Wamiliki wa mitandao ya kijamii,
ambao wana followers wengi na hivyo kujipatia LIKES za kutosha
wataanza kulipwa kwa kila LIKE
wanayopata.
Thamani ya LIKE moja inaanzia Tsh 2/- hadi Tsh 10/-...
Yule mdada kiuno bila mfupa! Rehema Chalamila a.k.a Ray c Ameahidi kupambana na Global publishers mahakani kwa madai ya kuzushiwa habari katika ukurasa wake wa insta ameandi haya
Seriously kwa...
Hivi kwa nini mastaa hasa wa kiume wanapendwa na kina dada wengi, wazuri, wastaarabu lakini hawako tayari kuwa nao ila wako tayari kuwa na mahusiano na mastaa wenzao hata kama wanatabia mbaya, n...
Zikiwa zimepita siku kadhaa toka Idris Sultan kuweka wazi kumpa ujauzito bidada Wema Sepetu kupitia katika account yake ya Instagram Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa Idris amempa heshima na...
Linah leo amefunguka kuwa anampango wakufanya Collabo na msanii wa Nigeria Wizkid,Linaha amefunguka kuwa alilazimika kutafuta contact za Wizkid na kuanza kuchat nae na kuomba kufanya nae Collabo...
Samanthajannsen
@idrissultan I think you and I have had this discussion a few times and you know as well as I do that I don't want you and that we better off as friends. With that being said I...
yeye kutumia hilo neno la nigga kwenye page ya instagram sijui anaona sawa,wakati ndo keshaingia kwa watu ambao asihangae siku moja wakalitumia akiwa uwanjani,meneja wake amuambie a edit,aandike...
Diamond kupitia tuzo za Bingwa zinazotolewa nchini Kenya ameibuka kifua mbele akimuacha Balozi asijue la kufanya zaidi ya kutoa macho kijana akichukua tuzo ya Tanzanian Artist of the Year...
Jamaa nilidhani kashapotea mazima maana kwa mda mrefu hajasikika, ila kwa huu wimbo mpya alioutoa unaitwa 'Mama Kijacho' naamini utamrudisha, audio nzuri, video iko simple inaendana na maudhui...
Ukitembelea page za Mastaa mbalimbali kwenye social media,,, kwa bongo na nje / intenational celebrities... Wengi huwa hawa reply comments za mashabiki....
Swali mi najiulizaga ni kwamba huwa...
Nimekuwa nikiona wasanii wengi wa filamu, mitindo na muziki wakijitokeza kushiriki shughuli mbalimbali za kijamii kama vile kusaidia watoto waishio kwenye mazingira magumu, kuhamasisha siasa...
“NIMEKUCHAGUA wewe, uwe wanguu… Wangu wa maisha, wa kufa na kuzikana, sijali maneno ya watu, wasememayo, yaliyopita si ndwele, tugange yanayokuja…”
Hicho ni kibwagizo cha Wimbo Nimekuchagua Wewe...
Diamond platnumz ameonyesha ofisi yake ili kuwapa nguvu vijana wanaotafuta wasikate tamaa muhimu ni kujituma.
Diamond ameonyesha picha alipotembelewa na mama yake ameandika'' guess who visited in...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Leo imenibidi tu nisemeee. Huko Insta watu wana kazi ya kumshawishi Wema zaa, zaa,mara...
Diamond Platnumz amesema akiachana na Muziki anataka kuwa Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ili kuweka vitu sawa na kutoa fursa zaidi kwa vijana.
Akizungumza katika kipindi cha Papaso...
Kwanza kabisa naomba niwajuze wale wasiomfahamu nifah...
Mimi ni mkweli na mwenye msimamo mkali.
Huwa nasimamia katika kile ninachokiamini bila kuogopa wengine watapinga vipi au kunichukulia vipi...
Akizungumza kwa hasia na Ayo TV Alhamisi hii, Diamond alisema anawashangaa wasanii wanaotumia muda mwingi kumponda mtoto wake kuliko kutafuta pesa.
“Watu wamekaa kwenye sanaa muda mrefu mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.