hatimaye siku za karibunu alirudi tena katika game ya muziki na kutoa hit single yake iitwayo My life Leo katika Alah za Roho clouds Fm dogo Janja akiwa...
0 Reactions
51 Replies
13K Views
Anayejua anajua tuu... Kambi ya p square nayo imesemaje?...hahahaaaaaaa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam Wakuu. Bila kububuja maneno,kichwa cha Uzi chajieleza. Nimekuwa mtumiaji wa Instagram kwa muda tu na huwa naitumia Kama...
2 Reactions
23 Replies
17K Views
Mchoraji vibonzo wa Kenya Godfrey Mwapembwa ,aka Gado ameiambia BBC kwamba atalishtaki gazeti la The daily Nation nchini Kenya kuhusu kile alichokitaja kuwa kusimamishwa kwa kandarasi yake kinyume...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Diamond kafika Marekani katika show yake itakayo fanyika Las Vegas,mara tu baada ya kufika Marekani alikutana na Kanye West a.k.a kanye Magharibi Huu ni mwanzo mzuri kwa Diamond kwani ikumbukwe...
6 Reactions
136 Replies
22K Views
Huyu kaka tajiri handsome, Kwa kweli amezidisha uchepukaji, ndio nini kumchukulia dogo Asley demu wake na kumrikodi akiwa anacheza uchi? Inasemekana umetembea na Jack cliff, Lulu, Lina, Masogange...
1 Reactions
86 Replies
31K Views
  • Closed
Amefia Aga Khan Dar, kule Instagram kumewaka moto kuhusu kifo chake. Mimi ndio namsikia leo? Ni nani katika jamii maana mpaka Mange naye anamlilia? Kumekua na hali ya sintonfahamu kwenye mitandao...
2 Reactions
398 Replies
87K Views
Hapa jamvini tunawazungumzia sana wakina chibu monde, mara kiba. hadi tunawasahau akina omy dimpoz... Ila mnikubalie hapa katikati ni kama ndege mnana Linnah sanga alikumbwa na mauza uza...
7 Reactions
40 Replies
9K Views
Ni wa Mike Sangu na Thea, wasanii wa Bongo movie. Watu waliokuwa wakijifunika shuka moja, yaani mume na mke in short, wamepigana chini huku Thea akitoa Kali ya mwaka, akidai ktk maisha yake...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Ni video ambayo Watanzania walianza kuiona kwa mara ya kwanza February 7 2016 kupitia TV na mitandaoni na sasa MTV BASEambacho ni kituo kingine kikubwa cha TV Afrika kimethibitisha video hiyo...
3 Reactions
70 Replies
8K Views
Nae kama dada zetu wengi wanaohangaika kupata watoto, alikabiliwa na matatizo ya kushika mimba, na pia alisha fanya hata IVF, yani mayai yake na mbegu za man wake yana ingiziwa mbegu za kiume na...
2 Reactions
66 Replies
12K Views
Najua watu wengi kwenye mitandao ya kijamii wanamfahamu Mange kwa kuongea kwake kwingi na mamb mengi anayoyafanya kwenye mitandao hiyo. Kwa sasa Mange amekua ni gumzo kutokana na Sauti...
9 Reactions
65 Replies
10K Views
Imekuwa nadra sana kwa sasa Dr Slaa na mwezi wake Josephine kuonekena hadharani, baada ya safari yake ya kwenda kuishi Canada, Dr Slaa amekuwa adimu sana hata humu jukwaani Hapa akiwa na Josephine.
7 Reactions
41 Replies
8K Views
Mkubwa fella amesema anajipanga kugombea urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2040 atakapokua na umri wa miaka 60. Fella kwa sasa ni diwani wa kata ya Kilungule, Halmashauri ya Mbagala...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Akizungumza katika kipindi cha 360 cha Clouds FM Ijumaa hii, Harmonize aliulizwa kama anaweza kufanya kazi na Ali Kiba kama ikitokea nafasi. “Unajua Ali Kiba ni msanii wa Kitanzania, ni msanii...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
]Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide katika pozi na mume wake Gardner Habash ‘Kapteini' . Kumbe! Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Back
Top Bottom