MAFURIKO yanayotokea katika sehemu mbalimbali nchini kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha, yanaizengea nyumba ya nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platnumz iliyopo Tegeta Madale...
kwa muda mrefu sasa watanzania tumekua tukijiuliza ni nini tatizo la mmomonyoko wa maadili ndani ya jamii ya kitanzania,na serikali imekosa kugundua kwamba ugonjwa uhu unasababishwa na hawa...
Baba mzazi wa aliyekuwa mwigizaji mkubwa Bongo , marehemu Steven Kanumba ' The Great ' , Charles Kusekwa Kanumba amefunguka kuwa ili azae , staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu...
Wakuu,
Hivi kwanini wasanii wa fani ya mziki na filamu wanapenda sana kujipodoa podoa wanakua kama wasichana? mfano yule mwanamziki maarufu aliyotoka na Mbagala, sasa hivi kawa mweupe kama...
Mwanadada Siwema ambaye alikuwa na uhusiano na msanii Ney wa Mitego ameonyesha jeuri ya pesa mda mfupi baada ya kuachana na Ney wa mitego baada ya kununu gar mpya aina ya Hyundai CR-V. Hivi...
Mkongwe wa sinema za Kibongo ambaye amekita makazi yake nchini Denmark, Lucy Komba ameweka bayana kuwa katika suala la mapishi anapokuwa nyumbani, huwa wanawekeana zamu ya kupika na mumewe. Lucy...
Wakuu,
Nimefanya research ndogo na kugundua kwamba kuna mwanamuziki moja tu anayeishi maisha yasiyo ya maigizo kama wenzake wanaoshinda wakiazima magari,nguo ,simu,viatu. Huyu anaishi maisha...
Kumekuwa na tabia za masuper star hasa wanawake kupiga picha wakiwa nusu uchi. Picha ambazo licha ya kujidhalilisha wao wenyewe,pia wanadhalilisha hata familia zao.
Wengi wanafanya hivyo kwa...
Picha ya mastaa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja wakiwa wamekumbatiana kwenye sherehe ya Aunt Ezekiel ‘Baby Shower Party 'ikiwa nikumpa zawadi mzazi mtarajiwa iliyofanyika...
Agnes Gerald (Masogange).
HABARI ikufikie kuwa muuza nyago wa video za wasanii wa Bongo Fleva (video queen), Agness Gerald ‘Masogange' anadaiwa kutimuliwa nchini Afrika Kusini ‘Sauzi'...
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa...
VMachoni pa wengi maswali yaliibuka miongoni mwa mashabiki wa mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul Diamond Platnumz , Zarinah Hassan The Boss Lady baada ya kumuona akiwa klozi na Bosi...
Sexy lady kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Lulu amefunguka kuwa anapenda kuminya ku -date na wanaume wanaomzidi umri kwa sababu wanakuwa na nafasi nyingi katika maisha yake ...
Ivandon x - husband wa zari amejitolea kumfadhili Ali Kiba, kwa kuwa anaamini ni bora zaidi ya Diamond Platnumz.
Kiba utafanyaje brother?nyanyua simu uwapigie..ushauri wangu
MSANII nyota wa filamu, Elizabeth Michael ` Lulu ' amekanusha uvumi kuwa matatizo yanayowatokea wanaume aliowahi kuwa nao yanatokana na yeye kuwa na Jini Mauti anayesababisha hali hiyo kutokea...
Leo mchana kwenye kipindi cha TAKE ONE cha Clouds tv nimemuona na kumsikia Diamond platnumz akisema kwamba mwaka 2011 mwishoni akaunti yake ilikua na million 100, sikatai coz kweli dogo...
Celebrity couple Diamond Platnumz and Zari were in Zanzibar to celebrate their Valentines day since Zari had never been there. The two have been dating for a couple of months and she is now...
Msanii Naseeb Abdul a.k.a Diamond akiwa chini ya ulinzi wa mashabiki uwanja wa Samora Iringa baada ya kushindwa kufanya show katika uwanja huo. Msanii huyo na wenzake wamekamatwa na polisi Iringa...
Tujuzane ile sinema fake imeishia wapi ilitambulishwa tarehe 02 mtu kujitangazia kavamiwa na majambazi 20 (Sasa sijui hii idadi yote walikua wanafanya maandamano au laa coz hata bank haijawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.