Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Katika talk show host ni nani anavuta hela ndefu kupita wote au wanalipwa vipi kwa mwezi? 1: Salama Jabir 2:Sporah 3:Mboni Masimba Hao ndio naowajua mimi, ukiangalia wenzetu huku Marekani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo wema kakutwa kajiungia umeme kwa nia ya kukwepa kulipa malipo halali,natumia fursa hii kumuomba zari amsaidie wema kulipia bili amgalau miezi mitatu ili wema asherwkee sikukuu kwenye mwanga...
5 Reactions
44 Replies
8K Views
Shilole anatarajia kusafiri kwenye nchini Afrika Kusini kufanya video ya wimbo wake Nyan'ganyan'ga na Justin Campos. Shishi ameiambia Bongo5 kuwa wiki ijayo atasafiri kwaajili ya kwenda kufanya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ali kiba katoa nyimbo imebuma. Christian Bella katoa nyimbo na Koffi imebuma. Belle 9 katoa video kali na track mpya hakuna anaejali. Wema Sepetu na JB wanakuja na movie mpya sio...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu katika pitapita zangu kwenye instagram nimekumbana na hii picha ya mzee bruce jenner kwa jinsi alivuoharibika hii miguu ayse anajutia sasa
0 Reactions
54 Replies
8K Views
baada ya muda mrefu wa kusikilizishwa ngoma za uongo uongo za hip hop,makelele ya vichwa vya habari,vina vya kulazimisha,punch lines za kuunga unga,mistari ya kama kama mia tisa katika verse...
1 Reactions
45 Replies
10K Views
Sio punda wale wanaobeba mizigo ya kawaida???LA hasha,wanabeba mizigo kwa matumbo yao..tena wanapanda mpaka ndege hao punda,wapo na naamini watu wanawajua...mmoja huyu Mimi ni...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Muda huu yuko live clouds amesema yeye anawasaidizi wake hivyo wao wata muwakilisha bali yeye atafanya kile kilicho kwenye hadhi yake tuu. My take majibu haya pia yawafikie wale watu wa ccm...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wajua tena sisi mwezi huu tunakwenda nyumbani kwa ajili ya kukutana na familia zetu. Juzi Nilipokuwa Dar nilikuwa nasikia matangazo Radio 5 FM...91.3 Dar kuwa Diamond atakiwasha Geneva of Africa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Akiongea na AyoTv, mwanamuziki Ali Kiba amesema, 'Nimegundua mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo. Japo ni sifa lakini kiukweli music wangu una thamani kuliko tuzo. Ndio maana ninapoona ulazima naenda...
0 Reactions
79 Replies
15K Views
@ GUYS SISTER NI MBONGO MWENZETU ANASHIDANIA KUWA BALOZI WA JET MAGAZINE ANAHITAJI KURA 5,000 BY KESHO PLEASE GO HERE:- .......https://miss.jetsetmag.com/vote-for/aicha-mosha .....SELECT STEP 1...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zilizopatikana nchini kenya zinasema director wa video ya nagharamia iliyoshooting South Africa na mkenya Enok Olic ameamua kubaki na video hiyo kwasababu Christian Bella na Ali Kiba...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Diampond platnumz ametajwa kuwania kipengele cha Best male East Africa, Vanessa Mdee akiwania kipengele cha best female East Africa, Wakazi akiwania best hip hop , Yamoto Bendi wakiwania kipengele...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Kwa mujibu wa wakuu wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter wamesema, Katy Perry anaongoza kwa kuwa na wafuasi wengi ambao ni 78.3 milioni, akifuatiwa na Justin Bieber - 70.5 milioni. Wengine ni pamoja...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo Christian Bella Kaachia single ake alio mshirikisha Koffi Olomide Inayo itwa `ACHA KABISA' kama umepata wasaa wa kuisikiliza itakuwa pouwa Sijaona wala kuelewa Alicho imba Koffi Olomide...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari ikufikie kuwa mtoto mtamu anayesumbua katika tasnia ya filamu Bongo , Jacqueline Wolper Massawe ameweka pembeni masuala ya uigizaji kwa muda usiojulikana kwa kile alichodai ni kujipa muda...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Diamond Platnumz ameamua kumleta muongozaji wa video zake, Mike Ogoke maarufu kama Godfather na timu yake kuja kufanya video zake jijini Dar es Salaam. Diamond akiwa na msaidizi wa Godfather...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
WAkuu katika mash up collabo za nyimbo 4 alizofanya Alikiba na Victoria Kimani (Kenya), Mash up 3 zote zimepata kura nyingi na kuingia directly kwenye Album ya CokeStudio. Hii ni historia East...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
WanaJF, Bunge la 11 lina visa vyake vingi ila kwa leo napenda nije na hiki cha mbunge kisu na mrembo kuliko wabunge wote bungeni, nae sio mwingine bali ni Bona Kaluwa (mb), ambae ni mbunge wa...
0 Reactions
119 Replies
34K Views
Back
Top Bottom