Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Jana Kila Kona kwenye mitandao kulizuka habari kuwa Hussein Machozi Amefariki Dunia kitu ambacho kumbe hakikua Kweli ..Msikilize Hussein Machozi Kwa Mara ya Kwanza akiongelea Tukio hilo na Pia...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Huyu jamaa nae ni mkali sana cjui kwann hatok dah wadau ebu tumjadil huyu jamaa Management au.........Kisakaaaa!!
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Chrstian Bella huchoki kunishangaza wewe king of melody and best vocalist off all time in Tanzania. Nilianza kukusikiliza toka mwaka 2009 enzi hizo ukiwa na Akudo Impact 'Wazee wa Masauti' mpaka...
5 Reactions
48 Replies
11K Views
Leo ni siku ya kuzaliwa ya mkali wa miondoko ya naija flavour Kcee a.k.a mr.Limpopo
0 Reactions
1 Replies
807 Views
Ni story nzito ndani ya Uganda, je na wewe waona nani zaidi kati ya Wema na Zari? Chanzo: http://www.ugandaonline.net/news/view/15446/zari_and_diamond_platnumz_an_item Je urafiki huu mpya wa...
0 Reactions
160 Replies
38K Views
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anaogopa wachawi kumtaja mhusika wa mimba aliyonayo. Lulu alifunguka hayo juzikati wakati mwanahabari wetu alipotaka...
1 Reactions
194 Replies
58K Views
Kwa vichwa vingi vya rap/hip-hop inaaminika huyu jamaa ndio mkali kabisa aliyewahi kufanya. Na kwa baadhi ya washabiki wa rap, wanaamini kwenye rap hakuna mapenzi, ni 'ugumu' mwanzo mwisho...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu kwa nini wasanii wengi wanaishi kwenye nyumba za kupanga hata kwa wale waliobahatika kujenga mijengo yao. Kuna wasanii wana pesa nzuri sana lakini wanaishia kupanga na tuna mifano kibao ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama tujuavyo Mzee Machache yupo katika pilika pilika za kufunga ndoa na mchumba wake mrembo (K-Laini) sasa kwa jinsi mzee huyu alivyo na watu na umaarufu wake napendekeza harusi ifungwe pale...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Kuna bifu kati ya Diamond na Ommy Dimpoz kisa ni wimbo wa Wanjera aliomshirikisha Wema Sepetu katika video yake. Diamond kakasirika kwa nini Dimpoz kamtumia Wema? Na picha za Dimpoz alizopiga na...
2 Reactions
42 Replies
14K Views
Wadau, Ney wa Mitego baada ya kuachana na Siwema ametoa kali ya mwaka kuwa ukiachana na mwanamke usikimbilie kutafuta mwingne haraka maana hata huyo utakaembilia utaachana nae. Wadau hii ni sahihi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instragram mwanadada huyo ameelezea jinsi tukio lote lilivyotokea...soma chini hapa������
0 Reactions
56 Replies
13K Views
Ni ndefu lakini someni itawasaiDia huyu dada alie toa ushauri anaitwa rose ashukuriwe MUNGU wetu kwa kutubariki kuiona siku hii yamleo tukiwa wazima wenye afya na akiwa ametuandalia baraka tele...
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Nitapataje mawasiliano ake? Au yupo mtaa gani nataka niongee nae niulize maneno anatoa wapi huyu jamaa hivi naye si moja ya watu maarufu hapa nchini au? Dj Mark si ni staa yule nitaweza kweli...
3 Reactions
36 Replies
28K Views
Mke halali wa mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald mengi, jackline ntuyabaliwe aka k -lyn ,ameanza kuonyesha baadhi ya mali anazomiliki, ikiwemo duka la nguo la kifahari (pichani ) lililopo...
3 Reactions
72 Replies
16K Views
Mimi kama mwanaume najisifia kwa kufahamu wanawake KWA undani zaidi, namshauri diamond wanawake ni watu wa kubadilika badilika kutokana na mahitaji yao awe makini sana na mademu la sivyo...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Why are we even talking about this? This is the news of the day! Method Man may have saved a marriage with this one! A husband accused his wife of have sex with the entire Wu Tang Clan, b...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Miss Tanzania wa mwaka 2000 na mwanamuziki wa bongo fleva, Jackline Ntuyabaliwe aka K- Lyn hatimaye amekuwa mke mke rasmi wa mfanyabiashara maarufu na TAJIRI namba moja nchini, Reginald Mengi...
0 Reactions
188 Replies
29K Views
Shilole bado ana nia ya kugombea ubunge kwenye jimbo lake la Igunga, lakini anahofia kuwa maisha yake yanaweza kuwa hatarini! Shilole ameiambia Bongo5 kuwa amepokea simu nyingi kutoka Igunga...
0 Reactions
57 Replies
8K Views
Back
Top Bottom