Mimi ni mdau mkubwaa sana wa mziki sana. Huwa napenda kufuatilia kila mwanamziki awe mdogo au awe mkubwa.
Tatizo lina kujaa palee baadhi ya wanamuziki wanapotoa music video utasikia anaenda ku...
DMX is getting within shooting distance of a deck of cards populated by his mug shots, because he was arrested again Friday night.
Law enforcement sources tell TMZ, the rapper was en route to...
Okey wadau za asubuhii...
Kwa wale wote wanaotetemeka juu ya Dangote kutoa kitu kipya calm down all of you, mtapasuka mwisho wa siku hahahaha, msijali hatoi nyimbo yake mpya kipindi hiki...
[Chorus x2:]
Let a nigga try me, try me
I'm a get his whole muh'fin' family
And I ain't playin with nobody
Mess around and I'mma catch a body
[Verse 1:]
B!*** I got the mac or the 40
Turn a b!***...
Aliyekuwa mume wa Flora Mbasha ametuma sms kwa Dullah kuwa anasikiliza Planet Bongo kipindi ambacho kinapiga nyimbo za bongo fleva (watu wa mataifa, kama ambavyo wanawaita wao).
My take:
Watu wa...
Leo nimeona picha ya wana magamba ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwananchi,kilichonishtua ni hali ya aliyekuwa Iron lady wakati fulani Zakhia Meghji,kawa mdogo si kama yule mama aliyekuwa na siha...
Vanessa Mdee.
Maarufu kama Vee money yeye ni recording artist, rapper, songwriter, na mtangazaji wa vipindi vya television na redio,mitandao mengi ya huko nchini Kenya ili ripotiwa kumfananisha...
Salaam wanaJF,
Kuna msanii mwenye kipaji cha hali ya juu lakini hana bahati, hapa namaanisha kuwa nyimbo zake hazichezwi sana redioni wala kwenye TV. Lakini ukiangalia nyimbo zake Zina ujumbe...
NEWZTANZANIA.: USWAHILINI MATOLA..WAMEPOTELEA WAPI?
Jamaa walikuwa wakali sana miaka ile, Pini lao la HAKUVAA KONDOMU lilibamba sana.
Walikuwa wanaweza sana na albamu yao ilibamba pia.
Je,wako...
Hello wakuu!
Mimi ni mfuatiliaji wa Music. Katika siku za hivi karibuni umezuka ugomvi kati ya Birdman na Lil Wayne.
Natamani sana kuelewa chanzo chake kwa mtazamo wangu nahisi hawana ugomvi...
CHINEKEEE NAANZAJE KUMVOTIA MNAIGERIA MBELE YA MTANZANIA KWA MFANO???
Guys, acheni haya mambo jamani…. Mnaenda too far with this jamani… Tunajiaibisha sana watanzania… Busy...
Kim K met her friend Serena Williams in front of Harrods, they said hi to each other, both hugged and Serena asked for permission to touch Kim K's tummy. Kim allowed Serena to touch her tummy...
Ni kijana mwenye mawazo mapana sana japo umri si mkubwa sana , anasema siwezi kuwa na mapenzi ya chama ikiwa nchi ni masikini sana. ''Nimebahatika kwenda nchi tofauti nchi yetu ni masikini sana...
Kwenye ukurasa wa instagram wa mzazi mwenzie na Sugu anaefahamika kwa jina la Faiza ameandika kilio chake jinsi anavyoumia kuwa mbali na Sugu, uku akisema analia kwa sauti siku nzima.
Sugu...
Huyu mama yuko UK sasa mwaka wa Pili anasoma pale Westminster. Lakini cha ajabu hatumuoni kwenye misiba wala magonjwa lakini anaonekana sana kwenye mikutano ya kufungua matawi ya CCM uingereza...
Katika kazi za hivi karibuni kati ya mastaa wakubwa zaidi barani afrika King of pop Afrika ya mashariki Diamond Platnumz aka. Chibu dangote toto la kimanyema amezidi kung'ara zaidi juu ya OBO...
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva, Juma Kassim'Nature' ametoa misaada mbalimbali kwenye hospitali ya Zakhem iliyopo maeneo ya Mbagala jijini Dar.
Akizungumza na Clouds FM, alisema kuwa ameamua...
Today is annivesary of last moment of MJ. He passed away in his apartment in US. The World still feel him. RIP MJ (Michael Jackson).
=================
Michael Jackson death anniversary: Top 10...