HUTAKIWI KUWA NA HASIRA KATIKA PROCESS ZA KUTAFUTA MAISHA.... utakutana na changamoto nyingi sana na lazima ukubali.. kubali kudharauliwa, kubali kushushwa kubali kuonekana huna maana lakini...
POSO Tanzania ni ofisi ya uwezeshaji wananchi kiuchumi chenye database ya wateja wake 250,000 kila mkoa na wameingia rasmi kwenye sekta ya filamu kwa kuwachukua waigizaji nguli kama Rich(Single...
Msanii kutoka TMK Wanaume Family, Amani James aka Mh Temba jana amefikishwa katika mahakama ya mwanzo ya Temeke jijini Dar es salaam akikabiliwa na mashitaka ya kutishia kuua kwa kisu kutokana na...
Kanye West anafahamika kwa kuwatoa wasanii wengi wakubwa nchini Marekani. Bila yeye leo hii hakuna mtu angekuwa anawajua Big Sean na John Legend.Na sasa kupitia ngoma yake mpya All Day, (ambayo...
BREAKING NEWS BREAKING NEWS
Taarifa zilizo2fikia hiv punde ni kwamba Mcharoâ¬kafirisika,mke wake sa hiv ni dagaa kwa mlenda mpk anawakera majran,mwanae mcharo karudshwa nyumban kisa ada...
Hakimu wa mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo ametoa hukumu ya kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini kwa rapper, Chidi Benz.
Chidi alipandishwa kizimbani mahakamani...
Katika bonanza lilopigwa mwishoni mwa wiki mjini Dodoma la Pspf..picha iliopigwa jukwaani wakati mshakaji akiwa busy kukata mapanga...pengine ile dhana ya wasanii na ndumba ni dam dam inaanza...
Yule mkali wa siku nyingi toka kinondoni TID hatimaye apata mpinzani wa kweli katika uimbaji,pamba na nyota kung'aa kwa watoto wazuri toka kwa P.H.D nae toka kinondoni ambaye jana Billz alionyesha...
Nimefikia uamuzi wa kudai talaka kutokana na kuchoshwa na vitendo vya ukatili nilivyokuwa nafanyiwa na mume wangu, kwa zaidi ya miaka8 na hata sasa bado anaendeleaje, Kwani hata kuongea uongo...
Huyu dada kutoka Arusha nilikuwa namkubali sana kwa nyimbo za injili, hasa ile albamu yake ya kwanza iliyo na wimbo wa "Habari Njema"
Hivi kwa sasa yupo wapi maana hasikiki kabisa..
Leo nilikuwa naangalia kaseti ya picha (video) ya kwaya ya Shangalieni ya Arusha nikamuona huyu dada akianzisha wimbo huku akiimba kwa hisia (ukipenda katika roho na kweli). Ukiamuangalia...
- Jamani ndugu zangu heshima mbele sana ni heshima kubwa sana kwa mimi Mwana-JF mwenzenu kukubalika sana na jamii lets all celebrate that, kwanza ilikuwa kampuni ya Cocacola walinitengenezea kopo...
Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto zaidi hapa Bongo (kwa mujibu wa mtandao wa yourbesttop10.com), Elizabeth Michael ‘Lulu' jana usiku aliandika bandiko mtandaoni ambalo...
Napenda kumwambia kamanda Kova na kikosi chake, kumwambia mmiliki wa Yamoto band "Mkubwa na wanawe" Said Fela kufunga vifaa maalum vya kuzuia sauti au kutafuta sehemu nyingine ya kufanyia mazoezi...
In other news, Tanzania's sweetheart ,Wema Sepetu is officially dating mheshimiwa Ivan kutoka Uganda ambae kwa sasa anaishi South Africa. Kwa msiomfahamu IVAN ni ex-husband wa GF wa Tanzania's...
Music has been paying heavily in Nigeria for the past ten years. No wonder average Nigerian youths sees music as the quick means to wealth and fame. Why not! When a good number of artistes have...
Habari wanabodi,
Mtangazaji wako wa nguvu,Millard Ayo mfanyakazi wa Clouds Fm kipindi cha Amplifier amefungua studio kubwa ya kisasa iliyomghalimu mamilioni ya shilingi."Ilikuwa si kazi ndogo...
Hello! Hello! Hello!
Ladies and gentlemen it is another year for the WOMAN SCREAM FESTIVAL..
La poetista in partnership with AIESEC and Women Poets Internation bring to you another Woman Scream...
Heshima mbele wana jamvi!
Ni kitambo kidogo tokea jamaa avute mkwanja baada ya kushinda kwenye yale mashindano ya #BBA , baada ya pale kama sijakosea aliingia kwenye tasnia ya sanaa ya maigizo...