Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Baada ya kuonekana video kwenye account zao Wema Sepetu na Millard ayo na wakitaka watu wabashiri inahusu nini hiyo video "the package", Leo imejulikana ni tangazo la gari jipya aina ya Mitsubishi...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Daah Naona Jamie Fox anamla x-wife wa Tom Cruize Katie Holmes and Jamie Foxx dance at Hamptons event in Summer 2013 (WireImage) August 2013: Jamie and Katie dance, drink, and flirt at a...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
UTAJIRI wa komediani maarufu Bongo, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji' ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wACanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo...
0 Reactions
32 Replies
17K Views
Bi dada Wema Sepetu ambae ni mwigizaji katika tasnia ya Bongo Movie amefunguka na kuweka wazi kuwa urembo au kupendeza tu haitoshi katika maisha ya binadamu bali jambo kubwa na la msingi katika...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Jana nimemsikiliza Happiness Magese Clouds TV, anadai anafanya awareness ya tatizo la uzazi ambalo amekumbana nalo yeye binafsi, anadai anafanya hivyo kwa sababu anaamini wamama wengi wa kiafrica...
10 Reactions
113 Replies
22K Views
Mwanamuziki Kamikaze Amefunguka kuhusu Kumnyang'anya Demu Bob Junior na Video iliyovuja akiwa na Mrembo Sabby Chumbani Huku Mrembo huyo ambae ni Demu wa Bob Junior Akijinadi Kwa kumwita Kamikaze...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
VIKKY KAMATTA DADA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA Nimesoma kwenye gazeti moja hivi kwenye page ya katikati inaeleza kuwa uyu dada yeye anamafanikio makubwa sana kwaville amemaliza masters ya uingereza...
1 Reactions
124 Replies
20K Views
Monday, February 23, 2015 LINDA BEZUIDENHOUT INVITED TO PARTICIPATE IN THE 16th ANNUAL OSCAR VIEWING PARTY Press Release Beverly Hills, CA February 22, 2014 FASHION DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT...
7 Reactions
133 Replies
19K Views
Nimejaribu kukaa na kutafakari matusi anayopewa Diamond na team Wema, kisha katika pitapita zangu nikakutana na hili jamaa linajiita King Lawrence (Lawrence Muyanga). Huyu jamaa nadhani amekuwa...
0 Reactions
49 Replies
10K Views
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nuh Mziwanda, ametoa kali ya mwaka kwa kudai kwamba kitendo cha kupigwa mara kwa mara na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole', kinampa furaha na ufahamu...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
Pichani ni mtu mmoja maarufu, enzi zake akiwa kasichana...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kampeni kubwa ya ZamuYako2015 yenye lengo la kuhamashisha vijana kushiriki katika zoezi kujiandikisha kupiga kura, imeendelea kupamba moto ikiendelea kuungwa mkono na wasanii mbalimbali. msanii...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
KUFUATIA madai kuwa staa wa filamu Bongo , Aunt Ezekiel amejifungua, ndugu , jamaa na marafiki kibao walijazana nyumbani kwake , Mwananyamala jijini Dar es Salaam juzi Alhamisi ili kumpa pongezi ...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
wadau Hivi hawa wenzetu wanapokua huko majuu ni kwa nini most of them huwa wanafanya ulimbukeni tuuu instead ya kutumia nafasi wanazozipata kujiendeleza na kuiwakilisha vema tanzania, natoa mfano...
2 Reactions
112 Replies
23K Views
Wadau namsikia Rehema Chalamila sasa hivi anatangaza clouds fm, wanaotaka kumsikiliza tune redio hiyo
0 Reactions
35 Replies
11K Views
Mchezaji nyota wa Real Madrid ya Uhispania na Ureno Christiano Ronaldo ndiye binadamu maarufu zaidi duniani kwenye Facebook. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 30 amempiku Mwanamuziki maarufu kwa...
1 Reactions
29 Replies
8K Views
Ubuyu Kutoka Insta Leo hii unamuhusu Mcheza Filamu Rammy. Page ya Mrekebisha Tabia wamemrusha na kufichua makubwa, Jisomee Mwenyewe Hapo chini: ============ "Jamani rammygalis hata wewe...
2 Reactions
32 Replies
8K Views
Mimi ni mshabiki wa Dina Marios napenda sana utangazaji na ubunifu wake wa vipindi. Alipotoka martenity alituahidi kurudi kazini kupitia clouds Tv yaani atakuwa anaonekana kwenye runinga na si...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Hii ndo kauli ya Ney wa mitego, Mr_Nay Baba wa watoto watatu... Sina #Mke I mean #Sijaoa na Cna mahusiano ya kimapenzi na Mwanamke yoyote Yule... Kati ya niliozaa nao. Nawapenda watoto wangu...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Hasikiki kwenye music ,kwenye movie popote pale sioni news zake kulikoni?
0 Reactions
44 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…