HISTORIA KWA UFUPI
Wastara alizaliwa mwaka 1983 katika Hospitali ya Turiani iliyopo wilayani Mvomero mkoani Morogoro akiwa ni mtoto wa tano kati ya saba waliozaliwa katika familia yao...
Muigizaji mwenye mvuto wa kipekee na mwenye haiba ya upole bongo movie, Jennifer kyaka aka Odama mambo yake ni super ile mbaya, anaweza kuwa ndiye msanii pekee apa bongo movie anayeishi maisha...
Baada ya mtangazaji maarufu nchini, zamaradi mketema, kujifungua mtoto wa mwingine ,mashabiki wake wamemjia juu mtangazaji huyo na kudai kuwa kitendo cha kuzaa nje ya ndoa ni kosa kwa mtoto wa...
Taarifa zilizotua kwenye dawati la gazeti hili zinadai kuwa, wale wamama wa mjini ambao walikuwa mashosti hadi kufikia hatua ya kusema ni kama ndugu, mama wa aliyekuwa staa wa Bongo Movies...
Zikiwa zimebaki siku 9 kabla ya pambano lilopewa jina la ‘Fight of the Century' kati ya mwanasumbwi tajiri zaidi duniani ‘Floyd Mayweathe Jr' ambaye ana rekodi ya kutopoteza pambano...
TupacI been shot and murdered, can tell you how it happened word for word
But best believe n--s gon' get what they deserve
Tupac rapped these prophetic lyrics just two months before he was...
Baada ya hivi karibuni staa aliyefanya vizuri kwenye movie ya CHAUSIKU, Shamsa Ford kutangaza rasmi kuachana na aliyekuwa mume wake, kwa kigezo kuwa mwanaume huyo alikuwa akimtesa na kumpiga kwa...
jamani mmeipata hii msanii shilole yupo E.FM radio anaongea kingereza bana. yaani IS na WAS kibao. na mimi naenda kujifunza kingereza sikubali yaani mpaka huyu?
Jamaa ambaye inasemekana ni rafiki wa karibu wa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu' aitwaye Morris Sekwao ‘Junior' inadaiwa amepata msala ‘hevi' baada ya...
Akiongea na kipindi cha Ng'ari Ng'ari cha Clouds TV, Diamond alisema wakati wako pamoja waliwahi kuzunguka kwa wataalam mbalimbali kujaribu kupata tiba lakini hawakufanikiwa.
Alisema ilifika...
Ni miaka mi3 sasa toka huyu jamaa atutoke duniani, lakini pengo lake linajidhihirisha kila kukicha..
Jamaa alishapiga hatua nyingi za kuonesha kua alikua anaelekea kwenye mafanikio zaidi ya...
Nilikuwa nikifuatilia vioja mbalimbali vinavyojitokeza na vinavyoendelea kujitokeza, nikagundua kuwa washiriki wa miss 2006 baadhi yao wanajihusisha na kujitangaza sana kwenye vyombo vya habari...
Ni yule producer matata sana kutoka mwanza alie andika ngoma inayopendwa na wengi na kumpa baracka da prince afanye yake,nazungumzia siachani nawe,Goodluck gozbert a.k.a lollipop ametoa kichupa...
Nay wa Mitego ni mtu wa maamuzi na mapenzi tofauti na wengine. Ndio maana ukiingia ndani kwake utakutana na sanamu isiyo ya kawaida – ni sanamu ya shetani!
Rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa...
Weekend iliyopita Escape One kulifanyika show iliyowakutanisha mastar wakubwa ndani na nje ya TZ kama Christian Bella, Ruby, Ali Kiba, Kassim Mganga, Ommy Dimpoz,Msami, na Alicious kutokaKenya...
06. Ommy Dimpoz
Dimpoz anamiliki Mark x yenye thamani ya zaidi ya milioni 30.
05 . Ney wa Mitego
Ney wa mitego naye anamiliki gari aina ya Mark X yenye dhamani ya...
jamani K 4 REAL ndio katoka na masong makali ya MWANA na CHEKETUA na leo nilisikia CHANEL .O. wakizungumzia hizi songs na kuna tetesi zitapigwa katika stesheni za nje. so nawataka wasanii wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.