Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hiyo ni baada ya jana Ney wa Mitego kupost instagram picha ya Shamsa Ford nakuandika "happy valentine" Ndipo kupitia ukurasa wake Shamsa akaonyesha Ku panick Hata hivyo baada ya Shamsa kupost...
0 Reactions
49 Replies
20K Views
Kwenye wimbo alioshirikiana na AY kuna mstari anasema '' singida-dodoma kitandani sodoma'' misho wa kunukuu Karibun wana janvi tueleweshane kijana wetu alimaanisha nn?
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Nilimsikiliza huyu dogo jana katika kipindi cha Amplifier cha Millard Ayo pale clouds fm, kuhusiana na sauti yake kuvuja akiwaponda TIP TOP na management yake kwa ujumla. Kwanza dogo hakuikataa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
BAADA ya mvutano wa muda mrefu, hatimaye diva wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ amepewa talaka rasmi kwenye Mahakama ya Manzese, Sinza jijini Dar. Jide alifungua kesi ya madai ya talaka...
0 Reactions
77 Replies
13K Views
Image copyright Tina Knowles. Instagram Image caption Beyonce na wacheza densi wake waliovalia kama wanachama wa Black Panther Waandamanaji watatu walijitokeza katika mkutano wa kumpinga nyota wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ok, happy valentine wadau wa macelebrity wakibongo, Najua wote tumekua tukisikia mambo kadha wa kadha yakiendelea kuhusu ujauzito wa miss Tanzania mwaka 2006 (pichani) mara hivi mara vile. Hali...
11 Reactions
37 Replies
6K Views
ama kweli basata ni kuku au bata? msumeno usiokata! si mlisema mmefungia hii nyimbo?! studion yuko dj tass.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Image caption Kanye West Albamu mpya ya mwanamuziki Kanye West imepakuliwa kutoka mtandaoni zaidi ya mara 500,000 kulingana na kampuni ya kupakua kanda za video na sauti Torrent Freak. Msanii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
- Tukutane Saa Tisa Kamili leo at the Vodacom Tanzania Facebook Page na Ongea Saa 1 Bure Deilee I am humbled U know lets go guys!! le Mutuz
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Juzi kati Kanye West alikiri twitter kuwa ana deni la dollar million 53, na alimuomba mark Zuckerberg 1 billion U$ dollars ili a-invest kwenye ideas zakey Naona spending habits za hawa black...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Image copyright Image caption Kanye West ametoa albamu mpya Kijana mmoja nchini nchini Marekani anatarajia zawadi kutoka kwa mwanamuziki Kanye West baada yake kufanikiwa kujibu swali lake. Dante...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Yupo anahojiwa na akina Gardner, Seth na Mpoki. Anawachana na kuwashikisha adabu wazee wa mikorogo, team kibisa, wala bata wanaolala kwenye gari n.k. Stay tuned
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa mtazamo wangu. 1.Wanaodiss direct. 1.Ney wa mitego....kamdiss chidi,zay b,rap,east coast,madee,chidi Benz,zitto etc 2.lady Jay D,.....kadiss clouds,mwana fa,G Habash etc 3.Afande Sele,...huyu...
1 Reactions
50 Replies
12K Views
Image copyright Reuters Image caption Kanye West alisema majuzi kwamba anadaiwa $53m Mwanamuziki Kanye West amemuomba hadharani mwaanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg ampe usaidizi wa kifedha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zilizonifikia hivi punde na kuthibitishwa na chanzo huru kinataarifu msanii John Walker ameagaa dunia leo alfajiri akiwa hospitali ya Muhimbili alikofikisha kupatiwa matibabu. Walker...
6 Reactions
139 Replies
33K Views
Du!mpaka west....wow!hadi raha. UPDATE. Mtandao hakunikalia fresh,mpaka nikashindwa kuatach png yangu. ila shuka mpaka chini utaona. MTV Base West.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rapper anayejulikana kwa kurap kama mlevi, John Woka, amepata ajali ya kulipukiwa na mtungi wa gesi. Kwa sasa amelazwa kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. Walikuwa...
1 Reactions
42 Replies
15K Views
Diamond Platinumz “Kwenye Mitaa!!!....Molah nakushkuru kwakuwa naamini hizi zote ni baraka zako.... ila tu niwakumbushe ndugu zangu kuwa "Kuku hata umlishe nini kamwe hawezi kunyonyesha!"...
2 Reactions
42 Replies
11K Views
Samatta na Kiba kwa sasa ndio maarufu zaidi ndani ya Bongo waliofanikiwa kimataifa, Kiba alifanikiwa kimataifa kwa kutoa singo na R.KELLY na Samatta kafanikiwa kwa kupata timu ya ulaya ya GENK.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Angalia video hii alafu fananisha na ile Make me sing ya dai na AKA Mimi akili na macho vinaniambia bado ni vitu viwili tofauti. Ila bado kuna watu wanasema braza kateleza naomben ufafaanuzi.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom