Source:https://www.youtube.com/watch?v=W27PnUuXR_A
Published on Nov 16, 2015
"La Sape" is a unique movement based in Congo that unites fashion-conscious men who are ready to splurge money they...
AFRIMA wametoa list ya wasanii bora Africa,mtoto wa Mbagala anaetafutwa kama alimasi ameongoza list ya wasanii 15 bora kuwahi kutokea barani Africa.
Bravo mond!!
Mkali wa masauti, Christian Bella amekiri wimbo wake mpya aliomshirikisha Alikiba ''Nagharamia'' haupo kwenye mzunguko mzuri kwenye redio kama ilivyotarajiwa na kwamba ukipewa airtime utakuwa...
Diamond platnum label, wasafi classic imemtoa dogo harmonize na aiyola yake.
Mtu mzima diamond anazidi barikiwa tu kwa kunyanyua madogo kama hawa..
Mtaa wa pili upo kwenye game miaka kibao sijui...
Huyu binti ana lafudhi na hakika asili ya Kenya lakini ameweza kuwa mtangazaji mzuri wa mambo ya Tanzania. Kwa wanaomjua alianzia wapi na alifikajefikaje hapa bongo na asili yake. Je ana work...
Hivi huyu jamaaa alienda wapii maana alikua anaweza sana hasa kipindi cha bunge la wasikilizaji na weekend fever kama kid hayupo alikua anaweza sana huyuu mtuu ni level nyingine na SAUTI yake ya...
Akiandika kwenye blogu take ya U turn Mange amedai amefutiwa udhamini uliodumu miaka mitano na kampuni ya simu ya Vodacom.
Anadai Ni kutokana na kumshambulia Lowassa kwenye blogu na instagram
Nichukue nafasi hii kumpongeza na mwanaharakati wa kweli aliyetumia nguvu ya mic! kumletea mafanikio mpaka kuingia mjengoni Joseph Haule-Mbunge wa Mikumi! hongera heavy weight!!!
Alifanikiwa...
Joseph Haule a.k.a Professor Jay (amezaliwa tar. 29 Desemba 1975) ni msanii wa muziki wa hip hop laini kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Professor Jay. Katika...
Mida fulani ya alasiri nilikuwa nikisikiliza wimbo wa huyu muimbaji ambaye kwa sasa yuko kifunguni,nilimuwaza sana na nikahisi angekuwepo muda huu huku urain basi angekuwa akitoa upinzan wa...
Kuna wanamuziki wengi wakali sana mf.twenty percent,belle9,quchilla,ben paul nk. waigizaji wakali sana kina bi.star,muhogo mchungu,kina senga na wengine weng yaan huwa hawaonekan kwny tuzo lkn...
Dah Charlie alijua Ana a HIV one year a go .Ame date wanawake kibao . Amesema kafanya mapenzi na wanawake 5000 including Lindsey lohan , Kim kardashian .Hapa ngoma wataicheza
Bongo5 imemtafuta mtu wa karibu kwenye uongozi wa Alikiba kutaka kujua kile ambacho wanahisi msanii wao anafanyiwa na wengi hawavijui.
Mtu huyo ambaye hakutaka jina lake litajwe, alidai kuwa kuna...
Top 10 Wasanii wa Bongofleva matajiri mwaka 2015..
Kama kuna kitu ambacho unaweza kukitofautisha wakati mziki wa bongofleva unaanza hadi leo basi bila shaka ni thamani ya mziki ho kuongezeka mara...
baada ya wema sepetu kuisaidia ccm kupata ushindi,sasa ni zamu yake yeye na mwana fa kupewa ubunge wa viti maalumu
ama kwa hakika magufuli ataweka historia mpya na vijana watafurahi sana maana...
Mastaa wanaofanya poa kunako game ya film bongo, Aunty Ezekiel pamoja na wema sepetu ,hivi karibuni wanadaiwa kupatana baada ya bifu la muda mrefu kutokea hapo nyuma, hata hivyo baadhi ya...
Madai mazito ! Siku chache baada ya kubainika kuwa uwezekano wa mzazi mwenzake na ?kichaa ? wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ?Diamond Platnumz ?, Zarinah Hassan ?Zari The Boss Lady? kurudi Bongo na...
Chibu katika ubora wake!!!
Tuzo alizoshinda ni...
1. Mwimbaji bora wa Afrika
2. Mwimbaji bora wa Afrika Mashariki
3. Wimbo bora Afrika (Nasema Nawe)
Vanessa Mdee amenyakua tuzo ya Best Artist...
MAHASIMU wawili katika anga la mastaa , Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wiki iliyopita walikwepana na kushindwa kusalimiana, licha ya wote kuwa waalikwa katika hafla maalum ya kujipongeza iliyofanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.