Mwanamuziki na mtangazaji wa Wasafi Fm Babalevo adai kushambuliwa na mwanamuziki Harmonize.
Baba Levo ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Pamoja na kutoa taarifa hiyo Baba...
Kupitia ukurasa wake wa "X" msanii Madee ameibuka na kutoa mtazamo wake kuhusu hukumu wanayoipata wezi wanapokamatwa na wananchi.
“Sijawahi kumpiga mwizi na sitakuja kumpiga mwizi. Enhee unampiga...
Wakati akimuongelea Baba Levo kuhusu kupigwa na Harmonize, Dotto Magari akapitiliza na kusema kuwa Baba Levo hana maisha na anaishi kwenye Apartment ya kupanga ghorofani.
Dotto ameyasema hayo...
Madansa 3 wa Diamond Platnumz (Hbaajuni, Emma Platnumz na Rama Tosser) wamezamia Marekani kinyemela kwa kutumia Visa za WCB.
Inasemekana mara ya mwisho Diamond Platnumz alivyoenda Marekani...
Msanii Harmonize ameamua ku-sign wasanii wengine wawili kwenye lebo yake ya Konde Gang baada ya kutemana na wasanii Killy, Cheed, Country boy na Anjella ambao walijitoa kwenye lebo yake ya Konde...
Anybody say something please.
This is the best couple that ever existed in Bongo flavour industry
Semaa Mondi nae vipi !! Kwani hiyo saa shing ngapi!?
Au anahamisha mjadala wa Saa ya Madame...
Mwimbaji Kayumba amewaanika msanii Rayvanny na mwongozaji wa video, Erick Mzava kwa kutorejesha pesa zake TZS Milioni 7 ambazo alitoa kama malipo ya kufanya video ya wimbo wake SHAKE kutoka kwenye...
Nikawaida kila baada ya muda Billboard huwa wanafanya update ya list yao ya rapa bora.
Katika Kuenzi miaka 50 ya Hip Hop wametoa latest list yao ya rapa bora kabisa 50 kuwahi kutokea
Here's the...
Wale wapenzi wa ndondi, tunawakumbuka mabondia wa miaka ya 70 na 80 kina Mohamed Ali, Smoking Joe Frazier, Ken Norton, Jimmy Young, Leon Spinks, Big George Foreman, Ernie Shavers, Ron Lyle nk...
Leo ni kumbukumbu ya mfanano wa siku ya kuzaliwa ya bondia tajiri zaidi duniani ambaye si mwingine bali ni Floyd Mayweather Jr wengi wanapenda kumuita The Money May.
Floyd Jr baba yake mzazi...
Wale wapenzi wa ndondi, tunawakumbuka mabondia wa miaka ya 70 na 80 kina Mohamed Ali, Smoking Joe Frazier, Ken Norton, Jimmy Young, Leon Spinks, Big George Foreman, Ernie Shavers, Ron Lyle nk...
ELIMU KWA WASANII WA BONGO
Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere aliwahi kusema kipindi cha harakati ya kugombania uhuru kuwa elimu ndio ufunguo na msingi wa kila kitu. Nukuu ya Mwalimu ilisema...
RICHARD TUNDA:KIFAA TOKA TIP TOP CONNECTION, AMEFARIKI DUNIA NI MDOGO WA MKALI WA BONGO FLEVA TUNDAMAN..
JINA: Richard Ramadhan Tunda
KUZALIWA: Februari 3, 1989 (Miaka 35)
ALIPOZALIWA...
Tanga ndiko kwa “magwiji wa filamu nchini”. Kwa nini nawaita hivyo? Ndio watu pekee waliothubutu kuandaa filamu za kibiashara katika miaka ya 1990 japo mazingira yalikuwa magumu sana; wakati huo...
Mtangazaji na CEO wa "Zamaradi Tv" mwanadada Zamaradi Mketema, amemjibu shabiki aliemwambia kuwa ana roho mbaya.
Sekeseke lilianza baada ya Zamaradi kupost picha yake kwenye ukurasa wake wa...
Siku zote nawaonaga maDj wa bongo miyeyusho na tofauti sana na madj wa wenzetu. MaDj wa wenzetu huko mbele hutoa album, humix beats na kufanya kolabo na wanamuziki mbalimbali. Mdj wetu wengi (kama...
Msanii Jide Jaydee ameweka wazi kuhusu kupoteza tuzo zake 22, ambapo 10 zilivunjwa na mtu, na 12 ziliibiwa na wezi.
Jide kupitia mtandao wake wa X amesema,
"Matukio yalioniumiza mwaka jana ni...
QUEEN DARLIN
_________________
Mwajuma Abdul Juma, wamezaliwa baba mmoja mama tofauti na msanii wa bongo fleva Nasib Abdul ‘Diamond’ ambapo alizaliwa jijini Dar es salam mwaka 1985 na kupata...