Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Yaani huyu jamaa sauti anayo,ila bado kama underground tu. Tatizo la huyu jamaa ni nini? C.C matumbo,@Mwuzasura Watu8 nifah atoto
4 Reactions
32 Replies
6K Views
Wakuu, Kuna hawa wasanii wa kike wamekua wakiishi bila ya kuolewa na ikitokea wameolewa basi hawafikishi miezi 6 wanaachwa. mifano ipo kibao hapa bongo kuna huyu Komandoo lady na wengineo ya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
ACHENI CHIBU AITWE CHIBU, Jamani wadau nimesikia bonge la ngoma hapa kwa Tudy Thomas, Diamond akiwashrkisha hao jamaa,itafuteni mje na mrejesho! Ngoma inaitwa MUZIKI.
1 Reactions
10 Replies
32K Views
Hivi ule uchunguzi wa kama huyo binti alifanya udanganyifu kwenye nyaraka zake uliishia wapi? Ilitangazwa kuwa RITA ingefanya uchunguzi juu ya hizo tuhuma Lakini baada ya hapo sikusikia tena...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Mwanamuziki Lady JD wa bongo flavor amejichagulia jeneza lake la kuzikiwa pindi atakapofariki dunia. Source: Magic fm magazetini.
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Wasanii wetu na sijda. Kumbe sijda unaweza kuweka tu.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
binafsi napenda kumpongeza huyu kamanda kwa kurudi vyema kwenye gemu na ngoma ya shukrani ila kubwa zaidi nampongeza kuweza kumaintain sauti yake ya kurap tangu miaka ile mpaka leo ipo vilevile...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
afya ya mama mzazi wa msanii maarufu DIAMOND si shwari baada ya kubadilika ghafla na kukimbiza katika hospital ya TMJ. wakuu maombi yenu yanatakiwa sana.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Hili lilikuwa jabali haswa la muziki! Uwezo wake wa kutunga ulikuwa wa kushangaza! Binafsi namkumbuka sana kwa muda wake alioishi na jinsi alivyotuburudisha! Mimi ni mpenzi wa R&B and hiphop...
4 Reactions
12 Replies
5K Views
Ni Njarata na mwenzake...! TUJITEGEMEE -'Promoter wa JF' kwenye forum ya Celebrities
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Akihojiwa katika Kipindi cha Mkasi cha EATV mwishoni mwa mwaka 2014, Msanii Mkongwe wa vichekesho na mchekeshaji bora zaidi aliyewahi kutokea Tanzania, Amr Athuman almaarufu kama Mzee Majuto...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanamuziki mkongwe na aliyekuwa mume wa mtangazaji maarufu, Gardner G habash, Judith Wambura Mbibo aka Lady Jaydee, ameongea kwenye kipindi cha Power Jams kinachorushwa East Africa radio kwenye...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Natoa ushauri wa bure kwa wasanii wetu kina Diamond, Ney, Kiba, Kingwendu, JB, Wolper na wengineo waende English Course ili angalau watoe kazi kwa lugha ya Kiingereza au Kifaransa. Tunafahamu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna siku nilikua nasafiri na basi moja toka mkoa moja, njiani si konda kaweka CD, mwimbaji Nyuki wacha aanze kata viuno! Nilikua nimekaa na mama moja wa heshima nilijiskiaje aibu..
0 Reactions
16 Replies
12K Views
UTAJIRI wa komediani maarufu Bongo, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji' ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wACanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo...
3 Reactions
71 Replies
41K Views
Hivi inakuaje binadamu anamkataa mtoto wake?.Chris brown amechanganyikiwa kabisa tangia ajue mtoto ni wake. Amemuomba huyo mama wa mtoto ahaime ili aweze muona mwanae. Sasa Kama wewe umo humu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kenya Police band play Tanzania's Diamond Platinumz song "You are my number one" during a luncheon at the end of the 16th East Africa Community Heads of State Summit in Nairobi, Kenya, on...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nuh alitupia picha hiyo hapo chini nakuweka ujumbe huu "Mtoto Mbichiii namla kiulaini". Mbongo flava nuh mziwanda pamoja na kukumbwa na kichapo mara kwa mara wadakuzi wa michepuko wamebaini...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Kama ulikuwa hujui basi naku habarisha, mastaa ambao wameshibana kwa sasa, namzunguzia wema sepetu pamoja na aunty Ezekiel, hapo awali waliwahi kuingia kwenye bifu zito kisa kikidaiwa kuwa ni...
0 Reactions
38 Replies
17K Views
You were such a beautiful and talented woman, cancer has taken you too soon. Am praying for the day when the world will defeat cancer. R.IP
4 Reactions
72 Replies
18K Views
Back
Top Bottom