Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hii ni kauli ya Msanii na Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, ndugu Afande Sele (MB. Mtarajiwa). Afande ametoa kauli hiyo na kuongeza kwamba hatokuwa na budi kunyoa rasta na kubadili...
0 Reactions
55 Replies
8K Views
ELIZABETH Michael ‘Lulu' anayetesa katika filamu za Kibongo, yupo kwenye bifu zito na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2012, Husna Maulid ambaye anadai amempora bwana'ke. Habari zinaeleza...
1 Reactions
140 Replies
77K Views
Habari wanaJF, Nipo nasikiliza Hot 96 radio ya Kenya namsikia DJ Mafuvu anagonga Bongo Hip Hop za hatari ndani ya kipindi cha Mistari, Je ndio DJ Mafuvu kala shavu kwa mzee Kenyatta!?
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Nimeamka leo nawakumbuka tu hawa jamaa, i had mad love kwao. Walikuwa na vipaji vya pekee na hatari, kizuri zaidi waliwakilisha napotokea. Mara ya mwisho niliwasikia kwenye 'Nenda' waliyofanya na...
5 Reactions
61 Replies
12K Views
Wa Michezo Hapa Nchini Tanzania Maulid Baraka Kitenge Kwa Kuwa Mbunifu Na Kuwa Na Vipaji Vingi. Kwa Sisi Wapenzi Wa Kipindi Cha Michezo Cha E FM 93.7 Habari Ya Mjini Cha Sports Headquarters Kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tanzanian artiste, Naseeb Abdul, aka Diamond Platnumz, is a popular artist in his home country. He holds eight Kilimanjaro awards. The singer recently did a hit with Nigerian music star...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
KATIKA hali ya kushangaza, muigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ alizua hofu ya aina yake baada ya kutinga fulana fupi iliyosababisha silaha yake aina ya bastola kuonekana na kuwafanya watu waliomzunguka...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mwanamuziki wa kufokafoka wa Marekani, Kanye West ameibadilisha biblia inayotumiwa na Wakristo kwa kuweka jina lake badala ya Mungu. My take: Utajiri ukizidi ni shida ===================...
3 Reactions
113 Replies
30K Views
Hii Interview ilifanyika 2014. DX: A lot of people don’t like Tupac’s character in the Notorious movie. What are your thoughts on it? E.D.I. Mean: I feel like Anthony Mackie was put...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wakuu hivi inakuaje msanii anabeba tuzo kibao kwa kutegemea mziki wa playback tu?
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Leo tarehe 21 mwezi wa nne 2015 bwana Said Fella amesikika akihojiwa redioni kwamba wanakuja na utaratibu wa kusimamia mauzo ya muziki hapa nchini kwa kuanzisha kampuni ambayo itasimamia mauzo ya...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Baada ya kusimama kama sio kuporomoka kabisa kwa hii tasnia ya filam Tanzania.Msanii Wema Sepetu a.k.a ex-wa diamond amekuja kwa kasi baada ya kuanza ushiriki katika international movie huku...
2 Reactions
43 Replies
9K Views
Wakuu, Inafahamika kimataifa kuwa hakuna mwanamziki Jembe, anayekamua anayetesa kama King Kiba hapa Bongo. Je, kuna mwanamziki gani mwenye uwezo wa kutisha kama King Kiba? Hakuna bana
0 Reactions
39 Replies
3K Views
jamani hivi hili suala la watangazaji wa televisheni na radio kuwa mameneja,maproducer,mapromoter wa wasanii wa bongo movies na bongo fleva, lengo lao ni lipi hapa? na je msanii akikataa kuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sina budi kumuomba msamaha mkali wa rhymes Afande sele kwa kitendo changu cha kumuona snitch alipokubali kuimba kwenye show ya straight music kumbe kweli alifata masirahi, na ndio ambacho hata...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Muimbaji wa ‘Chekecha’, Alikiba amesema kwa sasa hafanyi tena muziki wa playback bali ni live peke yake. Akiongea na 255 ya XXL kupitia kituo cha redio cha Clouds FM, Kiba alisema siku si nyingi...
4 Reactions
57 Replies
6K Views
Baada ya kuvimba kwa kipindi kirefu hatimaye wamebwaga manyanga na kuamua kurejea twanga pepeta Kweli nimeamini Twanga ni Kisima cha burudani ndo maana Choki na Nyamwela wamerudi Twanga na...
0 Reactions
106 Replies
19K Views
Kati ya jambo nitakalojutia kuliko yote.ni Diamond kuniburudisha na playback.. #wachakinuke
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna underground kutoka Iringa anahojiwa sahivi na Mchomvu, anasema huwa anawasiliana na Diamond, kila akitaka kutoa wimbo anamtumia 'brother' aijaji kama inahitaji marekebisho, then akashangaa...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Nimeguswa, Nahisi kila mmoja ataguswa pia. Msanii, ndugu, jamaa, rafiki, kaka, Mtanzania na Binadamu mwenzetu anatuhitaji, Tunamuacha??? Mimi hapana, simwachi. Namsaidia, naweka akiba.. Jaribu...
7 Reactions
66 Replies
10K Views
Back
Top Bottom