Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwenye Infos Zaid kumuhusu huyu binti anipe, napenda sana anavyo flow... Nahitaji kum manage nimfikishe mbali kabisa kwenye kilele.
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Chama cha wasanii Tanzania bara na visawani
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Huyu ni msanii ambaye kwakweli ameiletea sifa nyingi sn Tz Na Africa kwa ujumla . Lkn nyimbo zake hata hazina dakika tano najiuliza kuhusu kina Marijan Rajabu nyimbo zao zilikuaa ndefu Na bonge...
6 Reactions
54 Replies
8K Views
Awali ya yote nipende Kutoa Shukrani zangu za kipekee kwa mwenyezi Mungu kwa kunilinda wiki nzima hata nmepata nafaSi yakuwepo tena leo hii hapa Jukwaani leo tuna angaza jicho kwa wakali hawa wa...
1 Reactions
75 Replies
9K Views
Hivi Inaingia Akilini Kwenu Mtu Ambaye Anajua Fika Kuwa 90% Ya Watanzania Ni MASIKINI Wa KUTUKUKA Ambao Kila Siku Tunahangaika Kuutafuta Mkate Na Sometimes Tunalala Tu " Kavu Kavu " Na Kupiga "...
1 Reactions
67 Replies
12K Views
Hebu pata trailer kidogo trailer ya Tumaini utoe maoni yako
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyota wa muziki Bongo fleva maarufu kama Diamond Platnumz ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa "Utanipenda" anategemea kwenda kufanya maajabu nchini "Swedeni" ambako atakanyaga stage moja na mkali...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani ndugu wana jf,hivi huyu mtangazaji wa Radio Free aitwaye Fredrick Bundala au Sky Walker yuko wapi?maana siku hizi simsikii akitangaza,je ameacha kazi au yuko wapi?
1 Reactions
18 Replies
11K Views
Tuko njema wadau? Nazani kila uchao Hawa manguli Wa game lazima watajwe tu tutake tusitake. Hiki kisa ndo kilichonifanya niweke bando niingie JF leo . Tunakumbuka tiGo Concert show-2015? Wasanii...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ipo wazi kwa sasa muziki wa bongofleva ni wa Diamond Platinumz. Uku kukiwa na Kiba pembeni anayesimama kwa nguvu ya Diamond anae survive kwa ushindani aliotengeneza unaofanya watu wanamkumbuka...
3 Reactions
56 Replies
14K Views
Kingwendu: Ningepewa airtime ningekuwa level moja na Diamond na Alikiba Mchekeshaji maarufu nchini, Kingwendu amesema kama nyimbo zake zingepata promotion ya kutosha, angekuwa anashindana na...
4 Reactions
17 Replies
8K Views
Nilisikia huu utaratibu kwamba watakuwa wanalipwa pindi nyimbo zikipigwa redioni. Hivi ni pesa ngap? Inafika elfu hamsini kwa siku ? Ama kuna utaratibu gani unatumika? Mi naona hamna realistic...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
G nako na huu wimbo wake mpya sijamuelewa, ni aina gani ya Music?? Kwa hali hii siamini kama ataweza toboa, atabaki kuwa bora kwenye kushirikishwa tu.. ======= Mawingu na manyunyu ya hapa na...
2 Reactions
50 Replies
10K Views
Wimbo mpya wa kaka mkubwa kwenye gemu AY zigo remix iliotoka jana video yake, nimeona mabadiliko kwa Diamond amerap kidogo na nyimbo ameinogesha. Kazi nzuri kwa vijana wetu.
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Naangalia FNL hapa anafanya show nyimbo zake..huyu jamaa bado yuko na kipaji Sana!!!
3 Reactions
148 Replies
20K Views
Nataka kujua baba tifa, analipwa bei gani kwa show za ndani na nje kwa sasa, ukizingatia anatembea na team kubwa kwa ss, wapiga picha, DJ, dancers na pia ana mameneja watatu, tafadhal
1 Reactions
30 Replies
18K Views
Hivi huu mfumo wa kuwalipa wasanii ukianza kila wimbo unapopigwa msanii analipwa ni wasanii wangapi watasurvive? Mi naona tutawapoteza wasanii wengi sana, sioni mtu kama 'Ruge Mutahaba' akubali...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Msechu ambaye ametoa video ya ‘Malava’ hivi karibuni inayoonekana kuwavutia wengi kutokana na jinsi alivyoutumia unene wake kufanya video ifurahishe, amesema kuwa watu inabidi wafahamu kwamba...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Back
Top Bottom