Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mtoto wa Dangote leo anafikisha siku 40 za kuzaliwa.. =========== ====== Diamond knows how to brand his products. So tonight on Clouds TV people will take a tour to his house. Whether it...
7 Reactions
132 Replies
43K Views
MOYO huhifadhi mengi mazito hasa ya kuumiza! Staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejikuta akimwaga machozi wakati akianika siri tano nzito kuhusu mapenzi katika mahojiano...
0 Reactions
25 Replies
10K Views
Wabongo bwana kabla ya uchaguzi mada mitandaoni ilikuwa team Kiba na team Diamond mara ikaja boxing kila mtu team Mayweather wengine team Pacqiao pambano likaisha tukarudi tena kwenye team Kiba na...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Today is Zitto Kabwe's birthday Wish Zitto Kabwe a happy birthday Thursday, September 24th HBD ZZK P.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Diamond ni nooma sana, hakika hakukosewa kuwekwa kama Nembo ya Taifa la Tanzania bado kidogo tu tuanze kumtumia kwenye fedha halali kwa malipo ya Tshs zikiwa na picha yake, mimi nitapendekeza iwe...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
  • Closed
huyu binti ni mdogo wake na Hoyce Temu.......mashalaah mtoto huyu kuna kipindi alivuma sana mjini hasa kwa sifa ya shepu na umbo lake matratraa............naomba kujuzwa yupo api siku...
0 Reactions
70 Replies
22K Views
Ni dhahiri na wazi kabisa wasanii wengi wa bongo fleva na bongo movie katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wamekuwa vinara wa kuvipga tafu vyama vya siasa, wengi wana support...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Eti hawazid hta watano waliomaliza form six?usiulizie degree maana huko ni sawa na kuiona pepo wakati ulikufa ukiwa unazini....maana ukitoa wale ma miss wa kipnd kile kanumba aliowa'boost cdhani...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Diamond platnumz kaonesha wazi msimamo wake katika mgonbea anayemtaka yeye. Sipingani na maamuzi yake, ila naona kama alikurupuka kufanya maamuzi hayo. Diamond angetambua kuwa washabiki wake wengi...
7 Reactions
600 Replies
62K Views
Katika hali isiyo ya kawaida,gwiji la mziki nchini Tanzania limepoteza tuzo moja katika sherehe ya 40 ya mtoto wake. Jinsi alivyoshituka. Mara baada ya kumaliza kupata chakula nakupiga picha na...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu habari! Nipo kigamboni hapa na jamaa mmoja wa karibu sana na Rais wa Wasafi, Sio siri yale aliyonieleza nibaki tu mdomo wazi. Kumbe siku hizi kuna tuzo za kununua kulingana na...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
hatimae rais wa wasafi duniani na kwenye galaxy,baba wa mtoto mwenye jina kubwa duniani na mwanamziki mwenye mkwanja mrefu kuliko wasanii wote afrika mashariki na kati anaetingisha na nyimbo ya...
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Ndugu... Nawapongeza sana kwa uwezo wenu wa kuelewa mambo na kuona mbali ,kwangu mna thamani kuliko fedha na tuzo za BEt au hata Mtv. Mmeonyesha ukomavu wakuitazama jamii na matarajio yake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiukweli mimi ni mpenzi mkubwa wa DIAMOND. lakini naangalia sporah show hapa anahojiwa ally kiba kiukweli huyu dogo ni mtu mwenye busara sana, tena ana akili na maadili. Kwa mambo aliyofanyiwa na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari yako: Naamini utakuwepo jf au kama siyo marafiki zako wapo humu please fikisha ujumbe huu kwake.. Kwa upande wangu CB ni mwimbaji mwenye sauti nzuri sana lakini pia tune zake...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hizi ni salamu tu, za pongezi kwa huyu Raisi wa bongo flavour na muwakilishi wa Taifa la Tanzania, aliyetunukiwa kuwa NEMBO YA TAIFA mwaka huu mwanzoni, hakika anazidi kutuweka vifua mbele kwa...
6 Reactions
23 Replies
7K Views
Mafanikio ya Nana aliyoshirikishwa na Diamond Platnumz yamemfanya msanii wa Nigeria, Flavour naye kumshirikisha staa huyo wa Tanzania. Tangu itoke miezi minne iliyopita video ya Nana imefikisha...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Ingawa kila mtu anahaki ya kupenda chama chochote lakini msiseme kua CCM ndio chama kinachowajari wasanii. Walikuwepo wasanii mahiri ambao walikua wahamasishaji wakubwa wa CCM lakini hata...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Mfalme wa Bongo Flavor Alikiba, aendelea kutoboa anga za kimataifa baada ya kuchaguliwa kuwa miongoni mwa watumbuizaji wa event kubwa ya Afrima Awards nchini Nigeria ambapo kwa mujibu wa ratiba ya...
0 Reactions
62 Replies
10K Views
mbongo fleva mondebinladen aka platnumz ametusua tena baada ya kuvuna tuzo ambazo kiba ataishia kuzisikia tu radioni.monde ameshinda tuzo ya msanii wa mwaka anaependwa zaidi na wimbo bora wa mwaka...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Back
Top Bottom