PENZI ni kikohozi, kulificha huwezi ! Habari ya mjini kwa sasa ni mahaba niue ya muuza nyago kwenye nyimbo za wanamuziki wa Bongo Fleva, Agness Gerald ‘Masogange ' na staa wa muziki nchini...
MYNER SPARTAN MDADA CELEB WA KIBONGO AMBAYE ANAKIMBIZA KWA UZURI MJINI HAPA NA NI MPENZI WA CELEB MWINGINE WA KIBONGO AITWAYE DULLAH SPARTAN
MUNGU AWAONGOZE KWENYE MAPENZI YAO
Katika hali na kuhuzunisha na kustabisha mashabiki wa kiba wameamua kulilia nomination za MTV Ema kwa kuanzisha tag zao et I nomintee kiba wakati kiba video ya chekecha haijawahi pigwa MTV pwilo...
Team wema ikiongozwa na wema sepetu safari hii wame mshika pabaya kiba ni baada ya kumuambia kuwa lazima ashiriki kampeni za ccm na kumpost kuwa Ana muunga mkono magufuli la sivyo hawampigi kura...
Kwa Africa ni nadra Sana kukuta msanii ana 1m followers hadi sasa ni wasanii watatu tu ndo wenywe followers 1m Instagram ambao ni Diamond, Davido na Wiz Kid
Msanii wa hip hop kutoka Detroit Bryon Cox alias Dex Osama 26 usiku wa kuamkia Jana aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye ukumbi wa wadada wanaocheza uchi(strip club) Crazy Horse.
Dex Osama...
Mkali wao kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz ' na mtoto wa dada yake Esma , Taraj wamezua gumzo la aina yake baada picha yao kutupiwa mtandaoni na watu kudhani ni yule Tiffah...
R.KELLY,P.DIDY,MARIAH KELLY,TONY BRAXTON,SNOOPY DOGY DOGY,JERMAINE DUPRI, hawa wanamziki kwa sasa age yao inagonga miaka 45 to 50. lakini bado wanakamua na song kali hatari.
Tofauti na wasanii...
Wakuu tusaidiane hapa,
Ni kwanini wasanii wetu hapa Bongo wanaogopa kuongozana na familia zao katika matukio muhimu mfano wanapoenda kuchukua tuzo za aina mbalimbali wanaenda peke yao tu tofauti...
Nilikua napita pita youtube nikajikumbushia ngoma ya "she wolf" ya shakira hiyo namba ya views sasa ni kiboko (japokua ni kwaida kwa wasanii wa mbele kua na viewers wengi),posted 6yrs ago,number...
Wakuu nina hoja fupi sana hapa!
Why Joti anapatia sana kwenye matangazo ya Tigo? Alikimbiza na mzee Mwalubadu na sasa anavuruga na hili tangazo la Tigopesa. Joti amewafunika wasanii wote ila...
​
(The Hollywood Reporter)Comedian Damon Wayans shared his theory on the reasons behind the sexual assault allegations against Bill Cosby when he visited Power 105's The Breakfast Club on...
Jackline wolper jana alivishwa pete ya uchumba.Tumuombee safari ifike salama mwisho isije ikaishia njiani kama ile maana mpaka dini alibadilisha picha zinajieleza.
Wambea wenzangu mpo
Chuchu Hans amethibitisha katk mkutano wa ccm moro kwamba amerudi ccm, leo hii taarifa inasema Juma Nature ametangaza kurudi ccm ktk kampeni, hii ikoje wadau? ina ashiria nini? vijana wasanii...
King kiba ameweza Leo kufanya shoo ya kampeni uko mtwara na kukata mauno vilivyo wakati anaimba wimbo wa chekecha na kuwa furahisha ccm na bwana Magufuli hasa kwa ule wimbo wake wa kimasomaso na...
Nyuma ya safari za mara kwa mara za Mbongo fleva, Nasibu Abdul Diamond Platnumz za nchini Nigeria, kumeibuka madai mazito kuwa , anapokwenda huko hufundishwa mbinu za uchawi ili kukubalika...
WanaJF,
Kwa wale waliokuwa wanatilia shaka uhusiano wa Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Dr Wilbroad Slaa na mchumba wake Josephine Mushumbusi wameumbuka kwani tayari mahakama ilishatengua ndoa...
Kazi anayofanya mwandishi na na mtangazaji wa BBC imekubalika sana hasa kwa watangazaji chipukizi wa TZ
Nilikuwa naangalia habari mlimani TV ... Kuna mtangazaji anaitwa David Nkya.. Yaani...
Staa wa filamu Bongo , Riyama Ally kwa mara ya kwanza amenaswa laivu na kijana aliyemtambulisha kama mwandani wake , akimtaja kwa jina la Idd Mwalimu Mzee , anayemzidi umri kwa miaka saba ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.