Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hivi yuko wapi yule fundi, gwiji na mkali wa R&B hapa nchni ktk miaka ya 90 Mr Paul?
0 Reactions
35 Replies
13K Views
  • Closed
Kuna habari za chini ya kapeti kwamba mwanadada Wema Sepetu amemwaga prince charming wake Idris. Habari kutoka ghorofa ya pili nyumbani kwa Idris zinasema Wema hapokei simu za jamaa huku mnyange...
2 Reactions
172 Replies
37K Views
  • Closed
Baada ya kunasa ujauzito ambao ulisemekana ni wa kigogo mmoja serikalini, bahati haikuwa yake mwigizaji Kajala Masanja kwani mimba hiyo imechoropoka. Rafiki wa karibu na mwigizaji huyo ameliambia...
1 Reactions
48 Replies
7K Views
  • Closed
Wakati akikanusha vikali taarifa mbaya za kuzushiwa kifo mwishoni mwa wiki iliyopita na watu ambao alisema hajui lengo lao, habari ya heri ni kwamba, staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Ally Kiba na Diamond wakiwa kwenye'Buffet' wakichukua msosi pamoja.. Leo kutoka ukumbi Mlimani City, Dar es Salaam kuna hafla ya kumpongeza Rais Kikwete kwa utawala wake wa miaka kumi, pongezi...
0 Reactions
47 Replies
20K Views
Kwenye maongezi hayo Dogo janja amesikika akimponda Madee na Team nzima ya Tip top.. ##Tuwe makini sana kwenye hii dunia ya kidijitali...Siri si siri tena##
4 Reactions
64 Replies
23K Views
  • Closed
Dar es Salaam: MKALI wa Mipasho Bongo, Isha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’ hivi karibuni alipata msiba wa baba yake Mzee Ramadhani Ally Makonga lakini baada ya mazishi ikadaiwa msanii huyo aliwafanyia...
0 Reactions
32 Replies
11K Views
Mme wa zari ambaye pia ni mganga wa kienyeji(sangoma)amekamatwa huko south africa kwa sababu ambazo hazijulikani ila najua umeshajua ni kwa nini???wazee wa mgumashi maana deal zao ni kama za...
1 Reactions
68 Replies
19K Views
  • Closed
Habarini..... Leo insta naona kuna Maneno yanaendelea chini chini kubwa Bi dada wetu Wema Isack Sepetu sasa Amehamishia penzi kwa Mcongo Man anae itwa APOCALYPSEBELLA Millionea Mmoja ambae...
8 Reactions
215 Replies
32K Views
  • Closed
Achana na habari zote zinazotikisa kwa sasa,habari ya Zari a.k.a Boss lady kuweka makalio ya bandia imeshika kasi. Kama mtakumbuka majuzi hapo Zari alihudhuria hafla ya tangazo la Vodacom ambalo...
8 Reactions
345 Replies
87K Views
  • Closed
Mwanasheria Albert Msando ambaye alipata ummarufu kupiti CHADEMA alipo ukwaa udiwani wa moshi na kupata shavu kadhaa za uwakili sasa ameonesha nyodo za kutosha kupitia ukurasa wake wa instagram...
4 Reactions
482 Replies
94K Views
Nimejaribu kufuatilia mahojiano mengi anayofanya huyu dada kwenye kipindi chake cha Sporah Show, kuna vitu ananishangaza, kupenda kuuliza maswali ya ajabu ajabu yasiyohusiana na kazi (maswali ya...
1 Reactions
35 Replies
8K Views
  • Closed
Hali si hali,balaa tupu Instagram kumechafuka ndani ya dakika 20 alizozitoa Super Star kutoka Nigeria Teknomiles hazijatosha kwani comments za wadau wa umbea zimefika 1000 na zaidi! Yote haya...
11 Reactions
799 Replies
162K Views
Habarini wana Jamvi Baada ya Soudy Brown kulianzisha na kudai kuwa wema alikua na mimba watoto mapacha Bahati mbaya mimba hio imetoka....wengi walimlaumu na kumuona Mzushi! idriss na wema wote...
6 Reactions
354 Replies
57K Views
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam, Simon Siro, amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye ni shabiki na ‘anazikubali’ nyimbo za Icon Diamond Plutnumz. Akizungumza kupitia kipindi cha Sun...
6 Reactions
40 Replies
5K Views
Haya ma-celeb wetu wa kibongo hawa...Inabidi wafundiswe PR...... flaviana matata amjia juu anayedai kumfikisha alipo Dear Ankal Michuzi, Nimesoma nukuu inayosema kwamba binadamu siku...
0 Reactions
70 Replies
14K Views
Ney ni msanii aliyejinyakulia umaarufu kwa kumchana yeyote anayezingua but sijawahi kuona akiwachana watu hawa pamoja na kulalamikiwa sana na wasanii wenzake. Kama kweli ye kidume awachane hawa...
14 Reactions
59 Replies
10K Views
Bila shaka sura hii sio ngeni kwenye tasnia ya filamu na muziki nchini! Msanii huyu ni maarufu sana kwa watayarishaji wa videos za muziki wa Bongofleva nchini na hata wasanii husika. Ni mwanadada...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Hellow Huyu jamaa mbona anajua sana mziki lakini cmwoni aki-heat kwenye anga za mziki yani nyimbo zake hazipigwi sana kama za akina Nicki Minaj au Chris Brown au beyonce, sababu inaweza ikawa ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku chache baada ya Ney wa Mitego kutoa wimbo unaoitwa shika adabu yako na kumponda Msanii Rat kuwa bado anaishi nyumbani, Msanii huyo amesema sio kwamba sina uwezo wa kwenda kupanga ila Mama ana...
3 Reactions
58 Replies
8K Views
Back
Top Bottom