Jamani leo naomba mnisaidie kwenye hili jambo, kuna kasumba ya watu kujadili mambo mengi sana mpaka maumbile au viungo vya baadhi ya macelebrity hapa nchini.
Mfano, wengi tushasikia mjadala juu...
Umofia kwenu wana JF,
Ray ameshangazwa sana na baadhi ya wasanii kama kina JB na wengine kuinua sanaa ya sinema, tofauti na alivyotegemea. Namnukuu "Thus why I'm so wonders, yaani nimeshangaa"
∆Tunaambiwa kilasiku tujitahidi kupunguza maadui na sio kuwaongeza, Diamond kafanya hivyo mwakahuu, na kilichonifurahisha zaidi kapatana na wale watu wote wenye mchango mkubwa kwenye...
Tanzania is once again paving through the way of success in the music industry through it's popular musician Diamond platnumz, Success isn't talked but seen, this can be seen crystal clear in the...
Katika wasanii wanaojiita ma wachekeshaji sio kama Stan Bakora anastahili, mbona me hata hajawahi kunichekesha.
Nadhani hana kipaji ile umaarufu ni wa kutengeneza tu ukichangiwa na kick.
Au...
Ni muda mrefu sana sasa sijamsikia akitangaza na kwa bahati mbaya sijawahi kusikia chochote kumhusu. Je, kuna mwenye kujua alipo kwa sasa na anafanya nini?
Wakuu wimbo huu ambao upo in form of demo, umeendelea kupata downloaders wengi kwenye web na blogs mbalimbali East Africa, na blogs mbalimbali za Nigeria. Wimbo huu unakwenda kwa jina la "School...
Hivi huyu mtu anajielewa? Huwezi ukawa msanii mwenye akili upanie kum-kiss Angelina Jolie ukipata hela, mara ukivaa kiatu mara moja hurudii, una madem 65.
Huyu dogo anahitaji ushauri
Wakati watu leo wako bize kuthrowback ishu mbali mbali ghafla nimemkumbuka mkali wa hizi kazi,Kibra Msitu wa vina a.k.a Juma Nature.
Nakumbuka mara ya kwanza namuona anachana kipindi hiko mie...
Nikiangalia maisha ya mastaa wa Kibongo walivyotawaliwa na unafiki, saa zingine nabaki nacheka tu. Picha linaanza.
S01E01 Wema ana bifu na Jokate kisa Diamond,
S01E02 Wema ana bifu na Penny...
Belle 9 amedai kuwa kwenye muziki wake haamini kama collabo ni njia sahihi ya kumfikisha kimataifa zaidi. Akizungumza na Bongo5, Belle amesema wapo wasanii kadhaa walioweza kutoboa bila hata...
Muimbaji mkubwa wa Nigeria, DBanjamemlalamikia Diamond kwa kumzungusha kufanya naye collabo. Kokomaster amesema kuwa toka walipokutana na Diamond walizungumza na kukubaliana kufanya collabo...
Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C amefungua mlango kwa mwanaume yoyote anayetaka kumuoa ajitokeze ilimradi awe na vigezo 10 ambavyo ameviainisha. Kupitia ukurasa wake wa instagram Ray C...
Tukubaliane kwa pamoja sasa kwamba Nasibu Abdul ‘Diamond' ni habari nyingine. Weka pembeni habari ya nyota, juhudi zake binafsi zimekuwa chachu ya kumfikisha alipo sasa. Inahitaji akili kuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amempigia simu msanii wa bongo fleva Diamond Platinum kumpongeza kwa kushinda tuzo ya MTV.
Rais wetu ni hazina kwa taifa, tutamkumbuka sana.
Chanzo...
Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) akipozi kwa picha na mameneja wake mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo. kulia ni Bw. Said Fella na kutoka...
Hakuna ubishi kwamba Davido, msanii kutoka Nigeria, anayewika na kufanya vizuri pengine kuliko msanii yeyote kwa sasa (kizazi kipya) nchini humo na Afrika kwa ujumla, ndiye msanii aliyemrahishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.