Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Vijana wa Yamoto Band jumamosi iliyopita Walipiga Bonge moja la Show huko UK London katika Ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na watu kibao wanaoishi huko, Hizi ni picha za matukio katika...
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Akiwa amepost kwenye ukurasa wake Istagram, kwa kumtakia R.I.P Captain John Komba amejikuta akifunguka kuwa yeye ni mwanachama wa CCM.
0 Reactions
60 Replies
8K Views
Msanii wa bongo flava Seif Shabani "Matonya" amefungua mwaka 2015 kwa aibu kubwa baada ya picha kuvuja kwenye mitandao ikimwonyesha akiwa amelewa chakari hajitambui. Picha hiyo inasemekana...
1 Reactions
50 Replies
12K Views
Mara nyingi huwa tunazipata picha za wasanii wetu waimbaji wakiwa wameshika microphone wanaimba au kuchana mistari. Kutokana na wao kuona picha za marapa wengine jinsi wanavyoshika maik nao huiga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
huu in uchunguzi usio rasmi nloufanya, nimegundua kuwa machiz wengi wanam-diss bieber sasa cjui kama ni wivu au in vipi
0 Reactions
34 Replies
9K Views
Ni mifano mingi tumeona pindi msanii au mtu yeyote yule ambaye amefikia umri wa kuanzisha familia inapotokea amefariki bila hata ya kuacha angalau mtoto mmoja ambaye atakuwa faraja kwa familia au...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Leo kuna mtu kaniambia msome Mange kaongea kitu kizuri sana, nikampuuza ila aliponipa brief ikabidi niingie kumsoma.. Kwa kweli huyu mama uwa simkubali mpaka nakufa ila kaongea kitu cha msingi...
15 Reactions
96 Replies
15K Views
Gauni limeibiwa hotelini alikipwa alivae na Calvin Klein .Dah tuombe lipatikane jamani lisimtie nuksi dada wa watu . Lupita Nyong'o's stolen Oscars dress has been returned to the scene of the...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Nifahamisheni huyu jamaa ana umaarufu gani hasa? Nimekuwa nikisikia akitajwa sana na vyombo vya habari kuwa amekamatwa, nijuzeni
0 Reactions
47 Replies
22K Views
Habari wajameni kwa mara ya kwanza kama Mtanzania niliekerwa na wabongo kufanya video nje ya nchi South Ulaya na America. Naomba mimi mfalme Simba ni direct video ya wimbo huu wa Chekecha...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Flora Mbasha afunguka mazito mpaka mengine hayawezi elezeka kuhusu mumewe Mbasha, ni hatari sana nimefikia uamuzi wa kudai talaka kutokana na kuchoshwa na vitendo vya ukatili nilivyokuwa nafanyiwa...
0 Reactions
101 Replies
22K Views
Naomba tupendekeze nani ktk kundi la wasanii wa kibongo anaweza kua na sifa za kuongoza nchi, ukilinganisha na namna anavyo jitoa ktk tasnia yake.. Tunaweza kumuelezea kwa vipengele kama hivi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mnyama ana tuhuma ya kumtumia msichana ili amuue ali kiba,amehojiwa na clouds fm akiwa kituon na kukanusha madai hayo na kusema hajui chochote na he has nothing against ali k,hawajawah kugombana...
0 Reactions
39 Replies
17K Views
MSANII wa filamu za Kibongo, Doreen Reguna ‘Queen Magali' amefunguka kuwa kifo cha staa wa Bongo Fleva, Moses Mshagama ‘Mez B' ni pigo kubwa sana kwake kwani marehemu alikuwa ni...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
http://youtu.be/ezNduQlf_nA
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Is D’ Banj Having Oral Intercourse With This Female Fan On Stage? kama ni mchumba wako au mke wako anafanya hivyo in the name of ushabiki utafanyaje?
0 Reactions
14 Replies
4K Views
STAA wa filamu, Blandina Chagula ‘Johari' ameamua kuvunja ukimya wa muda mrefu baada ya kuweka wazi mwanaume ambaye anahitaji amuoe na sababu inayomfanya asijichanganye na mastaa wenzake...
0 Reactions
15 Replies
11K Views
Msanii Omary Nyembo alimaarufu kama Ommy Dimpoz amefunguka na kusema kuwa watu wa uhamiaji duniani kote huwa hawatambui umaarufu wa mtu pindi wanapogundua kuna kitu hakijaenda sawa,Ommy Dimpoz...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Diva anayekimbiza kwenye kiwanda cha filamu hapa bongo, Jackline Massawe au kwa jina maarufu la Wolper, kwa mara nyingine ameripotiwa kuangukia kwenye mikono ya pedeshee ambaye ndiye anayempa...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Mwanaume mwenye vigezo gani ungependa kuwa nae kwa sasa? JIBU :Anaejali na kuheshimu, mwenye roho ya upendo na huruma, anaeweza ku take care of me financially.Asiechepuka hovyo (Milupo kila...
1 Reactions
247 Replies
31K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…