Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu. Ufisadi? Wakati soo lake la kubambwa na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akidaiwa kuliibia umeme kwa figisufigisu za kimjini, staa wa sinema za...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Habari Wakuu Ni Kama siku moja imepita tangu Msanii Nikki Wapili apost picha ya yeye akiwa na Wazari wa Habari utamaduni na Michezo,Mzee wa Goli La mkono Mh.Nape Nauye katika ukurasa wake wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada mwenye kujua taarifa (publicly available information, sihitaji taarifa za kumchafua) huyu binti anayejiita Malkia Sitti. Ni 'kadada karembo flani hivi' anatembelea gari ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kwanza nianze kwa kudeclare interest, Mimi ni fan wa Diamond! Ni fan wa Diamond si kwa sababu huwa napenda mziki wake at first place, Big NOOOOO! Nimejikuta nakuwa fan wa huyu jamaa kwa...
4 Reactions
40 Replies
7K Views
Glory be to the lord. Tabibu Mwaka..
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama ikitibitika tiba zake ni batili hilo tangazo la Dr Mwaka kwenye wimbo wa diamond itakwaje,vyombo vya habari vitapigaje wimbo wenye tangazo batili? Au diamond aedit/akate sehemu ya tangazo?
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Ule usemi kuwa pesa huenda kwa mwenye nazo haukukosewa kwasababu ndio ukweli. Sio kawaida kwa wasanii wa tanzania kulipwa fedha wakati wanapoachia single zao mpya lakini sio kwa Diamond. Wakati...
0 Reactions
62 Replies
17K Views
Ametoa mchango mkubwa sana katika ukuzaji wa lugha adhimu ya kiswahili barani Afrika na dunia kwa ujumla. Vyuo vya Tanzania mulikeni hili hasa hasa chuo kikuu cha Dar es salaam idara ya kiswahili...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari wakuu! Alikiba maarufu kama KingKiba fundi na funguo ya Bongo flava, Ameshinda Tuzo kubwa za nchini Kenya (Nzumari Awards) kama Best Male Artist na song of the year "Chekecha" Katika...
0 Reactions
49 Replies
9K Views
Wana JF, mwenye details za alipo huyu mtangazaji wa zamani wa ITV na Radio ONE,atumwagie hapa janvin, mana nilikua fan wake, alikua anatangaza vizuri taarifa ya habari, kiukwelii alikua na kipaji...
0 Reactions
22 Replies
12K Views
Msanii marufu ajulikanae kama DIAMOND PLATNUMZ a.k.a CHIBU DANGOTE apata show ndani ya OWERI/NAIGERIA,itakayofanyika Desemba 28,2015. Hawa baadhi ya wasanii watakao kuwepo kwenye show hiyo. -Mr...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Napenda kutoa pongezi kwa dada yetu, rafiki yetu Captain Hilda kwa kujifungua mtoto mzuri kabisa wa kiume leo huko USA. Mama na mtoto wote wako salama na tunawaombea afya tele na furaha. Naomba...
0 Reactions
48 Replies
19K Views
Katika pitapita yangu leo nilipitia moja ya mtandao wa mziki maarufu nchini nigeria notjustok.com ukiachana na tooexclusive ambapo hii leo walikuwa wameweka video mpya ya chibu dangote, mond bin...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Matusi ni ujinga mpevu ila kama unafuatilia coke studio utakubali namna huyu dada anavyokuwa tegemeo katika kuifanya team yake na kiba ishine. to be continue.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mashabiki wengi wakiwa wanasubiri Kichupa kipya cha Platnumz kabla hajaachia kaja na hili kwanza la tuzo sasa najiuliza hivi huyo Diamond anapata wapi hela ya kununulia hizi tuzo Eti?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Huo ni msemo wanaoutumia sana hawa Ze comedy(wa EATV),hivi wana maana gani?
0 Reactions
30 Replies
37K Views
Hakika Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla tunajisifu sana na uwepo wako hata wale wasiofuatilia muziki kwa juhudi, uthubutu, kujituma, na heshima yako inatoa fundisho kubwa sana. Huyu mtu...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
Get ready, on Friday dis week mkali wenu wa Afro pop anadondosha new hit song. Chanzo: Diamond Platnumz Twiter A/C ...Updates... Wimbo tayari umetoka. Mambo 10 kutoka kwenye wimbo UTANIPENDA...
0 Reactions
276 Replies
70K Views
Mwenye nyimbo ya Alicom ya moyo naomba anisaidie. Nimeitafuta kwenye youtube na kugoogle bila mafanikio.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
ALIKIBA Alikiba Saleh Kiba (born November 26, 1986) is a Tanzanian recording artiste, songwriter, dancer, producer, actor and model. He is one of Africa's biggest stars and his name is steadily...
1 Reactions
22 Replies
23K Views
Back
Top Bottom