Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Joti ni mwigizaji mzuri lakini naona uvaaji wa magauni na mawigi aangalie mandhali,kama hii ya tigo na gauni haipendezi, niliipenda ile akiwa kwenye pulpit anatangaza wakulipee! Lakini hii ya...
6 Reactions
51 Replies
9K Views
ati nauliza wadau yule mchungaji wa tiba kwa kutumia chakula mch Isack Ndodi kafunga biashara ama kabadilisha staili ya kuhudumu.... manake si muoni kwa runing yangu siku hizi!!!:rolleyez:
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Lira Galore(20) kutoka houston kwa sasa ni video vixen,model na actress,ndie stripper aliyeweza kuuteka moyo wa mwana hip-hop kutoka young money,Drake. Kumezuka mtindo wa Ma-strippers wengi sana...
0 Reactions
20 Replies
13K Views
Kituo cha kwanza cha habari na cha kimataifa chenye makao makuu Atlanta, Marekani CNN Jana kilitua Dar es Salaam kuja kufanaya interview na Mr Icon, Hifadhi ya taifa ya Tanzania DIAMOND PLATINUMZ...
7 Reactions
69 Replies
12K Views
Jamani hivi inakuaje unamugeuza mtoto wako kuwa kitega uchumi? Yaani unawaza mpunga mpaka unamgeuza mwanao kitega uchumi? Au ndio kutafuta umaarufu? Vyombo vya kutetea haki za watoto mkuje...
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Habari Great Thinkers, Nimependa kushare na nyie mtazamo wangu kuhusu movies na series za siku hizi toka kwa wazungu. Nimekuwa nikishangazwa sana na movies hizi ambazo kwa ujumla stori yake...
8 Reactions
44 Replies
9K Views
Tukiwa tunasubiria kwa hamu kubwa ile collabo bora ya kimataifa kati ya Diamond Platinumz na Neyo, mtoto wa Alicia Keys akiwa ndani ya gari la baba yake ameshindwa kuvumilia na kujikuta...
2 Reactions
45 Replies
10K Views
Leo hii tarehe 02, October Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz aka kichwa cha bongo flavour aka King of Afropop ambaye ni Nembo ya Tanzania, The Legendary himself anasherekea siku yake ya kuzaliwa...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Diamond Platnumz ni mtu mwenye furaha kubwa baada ya producer maarufu wa Marekani, Swizz Beatz kupost video mbili kwenye Instagram zikimuonesha yeye na binti yake, Nicole Dean wakisikiliza nyimbo...
8 Reactions
25 Replies
5K Views
Nimejiuliza sana mpaka nimehamua kulimwaga hapa jamvini, hivi inakuaje msanii anawika na kupambwa sana katika vyombo vya habari hasa magazeti ya udaku udaku udaku, pia hata tuzo anazopata zinaleta...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Diamond platnumz ameendelea kung'aa africa baada ya kutajwa kwenye tuzo za magwiji wa music wa africa nchini Nigeria. Kwenye tuzo hizo za AELA, Diamond ametajwa kuwania vipengele 2. **Kipengele...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimeamini Lowassa ni chaguo la Mungu,yani kila napopita ni Lowassa tu aiseee hakuna nani wala nani wote kafunikaa,ni mtu anaeongozwa kusemwa sana kwenye vyombo vya habari kama tv,magazeti,radio...
10 Reactions
47 Replies
6K Views
Katika miaka yote hakika mwaka 2015 umekuwa wa mafanikio sana kwa Diamond Platnumz kikazi na maisha binafsi. (1) Princess Tiffah: Hii ni furaha ya Diamond kwa sasa, kwa muda mrefu amekuwa...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Sikutegemea kama kuna siku ningekaa na kufuatilia tamthiliya ya kiswahili ya kibongo tangu kuvunjika Kaole sanaa group,Enzi zile marehem mpendwa wetu kanumba akiwa hajaota kitambi,Ray akiwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kupitia ukurasa wake wa instagram msanii alikiba ameeleza kusikitishwa kwake na vyombo vya habari vya tanzania kutoupa uzito wowote na kutotoa ushirikiano wowote kushiriki kwake kwenye kampeni ya...
0 Reactions
84 Replies
12K Views
Huyu kijana kanifurahisha sana hakusahau alipotoka baada ya kufanikiwa. Kajijenga kwa umri mdogo sana, pesa haijamsumbua kufanya ya walimwengu kwa umri mdogo alionao. Ameweza kuepuka na temptation...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Nasikiaga wanasemaga wanja sunna ni hadi kwa watoto wa kiume?
0 Reactions
157 Replies
24K Views
MAMA mkwe wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond ' ambaye pia ni mama mzazi wa mzazi mwenza wa staa huyo , Zarinah Hassan ‘The Boss Lady ', Halima Hassan amempigia chapuo...
0 Reactions
120 Replies
31K Views
Dah! hivi kweli Serikali imekosa majibu ya swali la mh: Mbunge kuhusu mapato ya biashara ya ringtones..!? Kweli sasa naanza kuamini kuwa Serikali Inatukumbatiaga tu kwa Mda mfupi na kututumia...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…