Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Armed robbers broke into Tanzanian singer, Ali Kiba’s house Sunday morning and made away with his belonging, says Bongo5.com. Ali Kiba’s younger brother, Abdu Kiba, says the robbers were more than...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Staa wa sinema za Kibongo , Jacqueline Wolper amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake . Baada ya taarifa hizoza chini chini kuzagaa , Wolper aliibuka na kuzikanusha kama...
0 Reactions
94 Replies
22K Views
Zari the BOSS Lady akichezea kidevu cha Diamond wakati akihojiwa na Clouds TV pamoja na Clouds FM mapema leo asubuhi
0 Reactions
79 Replies
17K Views
Wageni toka nje ya Afrika wanaokuja Afrika na kuvutiwa na utamaduni wa kiafrika wanaongezeka siku hadi siku.Kwa hapa Tanzania kijana mdogo wa miaka sita toka Denmark,Espen Sorenson alimfuata baba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa mbali na kuwa bondia mkubwa sana lakini pia ni Mbunge wa huko nchini kwake Ufilipino na tetesi zilizopo ni kwamba anataka kugombea urais wa nchi hiyo maana raia wake wanamkubali sana kwa...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Wakuu Salam, Nilikuwa na swali ambalo nimekua nikijiuliza kwa sababu kuu mbili; Moja ni Kutaka kujua progress in terms of commercial growth and success kwa wasanii na celebrity wetu. Na pili...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
So sad! Kuelekea Zari show. Baba yake Diamond ambae anaumwa sana miguu ameshindwa hata kutembea ameomba mwanae amsamehe kama baba na pia ameomba aje kumtembelea ampeleke hospitali asisubiri kufa...
5 Reactions
174 Replies
37K Views
Pamoja ya kuwa mbabe alikuwa anaogopa kwenda jela Jinsi Mike Tyson alivyojaribu kwenda kwa mchungaji kuhani asifungwe gerezani baada ya kumdhalilisha mpenzi wake katika simulizi hilo jipya Mike...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Ni kweli kabisa lazimama tuwaheshimu wote hawa wawili.., kati ya BARAKA dA PRincE na MO MUSIC. WOTE WANASTAHILI ''UP COMIN'' artist... Na kweli sie mashabik twawapenda wote...,, but... But...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
napenda kumpongeza msanii jembe hapa bongo KING KIBA kwa kudumu kwa muda mrefu zaidi na kuendelea kuwakimbiza kina mond na wengineo. Kwa kweli jamaa anatisha sana sauti ipo palepale na anapendwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani Kwa ambaye ameshaweza kuangalia hili tukio anifahamishe nashindwa kuangalia Nimelipia online ila hakuna code hakuna lolote huu usije ukawa utapeli
0 Reactions
64 Replies
8K Views
Nimependa sana huu ubunifu wa hawa waandaaji wa hili tamasha. Mimi ni muumin mzuri wa ubunifu ktk Biashara Na pia ni mteja mdau mzuri wa entertain-business. Kwa mara nyingine Dogo Diamond ameweka...
3 Reactions
28 Replies
7K Views
Ni Watangazaji Wa KIKE Waliojizolea Umaarufu Mkubwa Mno Kwa Wasikilizaji Na Watazamaji Wakitokea Mawingu Ya Mbinguni Media Group. Watangazaji Hao Ni " Kijana Chunusi " Na " Barabara Ya Hassani...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
DOKTA amempiga stop staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel kwenda kujifungulia nchini Marekani kwa sababu hali yake ya ujauzito aliyofikia haruhusiwi kusafiri kwa kutumia usafiri wa anga kwenda...
3 Reactions
175 Replies
19K Views
Familia ya ‘President' wa Kruu ya Wasafi, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' imeamua kuweka kikao kummbana staa huyo aweke wazi kama ni kweli ana uhakika mimba aliyonayo mjasiriamali...
0 Reactions
66 Replies
13K Views
Ile show ya kijanja inayosubiriwa kwa hamu kutoka kwa mtoto mkali aka malkia wa East Africa,Malkia wa swaga East Africa, mwanamke mzuri kuliko wote East Africa, Mwanamke Tajiri kuliko mastaa wote...
3 Reactions
37 Replies
8K Views
LOTUS KYAMBA kathibitisha kupitia kipindi chake cha Nirvana kwamba mimba aliyonayo msababishaji ni mwanahiphop Roma Mkatoliki na anampenda sana. Big up Roma kwa kutarajia kuongeza kiumbe kingine...
2 Reactions
177 Replies
33K Views
Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana.But sina na siwezi kumkufuru mwenyezi mungu.Au mngependa niwe nawaambia jinsi ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu...
3 Reactions
200 Replies
38K Views
Meya Jerry Silaa akiwa anafungua gari lake aina ya Toyota IST alilofanikiwa kulinunua hivi karibuni tu ambalo limegharimu muda mrefu kulipata gari hilo ambapo anasema lilikuwa ni ndoto yake muda...
1 Reactions
82 Replies
17K Views
Here is a letter Diamond wrote to promoters in Kenya giving them conditions that they must meet before he performs. “First of all the team is going to Include 10 people. You will have to manage...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Back
Top Bottom