Wadau,
Nikiwa napitia maswala ya burudani nikapata habari kua Diamond ametoa single mpya ya UTANIPENDA??. Nikaona na kusikia ikipewa shavu kubwa tu kua ni single kali (??) na ita-hit sana redioni...
Habari wadau,
Sijapendezwa na Tambo za Huyu masanja makandamizaji,japo Mungu amamempa nyumba kadhaa,magari kadhaa na mashamba ya mpunga,asijione ndio maisha kayapatia,Kuna watu walikuwa na pesa...
Huu ni upuuzi uliopitiliza wakati watu wakitafuta mahala pa kwenda kula bata usiku wa christmas maeneo ya Korogwe kumetokea tukio la kuudhi na kukera kwenye ukumbi ujulikanao kama Mamba club...
Kuna habari kwamba mwanamuziki Diamond kashindwa gharama za kumtunza dada bilionea Zari,na amekuwa akilalamika chini kwa chini kwamba akaunti yake sasa inakauka, ni wazi kwamba penzi lao liko...
Tu wazima fans' Wa team no stress.
Wale Wa kwa Showz ya Leo ndani ya mjengo DAR LIVE-TONIGHT.Tutakuwa na DIAMOND P.
Utacomment kinachoendelea umo ndani kwa Whitehouse DARLIVEBABY.
Now...
Hatimaye mchekeshaji maarufu Africa mashariki Eric Omondi ameachia Video yake alio ifanyia remix nyimbo ya Diamondplatnumz kaimba kwa dakika mbili na sekunde kama 39 hivi lakini nimependa...
Miss Philippines Pia Alonzo Wurtzbach akionyesha mshituko baada ya kutangazwa kuwa ni yeye ndiye ameshinda.
Miss Universe2015 imezua kituko cha Mwaka baada ya Mc Steve Harvey kumtangaza kutoka...
Jamaa naona kaenda kuwaambia wapiga kura waliomnyima Ubunge kwamba hakuwa na shida ya pesa ila uwakilishi... Ila wachagga wabishi sana, huyu jamaa angekuwa anagombea Mtimbwilimbwi angepita kwa...
Kati ya nagharamia kutoka kwa king zamunda na mkali wa masauti Bella, na hii utanipenda kutoka kwa king of jungle aka simba mondi ipi ni habari ya mjini
Kwa wapenzi wa muziki, tukiweka figisu figisu pembeni.
Kwa moyo mkunjufu kabisa napenda kumpa pongezi Ally Kiba kwani kwa kiasi fulani amajitahidi kujibu lawama kwa vitendo kwenye hii video...
Fasihi ni kazi ya sanaa inayotumia lugha kufikisha ujumbe kwa jamii.Kuna fasihi andishi na fasihi simulizi.Nyimbo ni sehemu ya fasihi simulizi.Fasihi ni zao la jamii,kwa sababu hujadili mambo...
Tokea wimbo umewekwa youtube umefikisha views milioni moja baada ya wiki moja huyu mtu ameshindikana kabisa
Diamond Platnumz - Utanipenda (Lyric with English?: http://youtu.be/LSk_M7d_OWM
Mwaka 2016 ni mwaka wa mafanikio kwa wasaniii hasa wa muziki kimapato kwa nyimbo zao mbalimbali kuanza kufaidika nazo Je wasanii wa sanaa nyingine watafaidikaje ?
Lakini mwaka 2015 unaisha...
Katika kipindi cha mkasi kilichoruka jana 21/12/2015 usiku Nilipigwa na mshangao wa kufa mtu pale muongoza kipindi Salama alipomuuliza Diva kama anaufahamu wimbo wa taifa akajibu kwa kifupi...
Jamani kama mtanzania nimejisikia fahari sana kumuona Ali Kiba akihojiwa BBC Televison katika kipindi cha Focus on Africa huku akisifiwa kama Bongo Flava Star aliyefanya kazi na magwiji kama R...
Nakumbuka kuna kipindi diamond alipotoa ile Mbagala kuna msanii flani alilalamika kaibiwa naye akatoa yake inayofanana na Mbagala. . Hivi alikuwa ni nani yule? Na yupo wapi siku hizi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.