Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Habari wazalendo. Kumbe wale wasanii wawili wa bongo movie Aunt na Ray , ambao walijiondoa UKAWA hawakuwahi kujiandikisha kupiga kura na hawana kadi ya kupiga kura na hawapo katika daftari lolote...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Lile tamasha kubwa la BET Experience ambalo hufanyika L.A, Marekani wakati wa sherehe za utoaji wa tuzo za BET, linatarajiwa kufanyika Afrika kwa mara ya kwanza mwaka huu na kuitwa BET Experience...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Yaani huwezi kumfananisha na activist yeyote. Yaani ukichunguza post zote za siasa alizopost Insta utakubaliana na mimi kwamba ameonesha ubunifu wa hali ya juu na weledi wa kumnadi Lowasa na...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
KUPIGA KURA BONYEZA HAPA KUPIGA KURA BONYEZA HAPA
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Pamoja na wenyewe kudai hawajui kilichotokea , mastaa wawili wenye sura za mauzo kunako sinema za Kibongo , Elizabeth Michael ‘Lulu ' na Wema Isaac Sepetu, kwa sasa wanadaiwa kufikia pabaya...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
wakuu ikitokea tingatinga kashinda uchaguzi mkuu je atakubali zile ziara zisizo na tija yoyote pale magogoni ambazo ufanywa na huyu msanii best kwa wakuu wa kaya, kama afanyavyo sasa kwa mkuu wetu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nilikua mfuatiliaji wa mwanamuziki Lady Jay dee but yuko kimya sana hadi watoto wa juzi wanataka kumpita hasa huyu Vanessa Mdee anavyokuja kwa kasi ya ajabu hadi kufikia kuchukua tuzo ya...
0 Reactions
81 Replies
14K Views
Hongera mjomba,kama kweli hukuonekana kutumika kama daraja! Heshima yako itabakia kuwa juu daima,maana umekwepa meno ya wanasiasa kukutafuna kama muwa na mwisho kukutema ptuuuu! Njaa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Jaman wana jf mm naona hii system ya mtu kupata tunzo afu anaalika watu kuja kumpokea mm nahisi ni kama ushamba na ulimbukeni wa mafanikio coz sioni sababu ya kualika watu kuja kkupokea ety kisa...
4 Reactions
141 Replies
17K Views
Yupo wapi huyu jamaa maana nilikuwa naangalia hapa mchezo wao yupo Waridi,Natasha,Monalisa. Rich Richie anatoka na Monalisa huku anapiga Waridi alafu JB mkewe Natasha.
0 Reactions
28 Replies
13K Views
MBUNGE MTARAJIWA wa Kisarawe kwa tiketi ya CUF, Rashidi Mwinyishehe Mzange atakuwa kwenye Ukumbi wa Günes Theater, Rebstöcker Str. 49d, Jijini Frankfurt kwenye maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wafuasi ghafa walimwamuru asipande gari na waandamane kwa miguu kwenda Escape 1. Je maandamano yalikua na kibali?
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Done on Coke Studio. Follow this link https://www.youtube.com/watch?v=e5hBhLkfjLg
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanabodi, Naomba kwanza nikiri, sijawahi hata siku moja kutune in Clouds Radio kumsikiliza Diva!, Nilikuwa namuona kama mtangazaji ma..ya fulani, ambaye analegeza sauti yake kiwizi wizi ili...
2 Reactions
25 Replies
12K Views
KUTOKA moyoni! Bila kumtaja mwanaume husika, mwigizaji wa kitambo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’amekiri kuwahi kuingia vitani na staa mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’ kisa kikiwa ni kugombeapenzi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Since Tanzanian music star, Diamond Platnumz blew up on the continent, his star power has known no bounds. Giving the Nigerians (who normally dominate the African music scene) a run for their...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Jamani Mnaona Watoto Wa Wakukubwa Wanvyo Rithi Ufisadi, Hebu Anagalia Ubungo Terminals Ya Mabasi Ilivyochakaaa , Harafu Cha Kushangangaza Ni Kwamaba Kinje Anakula Kuku Tu, Mbabe Yeye Ukimwambia...
0 Reactions
60 Replies
16K Views
Msanii wa kimataifa Wizkid anategemea kufanya show ya kufa mtu siku ya 31 October 2015 show itwayo Wizkid in Dar katika viwanja vya leaders club. Hii pia ni fursa kwa wasanii wa bongo fleva...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
m.soundcloud.com/see-the-africa…
0 Reactions
4 Replies
2K Views
King of Afro pop in Africa and mult winner Artist Alikiba (KingKiba) hatimaye andelea kuonesha uwezo wake na kudhihirisha kuwa yeye ndiyo baba na mama wa mziki mzuri. Wimbo huu ulioleak unaitwa...
2 Reactions
92 Replies
10K Views
Back
Top Bottom