Umofia kwenu,
Habari zilizotufikia hivi karibuni ni kwamba Ostazi Juma na Musoma amechoka mbaya. Habari hizi pia zimethibitishwa na PNC, yule msanii aliyempigia magoti Ostazi kumuomba msamaha...
Jisomee mwenyewe madudu ya ndugu yetu. siyo wabongo, bali wamarekani wenyewe.
One BA reader dishes the tea on OKC Thunder player Hasheem Thabeet and his seemingly fairytale relationship with...
Picha hii kutoka kwa Shilole enzi zake zamani kabla hajaanza kazi kwenye kiwanda cha burudani.
Hapo alikuwa anaitwa Zuwena kabla ya majina ya Shilole na Shishi baby hayajaanza kutumika.
Kweli...
Salama!
Awali ya yote na declare interest kuwa hakika uyu Jamaa mimi binafsi namuona ni mfano bora. Ni bora hasa kwa kaya nyingi sana za kiTanzania,ambazo ni watafutaji wao sio waliokuta mali au...
Huyu ndo Ilham original, tajiri wa dini, ukimsikia mwingine fekero. Ina maana pale KKKT Kijitonyama ndo basi tena hatukuoni? Umewaaibisha wenzio ujue? Si ulisemaga umerudi kundini kimoja na...
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Irene Uwoya leo kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM ameabandika picha akiwa anakula- MAKANDE na kuandika kuwa hicho ndio chakula anachokipenda kuliko...
Wadau nashindwa kuelewa kwanini tuna jikuta tunaingia kwenye mahusiano ya kipuuzi namna hii hivi kweli ni maadili ya afrika ndo yamefikia huku kweli jaman mkwe wa mbunge wa mbeya ,mjini sugu...
PNC AKIMWOMBA MSAMAHA USTAZ JUMA - YouTube
Mimi kama mdau wa muziki wa kizazi kipya napinga na kulaani huu udhalilishaji wanaofanyiwa wasanii wetu.
Nimestushwa kuona hii video inayosambaa kwenye...
Jamani ukweli uko hivi OMMY DIMPOZ anamfunika Diamond kwa kutoa nyimbo kali na video bomba zaidi.
Jamaa anajua kuimba hatari na kila nyimbo anayotoa ni nouma sana.Kama unabisha njoo hapa uzungumze.
Staa wa Bongo Movies Faiza Ally ambae ni mzazi mwenza wa Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu' amebandika hili andiko hili mtandaoni, hebu chukua muda wako kulisoma andiko hili, kuna punje utazipata...
Ndo producer aliyetengeneza hits kibao hapa bongo kwenye huu muziki wetu! Leo anatimiza miaka mingi hivi!! Kama Wewe mpenzi wa huu muziki wetu, katika miaka yote aliyoishi studio,ni biti gani...
Long before the Kenya /Uganda railway and its world famous man eating lions took off from Mombasa and landed in Kisumu in 1901, a railway line in Zanzibar had ran on the lure of beautiful women...
Kutoka kwenye Account ya Instagram, Mwanadada Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee (Komando Jide) ameamua kutangaza rasmi yeye ni shabiki wa msanii Ali Kiba. Hii inakuja mara baada ya Ali Kiba...
Wale Mastaa waliodaiwa kuingia kwenye bifu zito, Zamaradi pamoja na Ray C, na baadae kupatana, huku chanzo cha bifu kikidaiwa kuwa ni mwanaume, bifu hilo limeibuka tena, huku chanzo kikidaiwa kuwa...
MWANAMUZIKI wa miondoko ya mduara ambaye pia ni msanii wa filamu, Zuwena Mohamed ‘Shilole' amefunguka kuwa kwa alichokiona, amekoma kutumia mkorogo.
Akipiga stori na Ijumaa, Shilole...
HII ni habari ya kutisha! Takriban miaka mitatu imekatika tangu kifo cha aliyekuwa staa wa Bongo Movies, Steven Kanumba huku watu wawili wakifariki dunia kwa nyakati tofauti lakini nyuma ya...
Ni rahisi mno ingiza number hizo hapoo 👇👇👇 kwenye attachments moja kwa moja iwe miongoni contact zako halafu nenda kwenye watsap yako kisha uandike KTMA HALAFU FUATA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.