Nimeangalia na kusikiliza cover kibao za wimbo wa Hello wa Msanii nguli wa Uingereza 'Adele'. Leo nimeangalia na kusikiliza cover ya msanii wa kibongo Beka nimegundua dogo ana kipaji si haba...
Lile sakata lililomuhusisha Naibu kiongozi mmoja wa masuala ya kibaiolojia, Mr. Thursday Napigwangwala na msimamizi mmoja wa masuala hayo hayo Mr. Week Year juu ya huduma zake kumbe wala...
MSHIRIKI wa Miss Tanzania 2005 ambaye pia ni mcheza fi lamu, Maureen Gislary ameibuka na kutaka namba ya simu ya mchezaji wa timu ya Taifa Stars na Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo,Mbwana Samatta...
Nilikuwa nacheck mtv base kipindi chao cha verified nimeona ngoma ya nagharamia imepingwa.Naona jamaa baada ya lile shindano la face of tanzania kunakitu wamejifunza..
Akihojiwa na mtangazaji ktk kipindi cha nevarna eatv amesema alilazimika kuongeza umri ili aruhusiwe kushiriki mashindano ya urembo kwani alikuwa chini ya miaka 18.
Icon wa Bongo flava Naseeb ‘Diamond’ Abdul, amewashangaa wasanii wanaomtupia maneno kila kukicha kuwa anawabania wasanii wengine ‘connections’ za kung’ara kimataifa.
Akizungumza na TBC juzi...
Usishangae kukuta instagram Mbwana Samatta ana followers 81,000 tena wameongezeka juzi sababu ya hype ya karibuni,Ulimwengu Thomas ana 66,000 na yule daktari wetu aliye Marekani aliyegundua...
Namtaarifu Komredi Yusufu Makamba, kuwa yule kiboko yake 'MATONYA' amefariki usiku wa kuamkia leo kijijini kwakwe Mpamantwa wilaya ya Bahi, mazishi yatafanyika leo saa 10 jioni kijijini hapo...
Sahizi kwenye magroup mengi ya Whatsapp kuna hii namba ya kihindi inatembea sana +91 72 99 899640
Ni ya kihindi kwa code zake na ukiuliza chochote kile wabakujibu within a second its like...
Hello,
Cpwaa nadhan anajua mziki ila sahiv naona yuko kimya sana, anafanya ishu gani sahiv?? labda warumi waweza kuwa na jibu juu ya hili.
Action, 6 in the morning etc... izo ngoma zake...
Wiki iliyopita rapper wa Kenya Jackson Ngechu Makini a.k.a Prezzo alipokuwa kwenye mahojiano na Betty Kyalo wa KTN ya Kenya, aliulizwa kuhusu msanii mwenzake Jaguar, swali ambalo liliamsha upya...
Habarini Jf
Tanzania tukiwa katika hali sintofahamu kwa kilicho tokea Zanzibar tarehe 12/1/2016 kuhusu ubaguzi ambapo vijana wanao daiwa kuwa ni wa CCM kupita na bango lilowataka Machotara wa...
Kitabu kipya cha maisha ya Beyonce na Jay Z kimeingia mtaani. Ni kitabu kilichoandikwa kwa kina kuhusu maisha ya wanandoa hawa maarufu duniani. Kina kurasa 100, picha za kuvutia na historia zao...
Shilole,Eddy Kenzo wa Uganda penzi jipya.
Kwa sasa ni dhahiri kabisa penzi la Shilole na Nuh Mziwanda limefika mwisho baada Shishi kumtambulisha mpenzi wake mpya msanii,Eddy Kenzo kutoka nchini...
Icon wa Bongo flava Naseeb ‘Diamond’ Abdul, amewashangaa wasanii wanaomtupia maneno kila kukicha kuwa anawabania wasanii wengine ‘connections’ za kung’ara kimataifa.
Akizungumza na TBC juzi...
Akihojiwa na Savannah fm ya jijini Mwanza kwa njia ya simu katika kipindi cha "Bongo fleva na mbongo fleva wetu" aliulizwa kwanini ameweza kuwa kwenye mahusiano na staa bila penzi lake kuyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.