The next James Bond could be black or gay, argues 007 veteran Pierce Brosnan.
Sure. Why not? the Irish star was quoted as telling mens magazine Details when asked if he could picture a gay...
Nlikua shabiki mkubwa sana wa bwana mdogo diamond ila kwa post yake ya kikabila leo nimemdharau sana. ..ckatai yy kushabikia CCM Bali maneno yake yanaweza kuwa na impact kubwa sana kwa jamii yaje...
Habari wakuu!
Muda huu nipo hapa chaderz records Dar, Nimepata upenyo wa kusikiliza Audio ya Wimbo wa Alikiba x Christian Bella, kwakwel kama ni kufuru basi hii ni zaidi ya laana, kama ni dharau...
Nasema mmejiita kioo cha jamii kwa sababu sijaiona taarifa rasmi inayosema ninyi wasanii wa muziki, filamu etc ni kioo cha jamii.
Kwa mbali sana ningeweza kuelewa wanariadha au wacheza mpira wa...
Habari wakuu! Mpaka sasa hizi ndo jumla ya collabo za Alikiba zilizokamilika na zilizopo jikoni.
1.Christian Bella X Alikiba
Jina la wimbo ni "Nagharamia"
Owner wa collabo wote 2 Bella na...
Verse 1(Delvin):Nakuomba Nerea, Usitoe Mimba Yangu We,
Mungu Akileta Mtoto, Analeta Saa Ni Yake,
Mlete Nitamlea, Usitoe Mimba Yangu We,
Mungu Akileta Mtoto, Analeta Saa Ni Yake,
(Bien):
Huenda...
Nimesikitishwa Sana kusikia king kiba nae atakuwemo kwny kampeni za ccm kwann umewafanyia ivyo mashabiki zko je ni na ww unadhiki km wale wasanii wenzako je ni tamaa ya fedha au ndo uhaba wa...
Hifadhi ya taifa Diamond platinumz amepewa shavu kuwepo katika kampeni ya The Global Goals ambayo inahusikana na vita ya kutokomeza umasikini, njaa, maradhi na matatizo mengine katika bara la...
BARUA YA WAZI KWA MAMLAKA HUSIKA ZOTE, JUU YA SWALA LILILOMKUTA SHILOLE KWA KITENDO CHAKE CHA KUONEKANA AKIWA ANATUMBUIZA NCHINI BELGIUM HUKU SEHEMU ZAKE ZA MWILI ZIKIWA NJE MIEZI KADHAA...
Wasalaam wana Jf,
Nikiwa kama raia ambaye ili nipunguze 'stress' za kila siku za kimaisha, nahitaji burudani mbalimbali! Mojawapo ya burudani ni muziki na maigizo. Nimesikitishwa na wengi wa...
Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu' amekumbwa na masaibu mapya ya kuvamiwa na vibaka nyumbani kwake, Mbezi Beach jijini Dar na kumuibia simu zake mbili aina ya Iphone.
Tukio...
Duniani kunamambo, huyu jamaa anapesa si mchezo, anawatoto watano aliozaa nao na wanawake wawili tofauti na sasa jabadili jinsia sasa sijui hao watoto wake wanamuonaje aisee! soma zaidi kuhusu...
Hatimae jana Idris Sultan alizirusha game zake 2 binafsi playstore (kwa wale wanao tumia simu za android wanaelewa nazungumza nini, nakupata sifa kedekede kwenye makampuni na mashabiki wake...
Basata wanatakiwa kujifunza toka kwa NBC ya Nigeria sio Basata kila cku Ina fungia video za ndani ya Tanzania za nje zinazoharibu watoto wetu na wadogo zetu zinaendelea kupeta na kupigwa mchana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.