Kupitia kipindi cha weekend chartshow cha Clouds Tv msanii Linex amemchana vibaya Adam Juma na kumtupia lawama kwa kumfelisha kwenye wimbo wake 'Salima', amesema huo wimbo audio ilikuwa kali ila...
Mark Zuckerberg ambaye ni mmiliki wa Facebook na raia wa Marekani mwenye asili ya Uisrael,amekuwa akipigia sana upatu ndoa za jinsia moja na kutaka zihalalishwe na mashoga wapewe haki yao kama...
Sina uhakika kama Diamond na Rommy waligombana lakini kwa habari za chini chini inasemekana kuwa Rommy na Diamond walitofautiana ingawa wao hawakuthibitisha hilo!
Taarifa za chini chini zinasema...
Maisha ya mtu yamejaa vitu vingi vya kuvutia,kufurahisha na vingine vya kusikitisha na kutisha.
Haijalishi ni jambo gani ulilonalo Nijuze inakupa nafasi ya ku-"share" na marafiki zako au watu...
Hazijapita siku nyingi toka Alikiba atoe video na audio ya Lupela, nyuzi nyingi zilianzishwa kuponda kazi yake na wengi wakisisitiza kwamba video ni mbaya!!
Sasa leo baada ya kutoka video ya...
BASATA NALO NI JIPU LINALOHITAJI MTUMBUAJI.
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ni Shirika la umma lililoundwa kwa Sheria ya Bunge Na. 23 ya Mwaka 1984.
Historia inaonyesha kuwa, Sheria ya kuunda...
Saa chache baada ya ney wa mitego kutoa hit singo yake ya ''shika adabu yako'' na moja ya mistari ya singo hiyo inamchana ommy dimpoz kwa kusema haeleweki na jogoo lake halipandi mtungi yaani...
Emmanuel Mgaya, maarufu kama "Masanja Mkandamizaji" aliyejizoelea umaarufu katika fani yake ya uchekeshaji na kundi lake la "Ze Comedy" kwa sasa amegeukia kazi ya ushehereshaji na Uchungaji...
Kibao hicho ambacho kitakuwa Hewan Leo kweny vitu vya Radio na Mitandao ya Kijamii!
Haya hapa ni baadhi ya Mashahiri yanayosomeka kweny kibao hich akionekana ku wa Diss watu weng sana!
=======...
Hivi Lady Jaydee yupo wapi siku hizi mbona kawa kimya sana? Ni kufulia kama tetesi zinavyosemekana au ndio anajipanga atoke vipi, binafsi nimemiss swagg zake na aina ya nyimbo anazoimba.
Mwenye...
Haya sasa Chibu dangote!Diamond katika ukurasa wake wa twitter amesema kuwa wiki hii anaachia video mpya ya kwake na kutaka watu kukaa mkao wa kula.
Sijajua Diamond ana maana gani wakati Kiba...
Viatu vya dola elfu 12 vya Jose Chameleone
Viatu vya dola elfu 12 vya Jose Chameleone
Wewe ukijikakamua zaidi unaweza kutoa pesa ngapi kununua kiatu....?
Haya basi ,mwanamuziki maarufu...
Kampuni 3 Zamtaka Mtoto wa Wema
February 3, 2016
Kampuni tatu zimejitokeza kutaka kumtumia kibiashara mtoto atakayezaliwa baada ya staa wa filamu Wema Sepetu kujifungua baadaye mwaka huu...
Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akilia.
Musa mateja
SIYO sinema! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amejikuta akiangua kilio kama mtoto mdogo na kuwashangaza watu...
Here is how Zari and Ivan Ssemwanga became rich in one day.
Big Eye / January 9, 2015
Big Eye
Zari-Ivan
Tycoon Ivan Ssemwanga needs no introductions. He, like his grandfather Pinto who was a...
Hivi ukiangalia hili beef nani anafaidika sana kati ya awa wawili....na je akitokea mtu wa kuwapatanisha nani yupo radhi kuona hili beef linaisha kabisa iwepo amani kati yako.....maoni yenu tafadhari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.