STEVE NYERERE ANADAIWA KULAMBA FEDHA ZA KABURI!
TAKRIBAN mwaka mmoja tangu mwigizaji Adam Kuambiana aiage dunia, kaburi lake limeibua skendo ya wasanii kudaiwa ‘kuchikichia' fedha za...
How come haujamfollow hata mtu mmoja kwenye account yako...au ndo mapozi yenyewe haya..ina maana hata hutaki kushow love kwa wasanii wenzio :what::mad:
Kwa anaejua alipo & anapiga mishe gan huyu aliekua comedian wa ze komedi ya EATV atutonye. Maana siku hizi simuoni kabisa Ze Komedi, alikuaga anafit sana hasa kwenye segment ya mazuzu ingawa Bambo...
Habari iliyotufikia leo hii, kutoka kwa mwanamuziki mkongwe wa r n b nchini, Judith Wambura Mbibo au maarufu kama Lady Jaydee, ni kuhusu kufungwa kwa biashara yake ya Bar n Restaurant aliyokuwa...
Wako wapi MB Dog, Z-Anto, Keisha, Pingu, Spark, Dongo Janja na wengine waliowahi kujitoa Tip Top Connection? Kuna nini Tip Top, kwamba ukijiondoa tu huwezi kufanikiwa mbeleni? Kwanini ni...
Habari zenu wakuu,
Huko Instagram kumenuka baada ya Maimatha kushushiwa shombo za samaki na kujikuta yuko feli akivua samaki kutokana na matusi yaliyompelekea kufuta kila post iliyokua...
Staa wa muziki Alikiba amesema kuwa video shooting ya wimbo wake ‘Chekecha' ambayo imepangwa kufanyika Afrika Kusini, imechelewa kutokana na vurugu dhidi ya raia wa kigeni (Xenophobia)...
MASTAA wa filamu Bongo , Aunt Ezekiel na Kajala Masanja , juzikati walikutana na kutumia muda wa takriban nusu saa (dakika 30 ) kumsengenya aliyekuwa shosti wao , Wema Sepetu .
Tukio hilo...
Kwa kuangalia historia ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel ni zaidi ya marafiki ambao walikuwa maswahiba walioshibana kiasi kwamba hakuna mtu anaeweza kujua kama leo watakuwa maadui. Na urafiki huu...
Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ameibua maswali kwa mashuhuda walimuona live akiingia kwenye hekalu la watu wa Jamii ya Siri (Secret Society ) ya Freemasons yenye nguvu...
Watu walikua wakimbeza gavana kwamba hamuwezi mtoto mbichi kama Lara. Lakini yeye aling'aka na kusema anaweza fanya hata zaidi ya kazi vijana wanazo zifanya.
Gavana huyu aliyeanza kwa kukimbia...
Madonna got involved in a controversial storm on Instagram on Monday by posting a photo of a Jewish man and a Muslim man going to kiss, subtitling it This picture is 100″ with a heart...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini limeona picha chafu na zisizo na maadili za Msanii Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole alipokuwa akifanya...
Nimelazimika kuandika uzi huu baada ya kukisikia kibao cha "Kasongo" kikirindima.
Nimemkumbuka mtangazaji huyu aliyekuwa mwahiriwa wa RFA kipindi mahsusi kikiwa salamu za milenium (Nyimbo za...
Afande Sele kafunguka kupitia ‪#‎YouHeard‬ ya Power Breakfast Clouds Fm na kusema kuwa wabunge wengi wa Tanzania wanamfuata na kumuomba 'Mmea' wakidhania kuwa yeye bado anavuta...
Nimependa hii idea ya hawa jamaa, kwenye huu wimbo wao mpya
Wanabishana kipi ni muhim ktk mapenz ni pesa au mambo ya kupet pet
Wanachonifurahisha wanatumia story zao za ukweli wanafanya wimbo...
Lindsay Lohan turns to Islam: Troubled actress carries the Koran as she steps out after court-ordered community service at a children's center
Lohan was raised a Catholic, has since spoken...
Aisee huyu jamaa nilikuwa nafutilia historical back ground yake ingawa alikuwa anajiuma uma kwa ku loose confidance dhidi ya ugeni wa kuongea kwenye media.
Ila kama ni kweli alichokuwa anakiongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.