Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wako wapi hawa jamaa wali hit sana kwenye early 2000s. Tujuzane.
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwa sasa naambiwa yuko Las Vegas Marekani akiiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya dunia ya Miss Universe - 2015. Wenye kumjua zaidi naomba mfunguke tumfahamu. Kwa sasa, nimepata kujua taarifa...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Nadhani wadau toka sasa mpaka kesho,Mziiki wetu kuna ushindani mkubuwa sana,hii inapelekea Diamond Platnumz kuleta Changamoto katika muziiki,na mashabiki Wa timu mbalimbali mbali na kupelekea...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hili goma halichoshi aisee hata usikilize mara elfu. Ngoma kali balaa. Runtown na Uhuru wamekinogesha balaaaaa Kwa hili chege nimekuvulia kofia... https://m.youtube.com/watch?v=luwbbJ558gE
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kichwa cha bongo fleva na Rais wa WCB Diamond Platnumz ana kila sababu ya kuwashukuru mashabiki wake. Licha ya kuwa na tabia ya kutoa misaada bila ya kutangaza, wakati huu ameamua kutoa taarifa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Leo katika pita zangu mtandaoni nimefanikiwa kuona video ya nagharamikia sijajua ni nani aliofanya iyo video maana ni mbaya ajabu kuanzia location, video queen, na script story ya wimbo na rangi...
0 Reactions
71 Replies
8K Views
Mwanamitindo wa Kimataifa kutoka Tanzania Millen Magese aonekana kwa video mpya ya wimbo wa Mafikizolo feat Diamond Platnumz uitwao Color of Africa.
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Leo nmesabai acc ya sporahshow insta nkakuta kapost kua leo atakua na show na alikiba hivo watu wafunguke nn wanachotaka kumuliza kiba Chakushangaza nmeona acc za fans wa kiba zikimtumbua majipu...
1 Reactions
85 Replies
9K Views
leo kwenye orodha ya wadaiwa sugu wa tanesco yupo staa wetu wema sepetu.deni ni tsh milioni 8.sijui imekuwaje mtu adaiwe kiasi chote hicho wakati sis hata deni la buku 2 wanakata umeme??
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Kama umeiangalia hii video mpya ya huyu jamaa utakubaliana na Mimi.Hii video wadada wanacheza huku wamevaa vichupi Haifai kuangalia ukiwa either na wazee au watoto..
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Rapa mwenye asili ya Tanzania Allan Kyariga maarufu kama Allan Kingdom Kwa mara ya atawania tuzo kubwa na zenye heshima ya kipekee duniani, Tuzo za Grammy. Allan Kingdom, mama yake ni mtanzania na...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Wadau, Naomba mwenye kujua CV ya mkubwa Fella wa Yamoto Band atusaidie. Huyu jamaaa amewezaje kufika hapa alipo na kabla alikuwa wapi?
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Habari zenu wadau wa burudani, Mwana Falsafa katoa wimbo mpya, jina "Asanteni kwa kuja". Ukisikiliza kwa haraka haraka ni ngumu kaelewa kaimba nini ana maana gani; Je, anamwimbia mwanamke...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Lady Gaga wa Bongo, Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amefungukia ushindi wa mzazi mwenzake huyo na kudai kuwa haumsaidii chochote. Akizungumza juzi na Ijumaa...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Nimewahi kumsikia. Mwenye picha aweke basi tuone uumbaji.. ========== Unataka picha zake au video?! Nitakupa vyote. Anza na picha; Kisha video; Picha zaidi? Zicheki hapa ==> Corazon -...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
  • Closed
HATIMAYE kitendawili cha nani atakuwa mwandani wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto kabwe kimeteguliwa kufuatia mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kuutangazia umma juu ya jambo hilo...
3 Reactions
102 Replies
48K Views
Kampuni ya Studio Space Pictures ya South Africa imepost picha ya ay na diomond wakionyesha wamefanya video ya zigo remix. wameandika zigo remix AYTanzania x diamondplatnumz
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Nilikuwa natazama Tv ya burudani hapa Tanzania. Kuna maelezo kuwa kwa sasa wanamuziki watakuwa wanalipwa mrahaba kwa kazi zao zinazochezwa redioni. Lakini imeelezwa kuwa kuna kampuni anayoitwa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari Wakuu Ni Kama siku moja imepita tangu Msanii Nikki Wapili apost picha ya yeye akiwa na Wazari wa Habari utamaduni na Michezo,Mzee wa Goli La mkono Mh.Nape Nauye katika ukurasa wake wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama kawaida yetu, Diamond Platnumz na Vanessa Mdee wamechaguliwa kwenye tuzo za tooXclusive Awards 2015 VOTE, Kwenye kipengele cha AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR. Na kwenye kipengele cha OSCAR...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom