Jamani mimi ni msanii chipukizi nilikua nataka ni shoot video na ninataka nimtumie bibie SEPETU kama video queen then nitamlipa baada ya kuuza wimbo wangu MKITO,so kama kuna mtu anaweza nihook up...
Msanii Diamond ni mmoja wa wasanii vijana waliopata umaarufu kwa juhudi zake na support ya washabiki wake hasa vijana wenzie katika siku hizi za karibuni.
Kwa sasa amependekezwa kuwania tuzo za...
MTV Base (DStv channel 322) today revealed that Diamond Platnumz is the winner of the 2015 MTV EMAs Best African Act.Scores of music fans visited mtvema.com to vote for Diamond Platnumz, who beat...
Hivi yule mganga wa diamond aliishia wapi jameni? naye ni celebrity ujue, tangu siku ile naona kimya no updates kwenye magazeti pendwa hata radios.Mwenye taarifa/updates zake atujuze nmemkumbuka...
Alishinda kama msanii anaependwa zaidi Africa na nyimbo inayopendwa zaidi africa ya NANA kwa mwaka 2015.
Kijana sasa atarejea nyumbani na tuzo 5 kutoka Marekani. Nahakika mwaka huu hatausahau kwa...
Hatimaye ile siku iloyosubiriwa na wengi ni leo, Diamond yupo category 7 ila probably hata tuzo 3 anaweza asinuse.
Huku category ya Best Male in East Africa ikionekana kuwa na ushindani mkubwa...
Kwanza hongera kwa nyimbo yako mpya never ever ni nzuri, hata video yako ina quality nzuri ila nimepata ukakasi kidogo na mavazi vile vichupi mle ndani tena vimeloana na maji naona si sawa, hasa...
Daaaaahh huyu jamaa ni wa Uganda.
Anatambulika kimataifa na ameshapata tuzo kubwa za BET na MTV. Ni mwanamuziki wa kizazi kipya nchini Uganda aliyekuja kuwafunika Bebe Cool, Radio&Weasel...
Leo akiwa Chato kwenye kampeni za mgombea urais kupitia CCM,amepanda jukwani kuwarubuni mashabiki wake kwa tungo za kuipamba CCM.
Kwanza niseme kuwa,huyu bwana nilikuwa ninamheshimu sana...
Ni maneno ya King of all bongo social media LE MUTUZ
LIVE STRAIGHT TALK:- Morning Guys I love music na ninaujua music sibahatishi ninajua kupiga vyombo vya music I have been DJ all my life...
King of Afropop aliyeibuka kinara siku ya jana baada ya kuwagaragaza wasanii wenzake na kuibuka na ushindi wa hattrick yaani tuzo tatu huko dallas nchini marekani, aliamua kufunguka kuhusiana na...
Muimbaji huyo aliyeshinda tuzo tatu za Afrimma Jumapili hii ameiambia ya XXL ya Clouds FM kuwa amefanya hivyo kwa sababu mafanikio yake yanachangiwa na mtoto wake huyo.
Unajua ilikuwa ni moja...
Mamu (yule wa ulaya) na Kiba na Jokate
Hii ilidakwa insta wafuasi na Mamu wakionyesha kuwa bado yupp kwenye picha aaaaggghhh
Hii juzi walipoamua kujionyesha na pozi za kuiga ila...
Sikuona haja ya kuleta wasanii kuja kusindikiza onyesho la final la BSS 2015!
Christian Bella hongera zake nyingi na kwa walioona live watakubaliana nami kwa jinsi Bella alivyotoka na kitita...
Wanajf, habari zenu!!
Nimetokea kumpenda sana Bi Zainab Chondo wa Azam TV na kabla ya hapo alikuwa ITV.
Kila nikimuona atangazapo, moyo wangu huwa kwatuuu!!
Ni mzuri wa sura, umbo...
Tuzo tatu alizoshinda Diamond Platnumz.
Diamond Platnumz akiwa na moja ya tuzo alizoshinda pamoja na mchekeshaji kutoka Nigeria Basketmouth.
Ommy Dimpoz
Inaweza ikawa siyo mara ya kwanza...
BIASHARA imekwisha ! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kapo ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond Platnumz na Zarinah Hassan Zari The Boss Lady kudaiwa kuwa waliweka misingi ya penzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.