STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu aka mama ubaya ametaja sababu zinazomfanya aingie katika mgogoro na mama yake mzazi , Miriam Sepetu kuwa ni suala
la uchumba wake na Nasibu Abdul ' Diamond...
Imevuja! Kuna madai kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' ametupiwa jini lakini likamkosa na kumpata mama yake mzazi, Sanura Kassim ‘Sandra' kisha kumsababishia...
Kijana wetu anatuwakilisha vyema kwenye jumba la BBA kwenye Disco Night. Wale wenye kuona BBA wa-tune 198 wamuone kijana wetu anavyofanya maajabu.
Alli Kiba atasubiri sana kwa mkali huyu mpaka...
Msanii Diamond Platnumz amepost moja ya nyumba yake akisema hiyo ni moja ya kumi ya nyumba alizonazo, huku akisema ina vitu kama gym, jaccuzi,swimming pool, studio, pooltable, lounge etc
Benki ya CRDB imepanga kumjengea ukuta wa fensi wa nyumba ya Daimond Platnumz ulioangushwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini. CRDB wamesema hayo kuwa watamjengea ukuta huo kwa kuwa Dai...
Wakuu,
Tujuzane kuna nini nyuma ya pazia kuhusu Diamond kwenda kwa Raisi Ikulu mara kwa mara. Mbona sijaona Mwanamuziki mwingine akienda Magogoni, au huwa anatumwa kazi maalum?.
Karibuni tujuzane..
KWAKO mtoto mzuri, Beutiful Onyinye, Wema Sepetu !'Madam'. Vipi uko poa? Ukitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima namshukuru Mungu, hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa maisha...
Huyu mtoto anaitwa Mziwanda ni ndorobo wa hatari,Jamaa katoka hapa na demu wake shilole kwenda kufanya show Ubeligiji cha kushangaza kafika kule kazi ni kupiga picha yeye na jukwaa tu(bila...
Tangu Miaka 15 baada ya kifo cha West Coast rapper Tupac Shakur,Mpelelezi wa zamani wa LAPD,Greg Kading amemtaja Sean 'diddy' Combs kwenye kitabu chake cha Murder Rap,kuwa alihusika na...
Kijana Jack Pemba amezua kizaazaa uwanja wa ndege Dar. Hii ni baada yakuanza kuvamia meza za watu na kujitangaza kuwa amerudi Dar.
Huku akiongea kwa sauti kubwa hadi bar yote ya Flamingo...
Msanii wa long time kwenye anga la filamu Bongo , Vincent Kigosi Ray amefungukia sababu za kutooa licha ya kwamba umri umekwenda .
Akizungumza na Ijumaa katika mahojiano maalum , Ray...
Nimeona leo watu wakimtakia happy birthday Faraja kwa kutimiza miaka 30 lakini mbona nahisi ni michache sana kwa mtu aliekuwa Miss Tanzania 2004? Isijekuwa kajipunguzia miaka kama wanavyofanya...
Mashosti wa kufa na kuzikana, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wanadaiwa kugombana baada ya Aunt ' kuposti ' kwenye ukurasa wake wa Instagram tangazo lililohusiana na pati ya...
An Indian court has sentenced Bollywood star Salman Khan to five years in jail for killing a homeless man in a 2002 hit-and-run driving incident in Mumbai.
The man was among five people who...
Siku chache baada ya ndoa ya Legendary wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ' Jide ' na mtangazaji mahiri nchini , Gardner Gabriel Habash ' G Habash' kudaiwa kuvunjika, gumzo limeibuka...
(CNN)This time it wasn't singer Chris Brown making the news for his own behavior. When Brown returned to his Agoura Hills, California, home on Wednesday evening, he found a female intruder in his...
Mwanzilishi na mmiliki wa kundi la Muziki la Yamoto band pamoja na TMK Wanaume Said Fella amesema atamualika na kumuomba rais Kikwete kuzindua nyumba za kisasa za vijana wa Yamoto band ifikapo...
Nimesikia huu wimbo wake unaitwa shuka, yaani anaimba kitoto kitoto sana.
Hata nyimbo zake 4 zilizopita nazo pia.
Huyu jamaa ni pure talent na anajua kinoma,since kitambo lakini anachoimba...
Kumbe! Imebainika kuwa maneno gold digger katika ulimwengu wa fursa yanamaanisha kuwa ni mtu anayeona fursa na kuzitumia katika kufaiti kupata mafanikio (utajiri ) kwenye maisha.
Zarinah...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.