Wakuu habari zenu: Hii ni list ya wasanii wanaongiza pesa nyingi Africa Mashariki..
1.Daimond
2.Saut sol
3.christina shusho
4.Ali kiba
5.Bahati
6.Lady wanjara
7.jose chameleone
8.Bahati
Ila mimi...
Wanamwita mzee wa zaidi ya habari. Napenda uchambuzi wake kwenye kipindi cha Morning Magic. Ni mchambuzi na mtafiti wa kweli. Wadau tupeni details za huyu mwanahabari. Anaweza kuwa role model wangu
Habari zilizosambaa leo kutoka kwenye gazeti moja zinasema familia ya Diamond pamoja Na marafiki walishangazwa na kitendo cha Diamond kuzipeleka tuzo saba alizoshinda kwa Wema Sepetu badala ya...
Kuna jamaa wa B-hits anitwa Deddy, mimi nikimsikiliza naona anajua sana, hata ukisikiliza nyimbo alizoshirikishwa ana style yake flani ya tofauti. Amesikika kwenye ngoma ya Mabeste ya Ndole...
Akiwa anazungumza kwa madaha katika kituo cha Magic fm kipindi katika kipindi chao cha michezo huku muda mwingi akitumia kuiponda Simba, na haswa viongozi wake na haswa akimlenga msemaji mwenzie...
ATLANTA -
Channel 2 Action News has learned Bobbi Kristina Brown, 22, daughter of the late Whitney Houston, has died.
Her aunt, Pat Houston, told Channel 2 Action News in a statement:
"Bobbi...
Nimekuwa kwenye wasiwasi na hii mikufu ya dhahabu wanayovaa Macelebrity wetu hapa Bongo, wachanga na wakubwa. Tena kwa size mbali mbali mpaka nyingine zinaelemea shingoni, ndiyo ni fashion ya sasa...
Ni wasanii gani Tanzania wanaoishi maisha ya ukweli kwenye mitandao ya kijamii? Ni wapi pia ambao wana hadhi ya kuitwa superstars? Manake kila msanii hujiita superstar sijui kwa kutumia vigezo vipi?
Apata followers 304,000 sasa akiwapiku wale waliokuwa wakimupiku ambapo JM KIKWETE alikuwa akioza na kwa sasa ana followers 303,000 akifuatiwa na ZITTO mwenye followers 300,000 ila kwa EAST AFRICA...
Drake is going after Meek Mill and this time with a vengeance, ripping on his manhood for being girlfriend Nicki Minaj's opening act.The song -- titled "Back to Back" -- is actually his second...
Umofia kwenu wana JF,
Meneja wa wema sepetu(beautiful onyinye) martin kadinda yupo mbioni kufunga ndoa na mchumba wake! Stay tuned.
~~~~~~~
Mbunifu wa mavazi Bongo, Martin Kadinda, amesema kuwa...
On Instagram:
@Thebestfetty; "Zilitoka mixtape za matusi za ANTI VIRUS vol 1 na 2, BASATA ilikaa kimya na ilitoa kibali cha uzinduzi wa anti virus volume 2, Viwanja vya posta, licha ya...
Jamani ni aibu......... Ben Kinyaiya jana alitaka kupiga picha na Drogba pale uwanja mpya wa taifa.....lakini akivyosukumwa na watu wa security......ni aibu kwa jinsi alivyodondoka...
Uchunguzi uliofanywa hivi majuzi kuhusu mtizamo wa wasanii wa tz towards sera ya usenge, imebainika kwamba, baadhi ya wasanii wa kiume, hasa wale wanaopenda kuvaa heleni, chachandu/shanga...
Leo asubuhi nilikua nasililiza redio Efm, mtangazaji simkumbuki jina zamani alikuwa mtangazaji wa East africa radio kipindi cha Friday night live.
Aliplay ile nyimbo ya Tanzania Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.