Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nigeria imepiga marufuku nyimbo kadhaa kuoneshwa kwenye TV na kupigwa katika vituo vya redio. Agizo hilo limetolewa na tume ya udhibiti wa matangazo, Nigeria Broadcasting Commission. NBC...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
wakuu, BASATA na TCRA hii ni barua ya wazi kwenu ;Sina budi niseme kwamba BASATA na TCRA bado hamjatutendea haki Watanzania kwenye sanaa kuhusu maadili kabisa kabisa ,mmekuwa watu wakushtushwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni kingkiba moja ya wasanii wa Africa waliobahatika kukutana na kufanya kazi na wasnii wanaofahamika duniani kama R.Kelly na saizi tena ni Neyo !!!wasanii wenine wengine wa Africa ni kina Davido...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
akihojiwa na radio Clouds Fm kupitia kipindi cha 255 amesema Zari hajawahi kuolewa na hata Zari mwenyewe hana kumbukumbu kama aliwahi kuolewa.........bwahaha Diamond amesema hana muda wa...
1 Reactions
61 Replies
12K Views
Hatar sana,Mtaa wa pili kimya.
1 Reactions
14 Replies
5K Views
AFRIMA kwa kirefu ni All Africa Music Awards na hufanyika na zitafanyika Nigeria kwa kipindi cha hii miaka (2014-2016) ambapo kila msanii wa Africa ana haki ya kutuma nyimbo zake ambapo baada...
2 Reactions
85 Replies
11K Views
Nampenda sana huyu mdada kutoka Mvita. Ni bonge la mwimbaji. Wadau mnasemaje?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Huko Instagram mdada Wema Sepetu, the failure one:eek:, amepost picha ya Magufuri na kusema "Huyu ndiye raisi wangu wengine wa kukodi tu".. Hahaha kilichofuata kwa mafollowers wake sasa ehee..
4 Reactions
52 Replies
12K Views
muigizaji wa bongo movies Irene Uwoya aliyejiunga na ccm na kuchaguliwa kuwa mbunge wa viti maalum tabora yupo hatarini kupoteza cheo chake cha ubunge wa viti maalum na huenda wabunge viti...
2 Reactions
13 Replies
8K Views
Rafiki yangu anayefundisha Idara ya Muziki amependa sana mashairi ya nyimbo kadhaa zilizoimbwa na wanamuziki hao watatu niliotaja haoi juu. Nilimsaidia kuyatafsri kwa kiingereza, lakina sasa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
DIAMOND'S CAMP SAY UNBOTHERED OVER BABAY'S DNA Dar es Salaam. Life on the fast lane has its price as socialite Zari Hassan and Bongo Flava star Diamond Platinumz would testify. After the birth...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hatimaye lile bifu lililodumu kwa miaka kadhaa baina ya mastaa wawili wa muziki waliounda Top Band , TID na Q-CHIEF llimezikwa rasmi leo ndani ya studio za CLOUDS FM. Mastaa hao wamehaidi kuja na...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Kuna mwana dada anaitwa ladynaa alipost tuhuma kwamba Diva anajikomba kwa petitman kwa kumtumia sms za kimahaba Diva akaja juu na kukanusha hajawasiliana na kutishia anakwenda polisi...
2 Reactions
44 Replies
11K Views
Kumekucha Instagram ni vijembe kwa kwenda mbele wanawake wenye mivuto ya kipekee zari na chagga bebe wapo ulingoni kila mmoja akijitapa kivyake sijui ndo kumgombania Ivan. Mie sijui nani mchokozi...
6 Reactions
422 Replies
66K Views
Nimetazama Marudi ya Matukio ya wiki, huyu dada mtajwa anatangaza akiwa ameficha pete kwa vidole vya mkono mwingine. Kwanini?
0 Reactions
72 Replies
18K Views
Tangu nilivyokuona Star Tv mwanzoni ulikuwa na weusi mzuri wa asili. Siku zinavyokwenda umekuwa zaidi ya mzungu, unadhani kuwa mzungu ni ishu. Jua weusi ukitoka ukirudi ni makovu. Ushamba...
3 Reactions
83 Replies
25K Views
Ulimwengu una maajabu mengi na mitandao ya kijamii inatusaidia kuyafahamu. Uhusiano wa Diamond na Zari the Bosslady haujawahi kupokelewa vizuri na ex wake Ivan aliyezaa naye watoto watatu wa...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Kupitia mtandao maarufu wa picha wa kijamii, mwanadada Kajala amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuweka picha ya simu aina ya samsung galaxy note 4 kwenye account yake kuwa anamiliki simu hiyo...
3 Reactions
76 Replies
15K Views
Back
Top Bottom