Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

  • Closed
Hii kali soma ka screenshot chini.... Davido msanii wa Nigeria, baada ya kuchoshwa na kufatiliwa na Tanzanians ambao hawataki mTanzania mwenzetu Diamond Platnumz ashinde kura kisa kumsaidia wema...
1 Reactions
160 Replies
11K Views
Hafla ya utoaji wa Tuzo za Muziki za Tanzania (KTMA) 2015 iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi usiku iliwavutia wengi. Mamia walihudhuria tukio hilo na mamilioni wakashuhudia yanayojiri...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Haya sasaaa nikireport kutoka insta ni mim Dinazarde Je Hua Kuna makalio ya ukubwan Tu???
13 Reactions
202 Replies
23K Views
0 Reactions
31 Replies
17K Views
Huyu binti amewashangaza wengi hasa ndugu zake kwa kitendo chake cha kukataa ushauri wa kwenda shule. Mtoto huyu mpemba mwenye matusi, anahusudisha uhuni tu anajisahau kuwa ujana una mwisho, hivyo...
1 Reactions
63 Replies
23K Views
Aisee natamani kumuoa huyu mdada, maana daah ananipagawisha sana. Nijuzeni mawasiliano yake na taratibu za posa kwa kabila la Wapare. Nimejipanga na nina mvuto najua akiniona tu atanikubali
0 Reactions
51 Replies
9K Views
Kwa maoni yangu Kiba alistahili tunzo zile,sehemu nadhani imeibua mjadala mzito ni kwenye tunzo ya mtumbuizaji bora tu. Sasa ni vema hoja na mjadala ujikite kwenye category hiyo ili kuepusha...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Happy 60th Birthday to Denzel Hayes Washington, Jr.!!! Actor, producer and director. Washington has received two Golden Globe awards, a Tony Award and two Academy Awards: Best Supporting Actor...
8 Reactions
44 Replies
6K Views
Bruce Jenner really gave me the inner strength to admit to my kids, my family, my friends, my fans and ultimately to myself that I am gay.I've known I was gay since I was a young boy that I was...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Muigizaji mkongwe na maarufu nchini, Nuru nassoro, maarufu kama Norah, ivi karibuni amejikumbushia enzi zake alivyokuwa aking'ara kwenye magazeti na vyombo mbali mbali vya habar apa nchini...
0 Reactions
145 Replies
28K Views
Bruce Jenner ambaye ni baba wa The Kardashian girls, amekua akitamani kuwa na jinsia ya kike kwa siku nyingi, hatimae kafanikiwa na kuwa rasmi mwanamke tena mwenye mvuto, ambaye kajitambulisha...
0 Reactions
71 Replies
14K Views
Diva wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari' amesema msanii mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray' ndiye kila kitu maishani mwake kutokana na msaada aliompa wa kumtoa kisanii na kumsapoti...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wakati Nasibu Abdul ‘Diamond' akijinadi kwa mbwembwe kuwa anategemea kiumbe kutoka kwa mwandani wake Zarina Hassan ' Zari The Boss Lady ', ubuyu mpya wa mjini unadai kuwa mimba...
2 Reactions
601 Replies
65K Views
Ni msiba Mwingine tena umetokea yule Mwandishi na muandaaji mahili wa Filamu za Bongo George Otieno Okumu maarafu kama George Tyson aliyekuwa mume wa Monalisa amefariki Dunia kwa ajali ya Gari...
2 Reactions
255 Replies
74K Views
Umofia kwenu wana JF, Mwanamuziki Moses Bushangama maarufu kama Mez B amefariki dunia. Mez B alikuwa mmoja wa Wanamziki wanaounda kundi la Chamber squard, amefariki leo mjini Dodoma. Habari hizi...
3 Reactions
195 Replies
60K Views
MAJANGA juu ya majanga! Siku chache kufuatia kufanyiwa kipimo na kubainika kuna tatizo kwenye ubongo baada ya kupigwa chupa kichwani kwenye Klabu ya New Maisha, Masaki jijini Dar, mkali wa...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Nimekuwa namsikiliza huyu jamaa kwa muda sasa lakini nimepata wasiwasi na uwezo wake wa kuchambua mambo na pia elimu yake.
2 Reactions
127 Replies
29K Views
Staa wa filamu za Kibongo Wastara Juma, ameibuka na kusema kuwa wanasiasa wanawatumia wasanii wakiwa na shida zao lakini wakishapata uongozi huwasahau na kuwaona ni wasumbufu pale wanapohitaji...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Bi Mwenda ni mzaliwa wa Mara Wilaya ya Bunda kijiji cha Ikwizu Nyamuswa, ni mtoto wa Mtemi Makongoro, ambaye alikuwa rafiki na ndugu wa yamini na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Anasema katika...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
Msanii wa filamu nchini ambaye pia ni Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu, kufungua duka kubwa la urembo nchini Afrika Kusini. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu nchini humo, Wema Sepetu aliongozana na...
1 Reactions
96 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…