Wana JF,
Kumekuwepo na malalamiko ya mara kwa mara kwa mlimbwende wetu, ambaye kwa sasa ni muigizaji maharufu ambaye nyota yake inawaka sana mpaka kufikia kiasi cha mtu wa jilani ambaye ni...
Ishu ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutopata ujauzito imeshazungumzwa mara kadhaa na hata yeye mwenyewe alishawahi kujitokeza na kuizungumzia lakini safari hii amelizungumzia kwa njia...
Ali Kiba received a king's welcome when he arrived in Kenya for the third cycle of the Coke Studio Africa Recording earlier this week, but that was nothing compared to the love that Kenyans on...
Mdogo wangu Kalala.
Umejipatia mashabiki wengi sana kutokana na kipaji chako cha kuimba. Uko katika band ambayo inasifika na yenye jina kubwa la Twanga pepeta. Kinachonishangaza hivi ni nini...
nawauliza swali dogo tuu kwa leo, mbona video queen tunaowaona katika video zenu ni wazuri balaa kuliko mademu zenu na pia mara ingine hawafanani na umri wenu (agemates)
Nimeona tena mavazi ya Rais wa Zambia wakati wa chakula cha usiku alichomuandalia mgeni wake Uhuru Kenyatta(Rais wa Kenya) ktk mitandao mbalimbali.
Ni ubunifu wa...
Imekua ni vigumu sana kwa watu wenye majina makubwa kama diamond kutambua mchango wa watu flani waliomsaidia kufika level flan ya maendeleo...
Personally nimependa sana alichokipost huyu kijana...
Mwigizaji Bongo, Esha Buheti, licha ya kuwa ndani ya ndoa, amekiri kuchepuka na mcheza mpira mmoja ambaye hakutaka kuweka wazi jina lake.
Akizungumza na na gazeti la Ijumaa, Esha aliweka wazi...
KING wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond Platnumz ametengeneza kichwa cha habari nchini Nigeria baada ya kufunguka kuwa anampenda vibaya staa wa filamu nchini humo, Omotola Jalade Ekeinde...
Hii ni Baada ya washabiki Wa mwanamuziki Diamond Platnumz kusambaza uongo kwamba msaanii Wa Nigeria Davido hajapendezwa na mchango Wa kura kutoka Tanzania.
Pia msanii huyu ameonesha mapenzi kwa...
Desmond Elliot (born Desmond Oluwashola Elliot; 4 February 1974) is a Nigerian actor and director, and politician[3][4] who has starred in over two hundred films and a number of television shows...
Mbunge wa kawe halima mdee amesema hana mpango wa kuolewa ila anampango wa kutafuta mwanaume wa kuzaaye mtoto kwani hiyo ndio zawadi pekee atakayoiachaduniani. Alipoulizwa anataka mwanaume wa...
Kwenye moja ya magazeti ya udaku ya leo nimeona habari ya Lulu kumwaga million 1 na laki 4 kwenye birthday ya Kajala, halaf wengine wanamwita yeye tajiri mtoto. Jamani kumwaga 1.4 million tshs ndo...
Katika Kipindi cha TV cha Wema Sepetu Kiitwacho In My Shoes Wema Usiku huu wa Leo Amedai kuwa hawezi Kumsapoti Mwanamuziki Diamond kwenye Tuzo za Mtv Awards kwa vile Kufanya Hivyo ataonekana...
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu amemshtaki aliyewahi kuwa mchumba wake Faiza Ally na aliyezaa naye mtoto kwa madai kuwa mwanamke huyo hana maadili na anahofia atamharibu mtoto wao...
...Wa kwanza kuuza tape mwenyewe, wa kwanza kufanya biashara na Wadosi, wa kwanza kwenda Ulaya kufanya show, 98 jukwaa moja na Oliver Mutukuz Sweden, wa kwanza kuleta wanamuziki toka America Lost...
Mama wa EGYPT kaja na list mpya sasa iwahini muiweke hapa kabla hao waliotajwa hawajamwakia awaondoe from her blog
10 MOST INFLUENTIAL TANZANIAN WOMEN FOR THE YR 2011......
Kwangu binafsi ni mtangazaji niliyekuwa namkubali mno kipindi hicho alipokuwa redio Tanzania Dar es salaam na sasa ni TBC.
Alikuwa akinivutia mno hasa wakati wa matangazo ya mpira wa miguu aka...