The Beautiful Bongo Movies Actress Diana Elizabeth Michael dazzled in this new Look...
Beautiful isn't she? Lulu Michael Dazzles in This New Look | UDAKU SPECIAL
While showing off her baby bump, Zari the Ugandan Boss Lady captioned the Picture above with this remarks!!
"When you keep that ambition high amazing things will happen for you. Trust me. If you...
Msanii nguli wa bongo fleva, ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu nchini , Judith Wambura Mbibo maarufu kama Lady Jaydee, hivi karibuni ametabiriwa kuolewa tena mwaka 2017 na mpiga ramli...
Hii habari ya rapa wa Marekani Young Thug kupewa ofa ya $ 9Mil na Bill Gates ili aache mziki huwa inaniacha hoi, hivi jamaa bado anaendelea na mziki au alikubali ofa?
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford ambae hivi majuzi aliweka wazi kuachana na mume wake ambae wamezaanae mtoto mmoja, imebainika kuwa kwasasa yupo kwenye mahusino ya kimapenzi na Staa...
wakuu mfalme ni mfalme tu. huyu jamaa ni noumaaa. jana nilikua pale dar live hatari,king kiba kafanya balaaa kwanza kulia na nyomi ya watu ambayo haijawahi kutokea hapa dar.kawachanganya na...
Wakuu,
Diamond kaingia kwenye taarabu, kaimba wimbo wa NASEMA WAO na Hadija Kopa, ni full taarabu yaani anaimba taarabu? My god! Inayofuata ataanza kuimba Vigodoro na Michiriku.
Hii video...
Ina maana hatuna watu wa kurithi hivi vichwa vya marapa kina ZAY B. SISTA P. RAHA P. NAKAAYA.
Eti wakuu hakuna ata rapa moja wa kike miaka hii, tatizo nini?
Diamond Platnumz ameendelea kuwa na updates kila kukicha na hii ya leo ni baada ya ukuta wa nyumba yake kudondoka, Benki ya CRDB kupitia kitengo chake cha insurance imemkabidhi diamondi hundi ya...
Jamani kuuliza sio ujinga..natafuta umbea hapa siukuti kila siku...hivi Lulu kweli ana mimba? Na kama anayo ni ya nani jaman.
Nb.nampenda sana huyu mtoto jaman nataman angekuwa ndugu yangu..hata...
Mshkaji ndio alikuwa pacha wa Tupac kwenye muziki, they were a match made in the thug-ven. Kuna story mchizi haku-commit suicide kama ilivyoripotiwa, ila 'walimzimisha' tu coz alikuwa na kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.