Gazeti la Business Daily/Magazine nchini Kenya limetoa orodha ya video za music zilizotazamwa zaidi mwaka huu.
ona diamond na alikiba walichovuna.
1. Nasema nawe- diamond
2. see you again- wiz...
Katika page yake ya instagram, super star wema sepetu aka mama ubaya amewataka wote wanaompigia kelele kuhusu kuzaa mtoto wamkome, kwani hana mpango huo kwa sasa. Hiki ndicho alicho kipost...
Mimi ni mshabiki wa Ommy Dimpoz kitambo kidogo tangu anatoa nainai lakini siku hizi ananiangusha sana tangu wanjera na hii mpya ya sasa achia body ambayo kimsingi nyimbo imekosa ubunifu, nyimbo...
Kuna bifu kubwa linaendelea chini chini kati ya Diamond Platinumz na binamu yake na mtu wake wa karibu Rommy Jones.
Chanzo cha bifu hilo japo wenyewe hawataki kuweka wazi inasemekana ni...
Habari wana JamiiForums,
Leo nimebahatika kukutana na wimbo mpya wa kundi jipya linaitwa Salam TMK linalodhaminiwa na mkubwa fella. Aisee ni nouma. Kuna baadhi wako chini lakini madogo wanajua...
Baada ya kushangaza ulimwengu kwa kuvunja record kadhaa, D kaja na rekodi mpya ya kufungia mwaka kwa kufikisha followers million 1.5 Instagram. Hakuna celebrity yeyote wa Afrika kafikisha hii...
Hapa wadau tuangalie Hit Song zake tangia ujio wake Wa "THE RETURN OF THE KING"
-Tangia ajiite KING ameehit song moja tu ya mwana.I do think kuna Song ambayo imeehit tofauti na Mwana?
Zaidi ya...
Habarini
Katika msimu wa sikukuu kuna show 2 kubwa zimefanyika! Ni ile show ya Diamomdplatnumz (SIMBA) Na Ali Kiba (BALOZI WA WANYAMA)
Diamond kafanya show ake tarehe 25 pale Dar live kwa...
Wimbo wa Utanipenda wa Diamond platnumz umezidi kuteka hisia za watu wa kila rika, kila nchi, kila lugha, kila itikadi kutokana na ukali wa wimbo
Mh Zitto Kabwe ameguswa na kuamua kufanyia...
Msanii wa maigizo nchini, Jackline Wolper Masawe, ambaye pia ameshiriki kama video queen kwenye wimbo mpya wa msanii Diamond Platnums huitwao Utanipenda, amefunguka ya moyoni kupitia mtandao wake...
Tarehe 25 jana siku ya Christmas, Diamond alikuwa na show ya funga mwaka pale Darlive watu,watu walijitokeza kwa wingi sana kiasi kwamba hakuna pa kutema mate, ukinyanyua mguu hakuna pa kuweka na...
Katika hali isiyo ya kawaida, mkuu wa kaya amewaacha makada motomoto wa ccm mitandaoni ktk baraza lake la mawaziri ndg Lemutuz,dada Mange na mnyange Wema.Katika nyakati tofauti makada hao...
Watu wengi wakiwemo mashabiki wa Wema na Diamond walitarajia kumuona pamoja Wema Sepetu akimpa kampani mpenzi wake Diamond Platnumz ambaye alikuwa anawania tuzo ya BET Awards 2014 huko Los Angels...
Hebu tuachane na haya mambo ya Kiba vs Diamond kwanza tuangalie wanamuziki/wasanii wetu wengine wanafanya nini.
Binafsi nimependezwa sana na kibao cha Q-Chillah akishirikiana na mwenzie T.I.D...
Haya ndio maoni ya BenPol kuhusu Kiba kwa mujibu wa TL yake.
Maoni yangu binafsi Kiba hatua ya kwanza kabisa ukitaka usonge mbele achana na 7 anakupoteza ukiweza kutoka hapo kila kitu kitakwenda...
Daah jana pamenuka Instagram team domo walipaniki kinoma baada ya sepetunga kumpa shot out king kiba akiwasihi watu waende escape moko ili wakajionee tofauti ya mwanamziki ma msanii na kati live...
Wakuu Harmonize ni msanii chipukiz ambaye nimetokea kumuelewa sana hivi karibuni na kibao chake "Aiyola",
Lakini tatizo huwa najisikia huzuni jinsi huyu kijana anavyotumiwa vibaya na Mondy...
MOYONI nina majonzi, sina tofauti na mpofu! Judith Wambura Mbibo Jide au Lady Jaydee kwa sasa hana makazi maalum Bongo, amehamishia makazi na shughuli zake katika ardhi ya Kansela wa Ujerumani...
wakuu kiukweli MZEE MCHOPU kwa umri wangu huu nimetokea kuupenda huu wimbo wenye ladha ya kimagharibi lakin ukajikuta upo TANZANIA
ila kale kamdundo kake loo salalaa!
Mtayarishaji yule ni mjanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.