Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kama wewe ni mmoja kati ya watu waliochukizwa au kuumizwa na taarifa kuhusu ndoa ya mastaa wawili wanao make headline kwa sasa, zarinah hassan aka zari pamoja na mpenzi wake diamond platnumz...
0 Reactions
129 Replies
23K Views
John Singleton Drops Out Of The Tupac Biopic Because He Says People Weren't Respectful Of Tupac's Legacy. Real talk! The reason I am not making this picture is because the people involved...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kitanda cha mtoto wa Taifa kama asemavyo mwenyewe Diamond kuwa huyo mtoto ni wa Taifa ndio icho uujauzito sasa unaelekea miezi 5 si mchezo. Dinazarde warumi
3 Reactions
86 Replies
19K Views
kwa mwendo huu belle 9 anaweza kurudisha heshima yake anayostahili katika tasnia ya bongo flava belle 9 saizi kaja na single yake "shauri zao" na kiukweli niseme tu imekaa bomba kinoma download...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
When Flaviana Matata won the Miss Universe Tanzania pageant in 2007, she had no idea the contest she entered just for fun, would lead her down the runways of some of the world's top fashion...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Msanii anayefanya vizuri kunako bongo movie, Jacob Steven maarufu kama JB, hivi karibuni amekwaa scandal mpya ambayo imemshushia HESHIMA kama sio kumpunguzia credit ndani ya tasnia hiyo. Msanii...
5 Reactions
246 Replies
31K Views
Diamond Platnumz na meneja wake, Babu Tale jana walikuwa wakihojiwa kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM na kupitia Heka Heka alishare mambo mengi ambayo watu hawayafamu Muimbaji huyo alidai...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Modo maarufu na muigizaji chipukizi nchini, Hamisa Mobeto amejifungua mtoto wa kike. Staa huyo anayechipukia amejifungua ivi karibuni na kuwashangaza wengi kwani mimba hiyo ilikuwa na usiri mkubwa...
8 Reactions
447 Replies
50K Views
Staa wa muziki ambaye pia ni modo, kanye west hivi karibuni amejikuta akikanyaga skendo ya ushoga baada ya sms zake kufumwa akimtumia mwanamitindo shoga, olivier tousteng. Skendo hiyo imemganda...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Mbongo fleva ambaye hapati shoo hata za mchangani ana make mkwanja mrefu kuliko mpiga shoo yeyote yule kwenye gemu hii. Mdau huyu ambaye kashazama uvunguni mwa boss lady jack cliff. Hii...
0 Reactions
54 Replies
26K Views
Live abetter life wengi wetu tumekuwa watu wa kulalamika maisha magumu, hakuna kazi na muda mwingine tunatupa lawama kwa Mungu kwanini amekuumba masikini. Lakini bila kufikilia kwanini...
1 Reactions
70 Replies
18K Views
Labda ni msanii gani wake kwa bongo fleva anakuvutia katika vipengele vifuatavyo tabia nzuri,mavazi ya heshima,kuongea vizuri na watu, hana skendo, anajua kucheza jukwaani. Tujuzane hapa wakuu
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hawa majamaa nani zaidi ya mwingine?
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Shahidi namba moja ambaye aliburuzwa na gari na 'Mafia' Mario Suge Knight ameonekana kumtetea bosi huyo wa zamani wa lebo ya Death Row Records na kusema kwamba, yeye hatakiwa kuwa mtu wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Staa wa filamu bongo,Kajala Masanja kwa mara ya kwanza ameibuka na kutoa ya moyoni kuwa anatamani kulipa mil 13 alizolipiwa na staa mwenzake Wema Sepetu ili asiende jela miaka saba. Kajala...
0 Reactions
120 Replies
16K Views
Lionel Richie, 65, and his (much-younger) girlfriend Lisa Parigi cut stylish figures as they arrive in Los Angeles He might be 65 years old, but Lionel Richie doesn't look it.The chart-topper -...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Msaanii wa muzuki wa kizazi kipya (Bongo fleva) Shilole bado ana nia ya kugombea ubunge kwenye jimbo lake la Igunga, lakini anahofia maisha yake kuwa hatarini! Shilole anasema amekuwa amepokea...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nikiwa Chalii nilikuwa namchukuliaga Snoop kama definition ya Certified G, the G's G. Mshkaji made getting faded look cool, for us wanna-be Gz. Ila Jamaa siku hizi simuelewi kabisa, hata muziki...
3 Reactions
69 Replies
9K Views
Jamani hivi kweli kuwa wanamziki au wacheza filamu hawawezi kutoka bila ya kupata au kutengeneza skendo yoyote ili kuweza kufahamika kwa haraka? Inasemekana kuwa skendo ndio kiki kubwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Msanii wa filamu matawi wa Nigeria Desmond Elliott na wengine kadha wa kadha huko wamechaguliwa kuwa wabunge. =================== Desmond Elliot, Lai Mohammed's son, others win Lagos Assembly...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom