Karibu sana Abdul Mohamed mjengoni Clouds FM na nakumbuka sana jinsi Mtangazaji mmoja ambaye sasa amehamia E FM alivyokuwa anakuchukia na kukubania hadi ukapata Shavu BBC London na yeye...
Kama wengi tunavyojua competition imekuwa kali mno kwenye muziki wa Tz kitu kinachofanya kazi za wasanii wetu kufanya kazi kwa ubora zaidi, siku zote kufeli ndio mama wa kufaulu, wasanii wengi...
mchezaji Boateng amekuwa footballer wa kwanza kusign ktk lebo ya roc nation sports. Wanamichezo wengne walio ktk label hiyo ni staa Kelvin Durant, Victor Cruz na Skyler Diggins. Ishu hiyo...
Wadau nawasalimu,
Baada ya kushindwa kwenye uchaguzi wa kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalumu singida, Wema Sepetu anapokelewa muda huu na washabiki wake kwa shamra shamra za kukata na shoka...
Ninaangalia Bongo Star Search majaji ni Master Jay, Salama Na Madam Rita mshiriki mmoja aliingia ambapo mshiriki huyo mwaka jana alitoa nyoka na kinyonga kutoka ndani ya nguo zake, sasa leo...
Yaani kwa leo video za ukweli hata audio anazoachia PHD kamwacha mbali,kuna watu walikuja kumfananisha humu mwaka uliopita,ila kwa sasa TID kafunikwa balaa.
sina upendeleo
Hizi pichaz zimechukua headlines sana Instagram, zinamwonesha Diamond Platnumz akiwa na mpenzi wake, Zari the Bosslady. Zari ana ujauzito na huenda time yoyote tukafikiwa na good news ya...
JAMANI hii imekaa kiudaku zaidi eti kati ya hawa watangazaji wawili nani MKALI? wote Wanafanya vipindi vya aina moja japo redio tofauti GEA HABIBU wa CLOUDS FM na DIDA SHAIBU wa...
Hii imetokana na video Diamond aliyeyoipost Instagram ikimwonyesha Jokate akikata mauno club huku nyimbo ya Diamond (mdogomdogo) ikipigwa...
Diamond aliandika na caption #Mbona bado, mtanyooka...
And the winner is @diamondplatnumz for Artist of the Year #AfricanAchieversAwards
Salaam SK
@Sallam_SK Tunamshukuru Mungu anazidi kudhihirisha kilicho bora kwa vitendo,Africa inatambua juhudi...
I'm just assuming. Davido ameshajua market ya Tanzania na East Africa liko kwa hawa hasa kwa upande wa mashabiki pengine anaweza akawa mtu wa kwanza kuwashirikisha pasipo wao kujua au hata wakawa...
Wasalaam wanajamvi!
Safari ya Mwana dada Wema sepetu imeishia UWT baada ya kupata kura 90! Hata hivyo naye martha mrata kaangukia pua baada ya kupata kura 235! Huku Asharose Mattembe akipata kura...
Wadau hawa warembo wetu wa Bongo Movie, Irene Uwoya na Jaqueline, nani mrembo zaidi ya mwenzake? Ki mvuto, thamani katika jamii. Tunguke hapa nani anamzidi mwenzake katika nyanja tofauti?
My...