Watu wanamwaga povu kisa Diamond na baadhi ya wasanii wamejitokeza kuipigia kampeni CCM na madai yao ni kwamba wasanii ni wasaliti wa mabadiliko!! Guys, are serious?! Hivi ni kwamba hatufahamu...
Alikiba ndiyo msanii aliyepata nomination nyingi (4) kuliko wasani wote wa East Africa, huku hasimu wake Diamond akiambulia nomination 2 kwenye tuzo hizi.
Note: Hii ni kavu kavu bila collabo...
Huyu jamaa nakumbuka sana jinsi alivyokuja kwa kasi sana na hit songs zake kama Silali, Marry me, Follow me, Roho yangu.
Hadi nakumbuka kuna interview moja msanii Diamond aliwahi kukiri kuwa Rich...
Kama ilivyo ada kuwa upatapo mtoto ni lazima umpatie jina, lakini wengi wamekuwa wakiwapa watoto wao majina pasi na kuwa na sababu ya kwanini wanafanya hivyo.
Lakini hii ni tofauti kwa msanii...
Wanajamvi,
Katika wasanii ambao nilitegemea wawe karibu sana na CCM ni Ray C...siongelei kiushabiki maana ni ukweli ulio wazi Ray C amesaidiwa sana na Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kiasi kwamba...
Nchi zote duniani kuna masikini (wa kipato) na matajiri wa kipato. Hata siku moja haitatokea kutokuwa na masikini; la sivyo maneno masikini na matajiri halingekuwapo kwenye msamiati (vocabulary)...
•Wasanii wawili manguli wa Bongofleva nchini, Alikiba na Diamond Platnumz wamechaguliwa kuwania Tuzo za AFRIMA AWARDS zitakazofanyika Tarehe "13th-15th of November" in Nigeria...
CHINDOMAN~huyu ndo A town Icon na ni fundi haswaa wa story katika nyimbo zake,story ya nyokaa,tumbonii,na nyimbo zake nyingine nyingi,umbwaa anaweza sana kupangalia story kwenye verse
JCB~ukisikia...
Leo katika kipindi chake cha super mix amediliki kusema yeye hataki siasa. Hivi huyu mtu anajitambua kweli? Mimi ni shabiki wake na kila siku nilazima nimsikilizage Ila leo ameniacha hoi.
Hivi...
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila'Ray C' amedaiwa kufanya vurugu katika hospitali ya Mwananyamala,jijini Dar baada ya kuchelewa kupata dawa za kupunguza makali ya matumizi ya madawa...
Hii ndio thread itakayomaliza ubishi kati ya hawa wanamuziki wawili.
Chagua msanii unayemkubali kisha vote.
Team zote mbili karibuni sana
Created by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
Habari wana Jf
Hivi kuna hii tabia ya watu tofauti kuchanganya wadhifa wa watu bila kujitambua.
Ni nini hasa tofauti kati ya superstar(staa) na celebrity(mtu maarufu).
Nahisi itasaidia wengi...
Niwapongeze wasanii Aunt Ezekiel, Jackie Wolper, Shamsa ford na Nay wa mitego kwa kuunga mkono mabadiliko katika nchi yetu.
Si jambo ndogo kuacha rushwa na vitisho vya CCM na kuunga mkono...
Muimbaji wa kundi la Rock la U2 na mwanzilishi wa One Campaign, Paul David Hewson maarufu kama Bono amewakutanisha wasanii wa Afrika wakiwemo Diamond, Banky W, D'Banj, Omotola, Waje na wengine...
Nimeshangaa kuona DTV nao eti wameanzisha kipindi cha mahojiano na wasanii huku wakiwa kwenye salon kama anavyo fanya salama kwenye kipindi cha mkasi tena mda uleule salama anaporusha kipindi. leo...
Nimeanza kuona weusi na Vanessa wanatumia resources kibao kujitangaza AFRICA ila mimi kwa mtazamo wangu naona ni ngumu. MOJA YA SIFA YA MALENGO NI KUWA Lazima yawe ACHIRVABLE( yawe...
Wanajamvi naomba mwenye taarifa na mahali alipo mtangazaji wa zamani wa vipindi vya muziki katika televisheni ya CTN Rahma Aziz. Ni mmoja wa watangazaji wachache wabunifu katika vipindi vya muziki...
Nyumba ya msanii Batuli aka Cleopatra yaungua moto akiwa kwenye uzinduzi wa kampeni. Hata hivyo hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha isipokuwa hakuambulia kitu chochote.
========
Msanii wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.