Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Video Queen Tunda Sabasita hivi karibuni ameweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi na mwanamuziki David Genze ‘Young D ’ ambapo amesema Mungu akipenda ndoa yao itafungwa soon . Akiongea na Ijumaa...
1 Reactions
56 Replies
27K Views
Huyu jamaa mchambuzi wa mpira wa miguu wa Azam Edo Kumwembe analitumia sana hili neno, kila sentence, THE WAY, THE WAY! Ananiboa sana!
0 Reactions
59 Replies
11K Views
Some years back i was very delighted to see our two players signed for Tp mazembe, Mbwana Samatta and thomas ulimwengu, i saw good omen for Tanzanian footbal,having two players in a big team like...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi! Kwa wale ambao tayari uchaguzi umeshapita na ni mashabiki wa Diamond, MTV Base Africa wametoa nafasi ya kumuuliza Diamond swali lolote kupitia Twitter. Kazi hii itaanza saa 10 (dakika chache...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwisho wa reli? Urafiki wa mastaa wawili wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Yobnesh Yusuf ?Batuli? unadaiwa kupoteza mwelekeo baada ya wawili hao kusemekana hawaivi tena kama ilkivyokuwa huko...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
https://soundcloud.com/see-the-africa-tv/exclusive-interview-diva vs iyanya
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Diamond Platinum amezidi kuonyesha ubora wake si kwa Tanzania tu bali Africa na ulimwengu mzima... Ubora huo unaonekana kwenye tunzo mbali mbali anazozidi kunyakua kadri siku zinavyosonga...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Hatimaye mwanamuziki anayeshika nafasi ya pili kuwa na mashabiki wengi zaidi instagram (zaidi ya milioni moja na laki moja) diamond platnumz account yake imetambulika rasmi na Instagram na...
1 Reactions
36 Replies
8K Views
Hivi karibuni Zuwena Mohamed ‘Shilole’ alichora tattoo yenye jina la boyfriend wake Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kwenye kifua chake, ikiwa ni ishara ya kuwa mapenzi yao yanazidi kushamiri. Kama...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Diamond ni mtu anaeonyesha juhudi nyingi sn ktk kujiinua kimziki, anafight ucku na mchana, ana hakikisha hapotezi fursa yoyote inayojitokeza ili kuinua mziki wetu POINT; Niwazi kwa wakati kama...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Diamond Platnumz ameiletea sifa na heshima kubwa Tanzania kwa mara nyingine, kwa kushinda tuzo kubwa ya ‘Best Worldwide Act Africa/India' kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards 2015...
4 Reactions
25 Replies
11K Views
Msanii Diamond Platnums usiku wa jana alifanikiwa kumbwaga chori chupke wa India bibie Priyanka Chopra na kuibuka na tuzo ya heshima kabisa matata kabisa ya Best world wide act. Jamanii huyu jamaa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Diamond Rais wa watu Smart ataibuka na mdede wa tuzo za MTVEMA-2015 katika category ya The Best WorldWide Live Act matokeo yanayotangazwa Leo? #MTVEMA-2015
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kimya sana kaacha kuimba ama
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Huyu jamaa ni mcheza kikapu Marekani alishachezeaga Lakers na pia alikuwa ni bwana ake na Khole Kadarshian. Wiki hii habari yake imeuza sana. Aliamua akale bata kwenye club moja hivi inaitwa love...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Sijawahi kujua ni utaratibu upi unatumika kukagua kipindi kabla hakijaenda hewani. Nimekaa hapa na Bi Mkubwa na mwanangu wakati na switch Chanel kutoka TBC kwenda EATV baada ya kusikiliza...
5 Reactions
75 Replies
11K Views
Tangu kujiingiza kwenye kampeni msanii ali kiba kwenye chama fulani nyota yake imefifia ghafla yaani hata wale watu waliokuwa wanamsapoti humu jukwaani wengi sasa hawapo nae mfano mzuri hata ile...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
We follow... Whats up with the Icon!? His wherabouts, nominations, wins.? Please. Keep him posted. Jembe letu hili, tulienzi.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
KWELI penzi ni kikohozi ! Mwigizaji wa sinema za Kibongo , Kajala Masanja na staa wa Bongo Fleva, Abbott Charles ‘Quick Rocka ’ wamedaiwa kuzama kwenye penzi zito licha ya wenyewe kutotaka watu...
0 Reactions
51 Replies
11K Views
Wakuu mimi nataka kujua nani mtabe kwa gemu ya bongo flava anaeongoza kwa kuchukua tunzo nyingi mpaka sasa hivi including local and international awards. Anayejua tafadhali anisaidie lakini kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom