Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msanii wa bongo Fleva Rich Mavoko amekanusha tuhuma za kujichubua. Rich Mavoko amefunguka na Kusema Haya; "Lazima tuangalie wakati hizi picha zilipigwa, hio picha nikiwa na dred Locks ni...
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Nini mnataka mazee, ni among hit ninayoikumbuka sana kipindi kile cha kuharibu tape za washua unarecord bongo fleva halafu mzee akija gundua anakupa kipondo balaa lakini still unaendelea kurecord tu.
1 Reactions
26 Replies
11K Views
Mtangazaji maarufu wa kipindi cha Ala za roho Clouds Fm amebadili jina kisheria na kuanza kujiita Diva Gissele D Malinzi. ======== Sio Loveness tena: Diva abadili jina Mahakamani, sasa anaitwa...
0 Reactions
55 Replies
23K Views
Jambo kwenu wote. Leo wazee wa "natuma kama nilivyopokea" wamesambaza sana habari kuwa mtajwa hapo juu katutoka. Nimejaribu kutafuta uhakika toka vyanzo vya kuaminika kuhusu hilo suala, sijaona...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
hapo hana ata ndoto kama atakuja kanyaga warembo wa mjini
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Wakati akihojiwa na Clouds Fm kipindi cha leo Tena alipoulizwa anachopenda zaidi kwa Zari ni kitu gani? Alifunguka kuwa anachopenda ni tabia ya Zari ya kujielewa. Akaendelea kufunguka Zari...
3 Reactions
55 Replies
10K Views
Kabla na Baada List ya Masuper star wa Kiume Bongo waliojibadilisha ngozi kwa kutumia mkorogo ama madawa inazidi kunona baada ya Msanii Richi Mavoko Kusemekana naye amejichumbua ngozi kwani...
0 Reactions
96 Replies
20K Views
Tukubali tukatae ila msanii wa kike Vanessa Mdee ndiyo queen wa R&B na music wa kizazi kipya East Africa kwa sasa. Amefanikiwa kuondoa utawala wa Lady Jaydee kwa muda mrefu. Kwa sasa ndiyo...
4 Reactions
103 Replies
14K Views
Katika game ya bongo movie wapo wanawake wengi sana waliojaaliwa uzuri wa sura na maumbo kupitia maoni ya watu kadhaa nimepata list fupi ya wadada watano ambao ni warembo na wenye mvuto zaidi nao...
0 Reactions
96 Replies
47K Views
Aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, Faiza Ally ameshtakiwa na binamu yake baada ya kudaiwa kumtishia kumuua. Faiza ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa na...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Mwanamuziki na mfanyabiashara maarufu kutoka nchini uganda, mwenye tittle ya u bosslady EA, ambaye pia ni muke mtarajiwa wa mwanamuziki diamond platnums, zarinah hassan aka zari, kwa mara nyingine...
0 Reactions
50 Replies
13K Views
My take: Jamaa anaonyesha ni muungwana sana. LICHA ya Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kukanusha mara zote kwamba, hahusiki na kusambaratika kwa ndoa ya Mwimba...
1 Reactions
62 Replies
16K Views
Wana JF, Kufuatana na hali halis ya watu kujibadili sura mpaka kukalibia jini, siku ametokea muungwana mmoja Africa akasema viwanda vya vipodozi na mikorogo vizimwe na kutotumika tena. Ipo siku...
3 Reactions
16 Replies
6K Views
wakuu nani zaidi?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kazi ipo! Mwandani wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari’ juzikati alizua kizaazaa kisa ujauzito alipohudhuria kwenye msiba wa aliyekuwa bosi wa...
0 Reactions
34 Replies
9K Views
Msanii wa Filamu Nchini, Mwanadada Shamsa Ford amekana kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwana hip hop,Elibarik Emamanuel 'Nay wa Mitego' na kuweka wazi kuwa wako mbioni...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Cha kushangaza huyu mtangazaji alikuwa bench huku akikabiliwa na Kesi ya rushwa. Jamani source ni yeye mwenyewe anahojiwa kipindi cha Mboni Talkshow EATV
1 Reactions
68 Replies
17K Views
KIMESANUKA! Mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nurdin Bilal maarufu kama Shetta anadaiwa kulala chumba kimoja na staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka katika hoteli iitwayo Kingway iliyoko...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Source: W.Malecela Blog
0 Reactions
81 Replies
25K Views
Haya sasa Diamond Platnumz kumtambulisha rasmi mkewe Zari thebosslady walofunga ndoa kimya kimya ndani ya iyo tar bidada murembo mixer Ugandan na ile rangi ya kishombe shombe Zari thebosslady...
0 Reactions
75 Replies
15K Views
Back
Top Bottom