Licha ya kuwa ni msichana mrembo, tajiri na apparently akitarajia kumpa mtoto Diamond, Zari Tlale aka The Bosslady anakabiliana na ushindani mkubwa kutoka wasichana wengi Afrika Mashariki wenye...
Chama cha mapinduzi CCM kesho tarehe 1 Feb 2015 kinaadhimisha miaka 38 tangu kuanzishwa kwake mjini songea mkoani Ruvuma.
Kundi la TOT ambalo linamilikiwa na CCM litakuwepo mjini songea...
Huyu bibie wa kichaga mtanzania aishie London haishiwi vituko kila kukicha..ukikumbuka vizuri ndiye huyu mwenye sakata na G.J.Lema..
Leo kaachia kituko kwenye blog yake kilicho nifanya nianguke...
Mwanadada mrembo Jokate Mwegelo afanya uzinduzi wa nguvu wa game lake la simu za mkononi za android na kuwepo playstore na kufanya sherehe ya nguvu.Jina la game linaitwa "Jokate bottle spin" na...
Aliyekuwa Mtangazaji wa vipindi vya Michezo wa redio Clouds Dar es Salaam,Ibrahim Masoud 'Maestro' (pichani kushoto) leo amekamilisha usajili wake wa kujiunga na Kituo maarufu hivi sasa cha radio...
COMPTON, Calif. (AP) - Death Row Records founder Marion "Suge"Knight turned himself into authorities early Friday after his attorney said therap mogul accidentally ran over and killed a friend and...
Msanii Davido mwenye umri wa miaka 22 aina ubishi kwa sasa ni mmoja ya wasanii matajiri wakubwa kwa Afrika na nchini mwake Nigeria. Anamiliki Jet binafsi, gari za kifahari na mijengo ya maana...
DANSA grade one wa Nasibu Abdul ‘Diamond', Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo . Akizungumza na...
Wakuu huyu binti nasikitika sana analeta aibu kwa familia yao kwa vivazi vyake baba yake ni Pastor na zaidi ya yote hapo nyuma Linah alikuwa muinbaji mzuri Kanisani kabla hajaasi.
Mwenye uwezo wa kumsaidia kimawazo Nikki Mbishi amsaidie naona sasa huyu kijana mwenzangu anapagawa.
Majuzi kati kwa maamuzi yake mwenywe bila shuruti alitangaza kuacha muziki,cha ajabu leo katoa...
Baada ya kuzoeleka kwamba kila mwaka Diamond platnumz kukonga nyoyo za watu wa Nai katika concert ya Safaricom. Sasa imekua ndivyo sivyo, baada ya waandaji hao kubadilisha upepo na kumchukua...
Muigizaji mkongwe wa filamu na moja kati ya waasisi wa Kaone Sanaa Group, Halima Yahya ‘Davina' amekiri kuwa ndani ya tasnia yao, kuna waigizaji wengi wa kike wanajiuza kwa maslahi yao...
Kampeni mpya ya Vinywaji Baridi ya Coca cola Kutumia Majina ya watu maarufu na Mastaa wa filamu Nchini na Kuipa jina la #shareacokeTz imeanza kulalamikiwa baada ya mmoja wa wigizaji Maarufu hapa...